Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Makosa mengine yanahitaji kufinyana kidogo ili kuweza kuufikia mzizi wa tatizo. Haya mambo ya nchi nyie madogo hamuwezi kuyaelewa.Hebu tusaidie ya aendeshwaje mkuu au tuna sheria nyingine na katiba nyingine tofauti na hii tuliyoizoea?
Ili tunapojua tuwatahadharishe wasiangukie pua! Ila kuiaacha abstract namna hii unadhihirisha umaamuma wako, sababu huoneshi ujuvi wa Sheria ila unawakosoa wanasheria! Tuna kizazi Cha hovyo sana Tanzania Kwa sasa
Kutetea mali za nchi ni makosa ?wakati wanafanya makosa walikuwa wanategemea huruma ya nani? watu wanakaa mwezi wewe umeona siku mbili tu ni nyingiiiiiiiiiiiiii wacha wasote kwanza ili hata wakija kutoka watulie wajue nchi ina sherai na ina mamlaka wacha kwanza wabashiweee humo ndani kama mwambukusi watam,,,,,,,, na mzee wa watu hajawahi hata kul mdude kazoea
Hujui kitu wewe , kama huo ni uthibitisho mnaogopa nini kuwapeleka mahakamani ?Kwa mjadala huu unafikiri wanaonewa?View attachment 2718838
yaani mnafanya ujinga uhaini vurugu halafu mnataka mfikishwe mahakamani haraka yaani mnahofu na nini kama mliweza kufanya uhaini mpaka mmkakamatwa si msubiri mnaharaka ya nini kwenda mahakamani? au mkifika mahakamani ndiyo mtaachiliwa?
Wataachiliwa wakati ushahidi mnao!yaani mnafanya ujinga uhaini vurugu halafu mnataka mfikishwe mahakamani haraka yaani mnahofu na nini kama mliweza kufanya uhaini mpaka mmkakamatwa si msubiri mnaharaka ya nini kwenda mahakamani? au mkifika mahakamani ndiyo mtaachiliwa?
Sijawahi ona hata siku moja hayo makundi ya wanasheriasa wakishinda kesi zao huwa wanakurupuka kama hao wanaotetewa!Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Jopo la Wanasheria limekwishatinga kwenye viunga vya Mahakama, kwa ajili ya kufungua kesi ya kulazimisha Serikali ya Tanzania kuwafikisha Mahakamani, Mwabukusi, Mdude na Dkt. Slaa ili wakajibu Uhaini wao.
Sheria za Tanzania zinaelekeza kwamba Mtuhumiwa anapaswa kufikishwa Mahakamani si zaidi ya Masaa 24 baada ya kukamatwa.
Bado hatujajua kama Watuhumiwa hao wanateswa, wameumizwa ama wameuawa, hii ni kwa sababu haturuhusiwi kuwaona.
Usiondoke JF.
Serikali zinazoingia madarakani kwa kupora chaguzi, huwa haziogopi mahakama, bali huogopa nguvu ya umma tu. Maswali ya aina hiyo usishangae maji akisema hayana mashiko.Safi sana, natamani wakati wa maswali ya dodoso waulizwe Swali kwamba ni sahihi kukaa na mtuhumiwa zaidi ya masaa 24?, Na je ni sahihi kumnyima mtuhumiwa haki ya kuonana na ndugu zake/wakili wake?
BASI WATAFUNGWA HAYA FURAHI WEWEWataachiliwa wakati ushahidi mnao!
Kwa mahakama hizi zinazopigiwa simu moja, usitegemee hao wanasheria wakishinda. Labda waende mahakama za nje mfano, east Africa, kimataifa nk. Na mara zote kwenye hizo mahakama zisizo sehemu ya mifumo michafu, serikali huwa haishindi.Sijawahi ona hata siku moja hayo makundi ya wanasheriasa wakishinda kesi zao huwa wanakurupuka kama hao wanaotetewa!
Kwa mfano makosa gani yanahitaji kufinywa?Makosa mengine yanahitaji kufinyana kidogo ili kuweza kuufikia mzizi wa tatizo. Haya mambo ya nchi nyie madogo hamuwezi kuyaelewa.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Mtaacha kuwafunga wakati hata hakumu mmeshapanga iweje.BASI WATAFUNGWA HAYA FURAHI WEWE
Ni kweli hasa inapokuwa serikali imeshindwa kushawishi umma juu ya wizi wanaotaka kuufanya.Makosa mengine yanahitaji kufinyana kidogo ili kuweza kuufikia mzizi wa tatizo. Haya mambo ya nchi nyie madogo hamuwezi kuyaelewa.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Mbumbumbu haohao waliwapiga cross exams bwana yule na genge lake mpaka wakatema ulimi. Issue ya ugaid 🤣🤣🤣Hao wanasheria mambumbumbu wataangukia pua kama wenzao. Hawajui makosa ya uhaini yanavoendeshwa?
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Umesema kweli.yaani mnafanya ujinga uhaini vurugu halafu mnataka mfikishwe mahakamani haraka yaani mnahofu na nini kama mliweza kufanya uhaini mpaka mmkakamatwa si msubiri mnaharaka ya nini kwenda mahakamani? au mkifika mahakamani ndiyo mtaachiliwa?
Mi siamini kama ni mawazo yake yanayotumika! Hapa ni akina NAPE, MWIGURU nk!Huyu mama anajua kwamba anatazwamwa ikiwemo na vikosi vya kijamii na kimataifa na makundi mbalimbali na hapo alipofika anaweza kujikuta kafungia mlango ambao once akiuingia hata weza kutoka humo.
Hao waliotaka kuvunja amani,hawakujua kama nchi inaongozwa na sheria.Acheni kulia kulia.-sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai inasema Police haruhusiwi kukaa na mtuhumiwa zaidi ya masaa 24 ikizidi hapo aidha ampeleke mahakamani au ampe dhamana kama kosa Lina dhamana, hiyo siyo hiyari ya police ni takwa la sheria
- tumia akili kufikiri
- nchi hii inaongozwa na sheria sio utashi wa mtu binafsi