XX
Chige ameshindwa kuonesha kwamba Issa aliwahi kuwa raia aliyeishi Israel. Hakuna ushahidi wowote uliotolewa. Hata wakristo ambao ni waarabu wanamuita Yesu Kristo Yasu.
Nimeshindwa kuonesha au HAMUELEWI?!
Hata huyo
Championship niliamua kuachana nae kwa sababu nimegundua uelewa wake ni mdogo mno.... pekee anachokiweza ni malumbano ya kidini kitu ambacho sio staili!!
Ni kutokana na uelewa wake finyu ndo maana maswali YOTE niliyomuuliza, AMESHINDWA kujibu!
Hapa NARUDIA--
Huwezi kumwelezea Yesu kwa uraia wake kwa sababu kuna MAMILIONI YA WAYAHUDI ambao huwezi kuwaweka chungu kimoja na Yesu kwa sababu ya Uyahudi wao. Yesu ana sifa zake za kipekee zinazomtofautisha sio tu Wayahudi WOTE bali na wanadamu wengine WOTE!
Nikawapa mfano, jambo la kwanza unalotakiwa kumwangalia Yesu ni vile alivyozaliwa! Pamoja na dunia kuletewa Mitume kadhaa, lakini ni YESU pekee ndie alizaliwa kwa staili ya kivyake vyake... kwamba alizaliwa bila baba!
Akina Daud, Mussa, Seleman, Ibrahim na wengine WOTE, normal bilogy ilifanya kazi! Hata Isaka ambae alizaliwa wakati wazazi wake wamepita ile normal reproduction phase bado huwezi kusema alizaliwa bila baba!!
Hiyo ndo hoja unayotakiwa kuitumia na sio uraia!!
Kwamba eti nimeshindwa kuoneshwa Isa aliwahi kuwa raia wa Israel, hiyo ni hoja nyepesi mno kwa sababu ISSA is JUST A NAME kama ilivyo Musa huku Wayahudi wakimuita Moses!!
Ni kiroja au kukosa maarifa ukimtaka mtu athibitishe eti Musa alikuwa raia wa Israel huku ukikubali kwamba Moses alikuwa raia wa Israel! Sijawahi kusikia watu wakisema Moses na Mussa ni watu wawili tofauti!
Should one prove ikiwa Mussa nae alikuwa raia wa Israel?!
Kama nilivyosema, huyo jamaa yako ameshindwa kujibu maswali YOTE niliyomuuliza... sasa naomba msaidie kumjibia:-
1. Tofauti ya MSINGI ya Yesu na Issa ni ipi?!
2. Watu aina yenu hoja yenu kubwa ni kwamba, Yesu na Issa ni watu wawili tofauti kwa sababu Yesu alisurubiwa, kufa, na kufufuka siku ya tatu wakati Issa, according to Quran Hakufa wala hakukufuka!
Ikumbukwe kwamba Wayahudi wanamuita Yesu kwa jina la Yeshua. Hawa walimuona Yesu kwa macho yao, na walishuhudia mafundisho yake lakini pamoja na yote hayo bado HAWAAMINI kama Yeshua alikufa na kufufuka siku ya tatu!
SWALI: Je, kutoamini kwao kunafanya Yesu na Yeshua kuwa WATU WAWILI TOFAUTI?!
Nisadia hayo maswali mawili ambayo mwenzako amepuyanga tu manake mwenzako nilipomuuliza ikiwa hiyo inafanya Yesu na Yeshua kuwa watu wawili tofauti, akaishia kujibu
Wayahudi hawamuamini Yesu kama Messiah lakini historia yao wanamtaja vizuri kabisa. Msome Josephus ambaye ni major historian wa first century anaelezea mpaka crucifixion ya Yesu.
Hakuna taarifa zozote kuhusu huyo jamaa anayeitwa issa ndani ya Israel. Waislamu wanatakiwa kueleza ni nani huyu jamaa.
Yeshua ndio exactly imetoholewa na kuitwa kwa kiswahili Yesu. Ni jina lililotengenezwa kwa kiswahili kama tunavyoiita England uingereza au France Ufaransa au USA marekani.
Sasa ukisoma hapo unaona wazi kwamba kumbe hoja ya Issa kwamba hakufa na kufufuka wala sio hoja ya msingi kwa sababu hapo anakiri Yeshua ndie Yesu lakini bado Wayahudi hawaamini ikiwa Yesu alikuwa na kufufuka siku ya tatu!!