Wazazi wa hivi inabidi umtake akueleze sababu za yeye kukukimbia. Usipozielewa mteme mazima kwa sababu hakuna connection.
Seriously unamshauri hivi
Yaaan amteme mazima mamaake aisee
Dunia ya sasa kuna shida sehemu that's why tunapata tabu kila sector kuanzia mapenzi maradhi ridhiki yaan tabu tupu
Mana tunapoelekea huko ni hatari zaidi
Ikiwa mamaake hvyo je mtu baki si unaweza unaweza ukamshsuri hata amchinjilie mbali
Anyway mkuu
The choosen one1
Sijajua kama wa imani ipi
Ila katika IMANI yetu ya KIISLAM ikiwa stuation kama hiyo tunarudishwa kwenye kisa cha NABII IBRAHIM
ama kisa cha mtume MUHAMMAD na AMMY(mjomba) ake alomlea
Nianze kisa cha NABII IBRAHIM (ABRAHAM)
Babaake NABII IBRAHIM alikuwa miongoni mwa wanaoabudu masanamu
Hivyo NABII IBRAHI wakati wa kulingania
kabla hajakwenda kumlingania BABAAKE
MWENYEZIMUNGU alimuambia NABII IBRAHIM
Ewe IBRAHIM pamoja ya kuwa BABAAKO ni muabudu MASANAMU lakini utakapokwenda kumlingani basi umueendee kwa ADABU NIDHAMU na HESHIMA
kuabudu yeye MASANAMU isiwe 7bu ya kumkosea HESHIMA 7bu yule ni BABAAKO
Hvyo kwa uchache wa hicho kisa
Kinatufundisha kuwa pamoja na YOTE wazazi wetu ni wazazi wetu haijarishi kama walikuwa WANGA WACHAWI ama walikuwa katika namna yoyote wakaumiza MIOYO yetu wakati ambao tunawahitaji still bado ni WAZAZI
tuwape kile wanachostaili kama WAZAZI
MWENYEZIMUNGU ndio mwenye kuhukumu
Hvyo mkuu@The choosen one1 jitahidi kwenda nae sawa mamaako kwa namna yoyote vile inavyowezekana bira kuumiza moyo wake
kwani MWENYEZIMUNGU ndio mwenye kujua yaliyo moyoni mwake
Muombee sana MAMA yako Umri mrefu na AFYA NJEMA
na kabla ya wewe au yeye Mauti hayajachukua OMBA sana kwa MWENYEZIMUNGU mpate kuwa sawa
Na mm nawaombea mpate kuwa sawa
Hii DUNIA tu tunapita vyoote tutaviacha
Haipaswi kuishi na CHUKI na VINYONGO
vinyongo vingi vinaleta maradhi amabayo yanafupisha MAISHA