Wanasheria naomba mtuelimishe kwa hili la Boniface Mwangi

Wakenya walivyochanganyika, yaani haya pilipili wasioila, ina wawasha
 
Mimi nadhani anapaswa kuwashitaki Serena hotel pia. Kwa sababu Serena walikuwa na wajibu wa kumlinda mteja wao
Mhu! Unasema unachokiamini kweli? Kumzuia polisi kufanya kazi yake si kosa la jinai, na hakuna watu walishapatikana na kesi kama hii na kufungwa?
 
Ila nchi hii hawa ccm uki mess up nao kukuua hawaoni shida, nilikua naangalia clip za mdude nime note yule mwamba ukimwangalia unaona kabisa ni mwanaharakati pure kabisa 100% lakini mwisho wake unasikitisha sana..... Nime conclude kwamba kwa hali iliyopo hapa nchini ukiamua kuwa mwanaharakati kuwapinga Ccm hakikisha una passion na harakati kiasi kwamba una enjoy harakati kiasi kwamba hata kifo hakikutishi.... Kwa mfano kuna clip mdude anasema " wananitishia kufa! Nani anaogopa kufa, kufa si ni kama kuhama tu mtu ana badilisha mazingira anaenda kuishi sehemu nyingine "
 
Tanzania ni nchi wafu. Bongolala zero brain watupu. Ndo maana pamoja na kubarikiwa maliasiri na raslimali nyingi kuliko Kenya na Uganda, bado mko nyuma sana kimaendeleo. Rwanda tu iko mbele yenu kwa sasa. Hamna akili.
Alisimika mwehu Moja akisema
 
Natamani Hawa jamaa wafanye iv hata wakichoma ubalozz wa Stanza kanairo fresh tu
 
Ts
Mbona 2008 kuna wakenya zaidi ya 15 walipigwa risasi Moshi na Kenya walikaa kimya
The ishu mbili tofauti! Kama walikuwa na silaha na ikagundulika wapo kufanya uhalifu kifo ni Haki yao-hawa wametolewa mahotelini na awana silaha.kuna kitu kinaitwa rule of engagement- alieanza mmalize
 
Mimi nadhani anapaswa kuwashitaki Serena hotel pia. Kwa sababu Serena walikuwa na wajibu wa kumlinda mteja wao
Kwani walienda kumchukua akiwa kwenye mazingira ya ndani ya hotel?
Ila kuwashtaki Serena hotel itakuwa ni kuwaonea tu ukizingatia hali ya sasa tuliyonayo kiusalama.
Uzuri Mastermind wa hawa wasiojulikana ameanza kujianika polepole.
 
Ts

The ishu mbili tofauti! Kama walikuwa na silaha na ikagundulika wapo kufanya uhalifu kifo ni Haki yao-hawa wametolewa mahotelini na awana silaha.kuna kitu kinaitwa rule of engagement- alieanza mmalize

Siyo lazima kuwa na silaha. Taarifa za kiintel toka kwao zilithibitisha hayo. Serikali zao zilishiriki
 
Mkuu hii umeangalia kwa level ingine sana! Ni jicho la tatu kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…