Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Wachache watakuelewa hili..Hakuna uhûsiano wa Upendo na kumzaa Mtu.
Upendo unatengenezwa.
Sio rahisi kua nafeelings tu za papo kwa hapo ati kisa umejua alikuzaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wachache watakuelewa hili..Hakuna uhûsiano wa Upendo na kumzaa Mtu.
msamehe tu, ila kwa sababu na wewe ni mwanaume, ukikua utakuja kuwajua wanawake. it is good haumlaumu dingi yako though huwezi jua pengine na yeye alichangia kuachana. though kwa kitendo cha kutotafuta watoto wake mama yako anaonekana moja kwa moja ana roho ngumu. ukitaka ubarikiwe hata hivyo, msamehe hivyo hivyo, na mheshimu hivyo hivyo, na mjali hivyo hivyo. na kumalizia, siku ukikutana naye, mwambie kwa upendo tu, naomba twende chumba hiki mkae peke yenu mjadili, mweleze yote yaliyo moyoni mwako na jinsi ulivyokuwa unamchukulia na mwishoni mwambie umemsamehe kwa yote.Jitahidi umpe tu attention kidogo mkuu kwa sababu ni mama yako. Usimpotezee sana.
ImeishaMkuu mamako anatafuta kupendwa sehemu ambayo hakupanda upendo.
Usiingie kwenye mtego wa kutaka kuonesha kuwa yeye ni muhimu sana kwenye maisha yako.Alichopanda anayo haki ya kuvuna.
Hakikisha msingi wa maisha yako hautegemei hisia za watu wengine.
Amua na kufanya unachoona ni sahihi kwako na hauvunji sheria za nchi.
Watu tumekuzwa kwèñye dhana za uongo.Wachache watakuelewa hili..
Upendo unatengenezwa.
Sio rahisi kua nafeelings tu za papo kwa hapo ati kisa umejua alikuzaa.
ko unapingana na maandiko mkuuWatu tumekuzwa kwèñye dhana za uongo.
MTU umtendee Mabaya ati akupende Kisa wéwe NI Baba au Mama yake. Hiyo haipo
ko unapingana na maandiko mkuu
Una akili sana kijanaHawezi Kumpenda labda adanganye au ajifanye anampenda. Huo ndîo UKWELI
Natamani ningelikuwa ni mimi,hapo ningempotezea mazimaWazazi wa hivi inabidi umtake akueleze sababu za yeye kukukimbia. Usipozielewa mteme mazima kwa sababu hakuna connection.
ya kuwapenda wazaziMaandiko gàni Mkuu
Alichagua watoto na hao wakiume wakaonekana si lolote kwake"Mpende adui yako Muombee anayekuudhi".wewe hujui kilichomtoa mama yenu hapo nyumbani.usitake akusimulie maana unaweza ukampiga baba yako.ameamua kunyamaza ili muendelee kumheshimu baba yenu.Wewe hujiulizi kwa nini aliamua kuondoka na watoto wa kike tuu akawaacha nyinyi wa kiume.Huyo ni mama yenu yaani hamna mama mwingine.Endeleeni kumtia moyo ili amalize maisha yake yaliyobaki kwa amani
Wakuu kwema.
Naombeni ushauri kwenye hili suala.
Mama yangu mzazi na ndugu wengine wanalalamika kwamba simjali mama yangu.
Kiukweli sio kwamba namchukia ila najisahau kumjulia hali.
Mama aliondoka nyumbani na watoto wa kike , akatuacha wakiume kama watatu pamoja na baba, wakati huo nilikuwa na miaka 8,
Nimeishi na baba peke yake hadi alipooa mwanamke mngine.
Mama wa kambo huyo ameishi kutunyanyasa sana hadi mzee alipomtimua nikiwa na miaka 17.
Nilipofika form 3 tukapata mawasiliano ya mama tukawa tunawasiliana naye ila yeye hakuwahi kututafuta , tukampotezea.
Sasa niko chuo nina miaka 24 , wanalalamika kwamba simjali mama yangu
Mama huwa naye analalamika japokuwa hajawahi kunipigia hata kunijiulia hali , ila nikimchek ni lawama.
Kiukweli sio kwamba simpendi ila namchukulia kawaida tu.
Sasa wakuu katika hali kama hii ushauri wenu ni up
ofcourse mkuu,kwa sisi tuliolelewa na mzazi mmoja tena kwa taabu tumekupata vyemaNaongea kitu ambacho Ninakijua wewe unaongea assumptions.
Kuzaa na Kupenda hakuna uhûsiano.
Asilimia kûbwa ya Watoto àmbao hawajalelewa na Wazazi waô wanamuelewa mtoa Mada anachokisema.
Ninyi Wengine mnafanya assumptions na kuwafundisha unafiki, waigize
Damn fool,usinizoee mbwa wewe usiyejua hata kuandika.Nisamehe Sana me mwenye sio Tabia yangu ya kuwajibu wajinga wajinga kama we imekuwa mara ya kwanza na imekuwa bahati kwako uwenda ikakusaidia kubadilisha mtazamo wa akili yako mbovu
Ugomvi wa wazazi wake ni suala lisilomuhusu kabisa,kinachomuhusu yeye ni nani alijenga bond na yeye.Ni mama yako jitahidi kumpa attention. Haujui nini kiliwatenganisha na mshua, kwaiyo usiweke akilini kwa sababu huo ni ugomvi wa wazazi. Suala la lawama ni kawaida kwa wanawake ndivyo walivyoumbwa.