Wanasema simjali mama yangu ila kiukweli sioni athari yake kwangu

Jitahidi umpe tu attention kidogo mkuu kwa sababu ni mama yako. Usimpotezee sana.
msamehe tu, ila kwa sababu na wewe ni mwanaume, ukikua utakuja kuwajua wanawake. it is good haumlaumu dingi yako though huwezi jua pengine na yeye alichangia kuachana. though kwa kitendo cha kutotafuta watoto wake mama yako anaonekana moja kwa moja ana roho ngumu. ukitaka ubarikiwe hata hivyo, msamehe hivyo hivyo, na mheshimu hivyo hivyo, na mjali hivyo hivyo. na kumalizia, siku ukikutana naye, mwambie kwa upendo tu, naomba twende chumba hiki mkae peke yenu mjadili, mweleze yote yaliyo moyoni mwako na jinsi ulivyokuwa unamchukulia na mwishoni mwambie umemsamehe kwa yote.
 
Imeisha
 
Wachache watakuelewa hili..

Upendo unatengenezwa.
Sio rahisi kua nafeelings tu za papo kwa hapo ati kisa umejua alikuzaa.
Watu tumekuzwa kwèñye dhana za uongo.

MTU umtendee Mabaya ati akupende Kisa wéwe NI Baba au Mama yake. Hiyo haipo
 
Alichagua watoto na hao wakiume wakaonekana si lolote kwake
 
 
Iko siku utaamini kuwa watu unao waona wabaya(hawakujali) ni rutuba nzuri sana aliyoiweka Mungu kwa mafanikio Yako ya baadae

Na njia nzuri ya kumshukuru Mungu ni kuwalipa kwa mema badala ya ubaya
 
ofcourse mkuu,kwa sisi tuliolelewa na mzazi mmoja tena kwa taabu tumekupata vyema
 
Nisamehe Sana me mwenye sio Tabia yangu ya kuwajibu wajinga wajinga kama we imekuwa mara ya kwanza na imekuwa bahati kwako uwenda ikakusaidia kubadilisha mtazamo wa akili yako mbovu
Damn fool,usinizoee mbwa wewe usiyejua hata kuandika.
 
Ni mama yako jitahidi kumpa attention. Haujui nini kiliwatenganisha na mshua, kwaiyo usiweke akilini kwa sababu huo ni ugomvi wa wazazi. Suala la lawama ni kawaida kwa wanawake ndivyo walivyoumbwa.
Ugomvi wa wazazi wake ni suala lisilomuhusu kabisa,kinachomuhusu yeye ni nani alijenga bond na yeye.
Kila mtu anastahili kuvuna alichokipanda kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…