Wanasema mimi ni Shetani na pia ninahofia maisha yangu yapo hatarini hapa UK

Unang'ang'ania nini huko brother, Duniani unatafuta Fweza ama unahitaji Amani (furaha) ...!!?

Rudi nyumbani Mkuu, hujauwa huku..
 
Unafanya nini huko mpaka linchi kubwa hivyo litandaze vifaa vya kukuzingua kila mahali?

Ni mpinzani kisiasa? Jasusi? Ama nini?
 
Anaandaa movie huyo
 
Nimeshaena ubalozi na jumatatu au jumanne nina weza
pewa emergency travel document
Pole sana mkuu. Kwani huna passport mpaka uombe emergency travel document? Au ilipotea? Tanzania si una ndugu? UK ulienda zamani sana? Hata mimi nakusahuri urudi kama hali siyo nzuri.
 
Mtu ni sample halafu wakubali arudi Tz, hiyo mionzi itafika huku?
 
Watu wengi wanambeza Mtoa mada ila me nahisi kuna kitu cha kuangaliwa zaidi..

Kwanza Mtoa mada umewahi kutumia Dawa yoyote ya Depression au kilevi chochote au Madawa yoyote au Bangi??

Withdrawing kwenye hivyo Vitu husababisha Brain zaps..
na ndo dalili hizo anazohisi kama anapigwa short ya umeme kichwani
 
Complaints za mtoa Mada kutoka katika nyuzi zote mbili ni hizi:
1. Kichwa kuuma.
2.kupoteza balance.
3.Kichwa kizito(Maybe Head tension)
4.Kitingisha/electric shock(Maybe myoclonic seizures)mpaka akahisi ni EMF kitu ambacho sio kweli,Athari za EMF Kibailojia mara nyingi utahisi mwili unachemka(joto), kama.ni high intensity vifaa vya electronics vitaathirika pia , hilo hajasema.
5.Ice pick headaches (Maumivu ya kichwa ya kuchoma).
6.Anajihisi yeye peke yake kuwa testing subjects ya research kuubwa ya kisayansi kwa kutumiwa waves peke yake na kupitia comment zake anaamini Movie kulingana na anachoona itatoka hivi karibuni na kuthibitisha anachohisi(Kitaalamu ni delusional disorder).
7.Wagonjwa wa Akili hawajawahi kujua wala kukubali kama ni wagonjwa wa akili.
MKUU NISEME TU UNASHIDA KUBWA INAYOHITAJI UFUMBUZI WA HARAKA TENA SIO WA KUONDOKA HUKO UK NA KURUDI BALI MSAADA WA KITABIBU.
KAMA HUNA NDUGU AU RAFIKI HUKO UNAEWEZA KUSHARE NAE TATIZO LAKO RUDI NYUMBANI WATAKUPELEKA WAO HOSPITALINI MAANA UNAWEZA RUDI BONGO PIA UKAHISI HIVYO HIVYO UTASEMA WAMEKUFUATA (ugonjwa wa akili ndio ulivyo ukibadilisha mazingira na wenyewe unakujengea sababu nyingine ya kuendelea kuamini upo subjected).
 
Nani alikwambia kwamba clandestine research kama hizo ni lazima Guinea pig awe ndani ya maabara ? , Kuwa na conditioned environment ni mahala popote hiyo kitu inafanyika , unafikiri wakati CIA wanawatengeneza wauaji kama Timothy McVeigh walikuwa wamewafungia maabara ?
Halafu Unaongea as if hizo projects zimeisha wakati intelligence agencies huko unakodhaniwa wanafuata sheria bado wanazifanya mpaka leo na ushenzi ni ule ule
We unasema suala la haki , haki UK ?
UK hawa wanafiki walioshindwa kuensure haki ya Julian Assange mpaka leo wamemweka korokoroni na kushindwa kumfungulia mashitaka kwa kuwaexpose ushenzi wao kupitia wikileaks ?
Have some shame

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
 
Take time kwanza kujifunza hata basic knowledge how classical and operant conditioning works, ndio utaelewa kwanini kunahitajika control environment or read kitabu kinaitwa ‘Walden Two’ a utopia society by B.F Skinner.

Without a controlled environment kwenye conditioning you’d need to set up a lot of coincidental scenarios huyo mtu akutane nazo, hadi ajifunze ku-respond unavyotaka wewe; that research is going to be very very expensive.

However jeshini wana utaratibu mwingine, askari ni watu wanaoenda vitani, huko wanaua watu on daily basis, wanaweza poteza marafiki mbele yao na kukutana na mambo mengine ya vita. So kuna conditioning fulani wanapewa ili kuwa killing machine and coping na scenario za vita that’s how armies work.

Madhara yake sasa wanaporudi ni Post Traumatic Stress Disorder (PTSD). Wengine wanakuwa guilty especially vita ya mijini mwingine labda kuna siku alirusha risasi kwenye nyumba akauwa watoto baadae ile guilty inamsumbua kuuwa an innocent kid anapokuwa nje ya jeshi.

Mwingine anashindwa ku-cope kisa rafiki yake aliuawa huku akimuona anakuwa na stress hataki marafiki tena kwa kuogopa kupoteza mtu, mwingine akikumbuka maiti alizoona au watu alioua stress zake anakimbilia dawa za kulevya ku-cope etc.

Marehemu baba yangu alikuwa mwanajeshi alipigana Kagera mpaka miaka ya 2000’s alikuwa anaweza ghafla akaanza kutikisika mwili anasema inakuwa ivyo akipata flashback. Ndio maana siku hizi kuna measures nyingi sana za kuwasaidia army veterans ku-cope na PSTD nchi ambazo zinapenda ugomvi kama UK na US.

Timothy McVeigh soma vizuri kisa chake ni PTSD baada ya kurudi na kufikiria jinsi walivyoua innocent people Iraq na ndio motive yake akataka na raia wa US waonje uchungu wa kuuwawa kwa innocent people huko wanapoenda.

Julius Assanage isingekuwa human right activists serikali ingempeleka US siku alipotelewa embassy tu, fuatilia sababu za delay yake.
 
Ubalozini ulienda kama haujaenda njoo pm nikupe number za balozi au mtu anaye weza kukusaidia tatizo lako
Ubalozini nilienda juzi lakini kwa ajili kuomba emergency travel document. Hili swala sijawai kulipeleka ubalozini. Sababu moja kubwa inayonitatiza ni kuonekana ni ugonjwa wa akili
 
Ubalozini nilienda juzi lakini kwa ajili kuomba emergency travel document. Hili swala sijawai kulipeleka ubalozini. Sababu moja kubwa inayonitatiza ni kuonekana ni ugonjwa wa akili
Usisingizie ugonjwa wa akili. Maisha yamekushinda huko sasa unatafuta gia ya kuwa repatriated hadi bongo na nguo ulizovaa tu. Ulienda huko ukiwa na akili timamu na ukoo wenu wote walikusindikiza DSM airport huku ukiwa na ambitions za kurudi nyumbani na Range Rover Vogue na kumiliki villa yenye swimming pool mitaa ya Mbweni. Ndugu, jamaa na marafiki hawatakuelewa mkuu
 
Mkuu,
Nilibadilisha makazi. Na kabla sijabadilisha nilita kuhahakisha ninahamia sehemu ambayo ilo tatizo alitaweza kujirudia.
Hili nataka kuliachia hapo kwa sasa. Nitaongelea nini kilitokea baada ya hapo nikipata ushahidi wowote. Hila sasa hivi nikisema kilichokuwa nitazi kuoneka na ugonjwa wa akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…