Wanasema simjali mama yangu ila kiukweli sioni athari yake kwangu

Moyo wa mtu umeumbwa kumpenda anaemfanyia wema.

Hali unayopitia hauko nayo peke yako ila ndo hivyo Mama ni mama kwa sisi watu wa Imani Mama mbele ya Mungu ananafasi ya upendeleo ya kutendewa haki na kuhurumiwa mara 3 zaidi ya Baba.

Tunapitia changamoto nyingi tujaribu tu kuzisamehe na kuwatendea wema wazazi wawili.
 
Uko sawa...hauna bond nae....upendo na ukaribu unajengwa katika miaka ya mwanzo ya maisha ya utotoni hauko peke yako watu wengi wanapitia hiyo hali
 
Wakuu kwema.
Naombeni ushauri kwenye hili suala.
Mama yangu mzazi na ndugu wengine wanalalamika kwamba simjali mama yangu.

Kiukweli sio kwamba namchukia ila najisahau kumjulia hali.

Mama aliondoka nyumbani na watoto wa kike , akatuacha wakiume kama watatu pamoja na baba, wakati huo nilikuwa na miaka 8,
Nimeishi na baba peke yake hadi alipooa mwanamke mngine.
Mama wa kambo huyo ameishi kutunyanyasa sana hadi mzee alipomtimua nikiwa na miaka 17.

Nilipofika form 3 tukapata mawasiliano ya mama tukawa tunawasiliana naye ila yeye hakuwahi kututafuta , tukampotezea.

Sasa niko chuo nina miaka 24 , wanalalamika kwamba simjali mama yangu
Mama huwa naye analalamika japokuwa hajawahi kunipigia hata kunijiulia hali , ila nikimchek ni lawama.
Kiukweli sio kwamba simpendi ila namchukulia kawaida tu.
Sasa wakuu katika hali kama hii ushauri wenu ni upi
Huyo hana athari, songa na maisha yako acha kujibebesha magunia ya misumari wakati ulichofuata ni carton ya juice.
 
"Mpende adui yako Muombee anayekuudhi".wewe hujui kilichomtoa mama yenu hapo nyumbani.usitake akusimulie maana unaweza ukampiga baba yako.ameamua kunyamaza ili muendelee kumheshimu baba yenu.Wewe hujiulizi kwa nini aliamua kuondoka na watoto wa kike tuu akawaacha nyinyi wa kiume.Huyo ni mama yenu yaani hamna mama mwingine.Endeleeni kumtia moyo ili amalize maisha yake yaliyobaki kwa amani
Kama walikuwa na ugomvi na mume wake, kwanini baada ya kuondoka akakata mawasiliano na kijana wake wa kiume? Kijana wake ndio mume wake?

Kwani wapi umeona mleta mada analalamika mama yake kumuacha baba yake. Wazazi wamegombana, mama kamsusa mwanae wa kiume kaenda na wa kike na akakata mawasiliano na wa kiume. Sasa kwanini asitafutwe na wa kike aliokuwa anawasiliana nao tu?
 
Moyo wa mtu umeumbwa kumpenda anaemfanyia wema.

Hali unayopitia hauko nayo peke yako ila ndo hivyo Mama ni mama kwa sisi watu wa Imani Mama mbele ya Mungu ananafasi ya upendeleo ya kutendewa haki na kuhurumiwa mara 3 zaidi ya Baba.

Tunapitia changamoto nyingi tujaribu tu kuzisamehe na kuwatendea wema wazazi.

Umesema Sahihi Kabisa
Hat Mnyama tuu ukimtendea Wema Anakupenda na lazima awe na bond na wéwe.

TATIZO linakuja hata akiwatendea Wema hatawatendea kama Mama au Baba Bali atawatendea kama binadamu Wengine. Yaani hatawachukulia kama Wazazi wake hata iweje.

Hicho ndicho Mama yake anachokililia Sasa hivi kama ulikuwa hujampata.

Yaani hakuna connection hata akienda kumsalimia ndàni ya dakika Kumi tuu wanakosa cha kuzungumza. Akimpigia Simu, dakika Mbili wanabaki kimya.

No connection.

Hapo Mzazi anachokitafuta Kwa Mtoto NI Msamaha Wakati Mtoto anaona hajakosewa. Unaona hiyo.
Yàani unatafuta kusamehewa Kwa Mtu àmbaye anaona hukumkosea
 
Wakuu kwema.
Naombeni ushauri kwenye hili suala.
Mama yangu mzazi na ndugu wengine wanalalamika kwamba simjali mama yangu.

Kiukweli sio kwamba namchukia ila najisahau kumjulia hali.

Mama aliondoka nyumbani na watoto wa kike , akatuacha wakiume kama watatu pamoja na baba, wakati huo nilikuwa na miaka 8,
Nimeishi na baba peke yake hadi alipooa mwanamke mngine.
Mama wa kambo huyo ameishi kutunyanyasa sana hadi mzee alipomtimua nikiwa na miaka 17.

Nilipofika form 3 tukapata mawasiliano ya mama tukawa tunawasiliana naye ila yeye hakuwahi kututafuta , tukampotezea.

Sasa niko chuo nina miaka 24 , wanalalamika kwamba simjali mama yangu
Mama huwa naye analalamika japokuwa hajawahi kunipigia hata kunijiulia hali , ila nikimchek ni lawama.
Kiukweli sio kwamba simpendi ila namchukulia kawaida tu.
Sasa wakuu katika hali kama hii ushauri wenu ni upi
Miaka 24 tu unajidai umeshakuwa kiasi cha kutoona umuhimu wa Mama.
Dogo kuwa kiakili Mama ni mama tu alikosea yeye isiwe sababu na wewe ukosee
 
Jitahidi umpe tu attention kidogo mkuu kwa sababu ni mama yako. Usimpotezee sana.
Ni ngumu kumpa attention mtu ambaye hamna bond tangu mwanzo,binafsi nimekulia kwa watu yaani mama yangu namuona kama watu wengine.
Hatujawahi hata kukumbatiana yeye ndo naona ukaribu unakuja kuja labda kwa sababu nampa visenti mwisho wa mwezi ila huo ukaribu haukuwepo tangiapo.
 
Wakuu kwema.
Naombeni ushauri kwenye hili suala.
Mama yangu mzazi na ndugu wengine wanalalamika kwamba simjali mama yangu.

Kiukweli sio kwamba namchukia ila najisahau kumjulia hali.

Mama aliondoka nyumbani na watoto wa kike , akatuacha wakiume kama watatu pamoja na baba, wakati huo nilikuwa na miaka 8,
Nimeishi na baba peke yake hadi alipooa mwanamke mngine.
Mama wa kambo huyo ameishi kutunyanyasa sana hadi mzee alipomtimua nikiwa na miaka 17.

Nilipofika form 3 tukapata mawasiliano ya mama tukawa tunawasiliana naye ila yeye hakuwahi kututafuta , tukampotezea.

Sasa niko chuo nina miaka 24 , wanalalamika kwamba simjali mama yangu
Mama huwa naye analalamika japokuwa hajawahi kunipigia hata kunijiulia hali , ila nikimchek ni lawama.
Kiukweli sio kwamba simpendi ila namchukulia kawaida tu.
Sasa wakuu katika hali kama hii ushauri wenu ni upi
Kumchukulia kawaida,,, ndiyo kutompenda, ungemchukulia zaidi ya kawaida ungempenda.
 
Ukishakuwa mzee utajua umuhimu wa wazazi.

Kipindi cha utoto Mzazi ndîo ana umuhimu Mkubwa.
Uzee siô Umri wa kuona umuhimu wa waliokuzaa Bali NI Umri wa kuweka Sawa wale uliowazaa(waliotoka kwako)

Mtoto anahitaji Malezi na kukuzwa na Mzazi.
Mzee atahitaji kitu gàni Kwa Mzazi wake Wakati wôte washazeeka?
 
Ni ngumu kumpa attention mtu ambaye hamna bond tangu mwanzo,binafsi nimekulia kwa watu yaani mama yangu namuona kama watu wengine.
Hatujawahi hata kukumbatiana yeye ndo naona ukaribu unakuja kuja labda kwa sababu nampa visenti mwisho wa mwezi ila huo ukaribu haukuwepo tangiapo.

Hawawezi kukuelewa.

Alafu hata awe Karibu naye watazungumza kitu gàni?
Kumsaidia atamsaidia lakini itakuwa kama anavyosaidia Watu Back.
 
Umesema Sahihi Kabisa
Hat Mnyama tuu ukimtendea Wema Anakupenda na lazima awe na bond na wéwe.

TATIZO linakuja hata akiwatendea Wema hatawatendea kama Mama au Baba Bali atawatendea kama binadamu Wengine. Yaani hatawachukulia kama Wazazi wake hata iweje.

Hicho ndicho Mama yake anachokililia Sasa hivi kama ulikuwa hujampata.

Yaani hakuna connection hata akienda kumsalimia ndàni ya dakika Kumi tuu wanakosa cha kuzungumza. Akimpigia Simu, dakika Mbili wanabaki kimya.

No connection.

Hapo Mzazi anachokitafuta Kwa Mtoto NI Msamaha Wakati Mtoto anaona hajakosewa. Unaona hiyo.
Yàani unatafuta kusamehewa Kwa Mtu àmbaye anaona hukumkosea
Umesema kweli bro mimi ni mmoja kati ya watu ninao experience hii hali kupitia mzazi wangu mmoja, nikiwa mtoto nilikua na upendo mkubwa sana kwa wazazi wawili ila hapa katikati ilitokea hali iliyovunja sana moyo wangu iliyosababishwa na mzazi mmoja ikapelekea hisia zangu za upendo kwake zipungue kwa kiasi kikubwa.

Hali kama hii ya kujikuta nimesahau kusalimiana nae hata kwa simu kwa wiki hata 3 huwa inatokea mara kwa mara muda mwingine unajishtukia na roho inauma inabidi ndo umtafute na kumtumia zawadi yoyote ili kuendelea kuonyesha upendo kwake lakini kiuhalisia upendo umeshapungua.

Sababu ni zilezile moyo wa mtu umeumbwa kumpenda anaeufanyia wema na kupunguza mapenzi kwa anaemuumiza/aliemuumiza.
 
Uko sahihi kukauka tu mzee aliyetengeneza hali hii ni yeye,mimi baba yangu alikuwa na uwezo sana lakini kupitia mama amekufa maskini baada ya mama kummisslead ,mama amekuwa mtu wa starehee tu hadi sasa,mama alikuwa anajali ndugu zake tu ambao walosomeshwa na baba na kuganikiwa lakini hawakutusaidia chochote,nilihangaika sana nakufanikiwa ambapo mama yangu aliwahali watoto wa kike ambao wote wamerudi nyumbani na watoto wao ndoa zimewashinda,Baba alifariki ktk umaskini kwa sababu ya mama na nilikuwa namtunza baada ya baba kufariki sihitaji hata kumuona mama kwa tabia zake,amekuwa ananishitaki polisi,kwa Dc,nk kote namshinda.

Hivyo jali san maisha yako na familia yako!!
 
Back
Top Bottom