Wanasema kuna mtu alipeleka maneno ya uongo eti Ummy kasikika anamsengenya Mama

Hawakupeleka tu maneno bali walimrekodi, wakati kakikundi ka wananzengo na bi Ummy akiwemo wakawa wanacheka huku wakimuongelea ndipo akachomeka kuwa eti bibie ni mlevi na akishalewa kama kuna mlume ndago yoyote karibu anajisevia. Eti tungi huanza kumkolea chini na vyombo hivyo ni mshiriki daily.
 
Mwanamke ni mwanamke tu, ndiyo maana nchi kubwa zikifikia hatua ya kumsimika mwanamke kama pale Ujerumani ni LAZIMA wahakikishe wana mifumo thabiti na Mihimili inayojitegemea.
Huwezi kujua ni nini mwanamke ataamua akishakasirika.
 
Kwa ishu ya unywaji nilikuwa sijui. Ila yale mambo mengine yale ninajua ni kweli na hata kwenye kampeni zake mwaka 2015 baadhi ya watu kwenye timu yake ziliibuka skendo
Yes basi ni hivyo! Na imemharibia sana data yake! Ni mbishi kuacha! Lissu angeshika kipaza sauti kwenye uchaguzi huu huyu mama asingethubutu kufanya hata mikutano miwili kwa siku! Kama Magu alikua anapiga siku mbili anarudi garage huyu ingekua kila baada ya mkutano wa hadhara anarudi gereji 😂
 
Na sasa hivi kwa stress alizonazo ndiyo analanduka hasa tena pombe ngumu ngumu
Samia Hana stress yoyote! Agenda ya No reform No election aliyoipandikiza CDM imefaulu pakubwa na hatakua na haja ya kutumia nguvu kubwa kwenye kampeni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…