Wanasheria kufungua Kesi ya kutaka Dkt. Slaa na wenzake wafikishwe Mahakamani

mmeshaambiwa wanafikishwa mahakamani leo na nyie mnaenda kufungua kesi ya kuwafikisha mahakamani hamuonio kuwa mnachekesha? na mnakimbilia mahakamani mnafikiri kule kuna wajinga wenzenu watawatetea uhaini wenu? tulieni dawa iwaingieeeee
Yaani wewe comments zako unanifanya nicheke peke yangu.Humumunyi maneno.Safi sana.
 
Hakuna anayechukia serekali.Bali wananchi tunafurahi,kutuondolea wachafuzi wa amani.
 
Kawachukuwe wewe uwapeleke mahakamani.
 
.....hula na wakwao
 
Sio mchezo,una comment za uhakika.
 
Yaaani tulilalamika na ujinga huu kipindi cha yule mhuni mama na vishungi kaanza tena
 
Zipeleke Polisi Makao makuu.
 
Tayari wameshakuwa wahaini hata kabla hawajafika mahakama I? Siku hizi hukumu zinatolewa polisi? Ndugu zangu hebu punguzeni chuki basi!
Wapo walioitwa magaidi kabla mahakama kuthibitisha,na mlifurahi na kuunga mkono.Leo shilingi imegeuka upande wenu,mnalia lia.
 
Nenda kawatetee Polisi.
 
- hata kama umetenda tuhuma za aina gani, haki zako kisheria zipo pale pale,
-hatuangalii real life tunaangalia sheria na KATIBA inasemaje, KATIBA inapiga marufuku kumtendea mtuhumiwa wa kosa la jinai kama ana hatia, hadi akutwe na hatia
Nenda Polisi kawatetee.
 
Jitokeze.Uione kilichompata Kanga ,akawa hana manyoa
 
mmeshaambiwa wanafikishwa mahakamani leo na nyie mnaenda kufungua kesi ya kuwafikisha mahakamani hamuonio kuwa mnachekesha? na mnakimbilia mahakamani mnafikiri kule kuna wajinga wenzenu watawatetea uhaini wenu? tulieni dawa iwaingieeeee
Tuliambiwa lini na nani ? Presha ya Mawakili imewafanya wawapeleke mahakamani bila hata kujiandaa , ndio maana mnashindwa kesi mabwege nyie !
 
Hao wanasheria mambumbumbu wataangukia pua kama wenzao. Hawajui makosa ya uhaini yanavoendeshwa?

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Mkataba huu wa Kimangungo unasema, Tanzania inapotaka kuweka mwekezaji mwingine maeneo mengine ya bandari, inatakiwa iende Dubai kuomba ridhaa, Dubai wakikataa kutoa idhini ndio basi. Yaani nchi huru ikaombe ridhaa Dubai, Tena kwa Mali zake? Ujinga huu wa CCM ifie mbali.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
mmeshaambiwa wanafikishwa mahakamani leo na nyie mnaenda kufungua kesi ya kuwafikisha mahakamani hamuonio kuwa mnachekesha? na mnakimbilia mahakamani mnafikiri kule kuna wajinga wenzenu watawatetea uhaini wenu? tulieni dawa iwaingieeeee
huyu nae kichwani kumejaa makamasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…