Wanasheria nisaidieni, Baba Mzazi anazidi kuuza mali

We lofa kweli kweli 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Njoo nikupe nyumba ya bure utakula uta kunywa utaoga kila kitu ni free kaka kua na amani nimekuonea huruma unavyohaha mkuu ila uwe tayari kua mke wapili umsaidie majukumu dada ako
 
Kuna dogo wa miaka 17, amepata division 1 ya 7 na amegoma kuendelea kula ugali wa baba yake kwa mda atakapokua nyumban mpaka utakapofika wakati wa kwenda chuo..

Yuko sinza ameajiriwa kwenye banda la chipsi analilwa buku 8 kwa siku...

Niendelee..ama ushaelewa?
 
Daaa... We jamaa post zako kila siku ni za ugomvi na Baba yako 😁😁
 
Wewe ibilisi yaani 42 yrs unaishi kwa baba? Kwani wewe ni mama?
 
Tafuta zako manyoko ana haki ya kuuza vyote ni jasho lake.
 
Baba yako ana akili nyingi mno, ameona ukiendelea kumzoe kana kwamba mlianza maisha pamoja sana hvy kaamua kukupa akili.

Miaka 42 bado unajiita mtoto ajabu kubwa.
Kama hautajifunza ktk hilo basi wewe ni mzigo usio na faida yyt ktk dunia hii.

Ungekua karibu ningekutandika na rungu la kichwa.
 
Kwani hizo mali yeye alilithi ??? Kama ungekuwa mtoto wangu na una akili za hivyo hata mimi ningeuza mali zangu.
 
Anauza nyumba zake, sio yako!
 
Na wewe uza mali zako alizokupa muumba wako hasa huo uchumi unaokalia.
 
Maelezo yako yanaonyesha kupingana na mwenye maamuzi Ila ungeenda sawa ingekuwa ushapata huo mgao, Sasa kupitia elimu ya masoko uliyonayo ongea nae mzee akupe Bei wewe uende kutafuta mteja top-up 5-10m uza mwambie mzee akupe 10% ya udalali utakachapata ndio chako
 
chakukushaur ni kwamba unatakiwa ufaham kuwa mali ya baba ni ya baba tu na si mali yako ...ikitokea amefariki mrithi ni mama yako kama yupo hai, ikitokea wazazi wote wamefariki watoto ndio mna haki ya kurithi lakin kwa sasa pale huna chako kaka na wala hustahili kupewa hata buku, umeskitisha kila mtu umu jukwaani kwa umri ulionao kudai urithi uku ukitambua mzazi yupo hai na zile ni mali zake ana uwezo wa kufanya anachotaka kwasababu ni jasho lake. unachoweza kufanya ni kwenda mahakaman kuweka pingamizi juu ya biashara inayoendelea huenda hayupo kwenye akili yake ya kawaida lakin mahakama ikijiridhisha kama anafanya hivyo akiwa na akili tiamu bas nakushaur kabebe begi lako tu kama alivyokwisha kukuambia kwamba akirud asikukute. nyumba ni material tu kaka we kama veep jiachie ukatafute maisha mbele kwa mbele lakin usituambie wamba eti umemuambia akupe urithi wako kabisa kimsingi we huna urithi pale hata buku
 
Acha ufala hizo ni mali zake wewe tafuta zako miaka 42 bado unakaa nyumbani wewe ni popoma jipige kifua sema tena kuwa wewe ni popoma
 
Huyo jamaa kaamua kutuchekesha he's not serious about this... naona unampa lecture [emoji23]
Nimemuelewa sana...labda wewe ndio hujaelewa sababu ya comment yangu [emoji23][emoji23]
 
unauwezo wakuandika hivi bado unakaa kwa baba ako na mama ako kweli ,washukuriwe kwa uvumilivu
 
Huyo jamaa kaamua kutuchekesha he's not serious about this... naona unampa lecture [emoji23]

Hahah sasa naona tupo page moja mkuu...nilitaka watu wengine waone jamaa anatuchora tu kwa sababu he/she has been inconsistent katika threads zake...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…