Wanasheria Njaa: Mnaaibisha Fani nzima ya Sheria


Ahaaa! Sasa unaanza kuja kwenye hoja yangu ya msingi.

Na kwa nini hivyo vitabu vya sheria watu wanaviogopa? Kuna nini ndani yake kinachotisha?

Unadhani watu wakiweka bidii katika kujisomea hivyo vitabu vya sheria watashindwa kuelewa kwa vile tu wao hawana shahada ya sheria?
 
Maswala ya kuingia kwangu mahakamani ama kutokuingia yanahusiana vipi na hii mada?
By the way, what is contract?
 
Kwani huyu ni mwanasheria sasa.
Sijui katokea wapi kwanza....

Hahahaaaa humjui EMT wewe eeeh?

That's like our go to guy for all things legal, if you didn't know.

Unachekesha sana wewe.

But at least you haven't said anything as preposterous as saying teaching is not a profession.
 
Last edited by a moderator:

Ndiyo maana yule Prof alisema Watanzania wengi ni wavivu wa kusoma.

Hakuna kitu ambacho ni powerful kama kujua haki zako.

Pia ukishajua haki zako utajua duties zako.

Na ikitokea uki-breach duties zako, you will always try to solve the dispute informally and amicably bila gharama.

Lakini kama hujui haki na majukumu yako, kila kitu utakachofanyiwa utaona kama vile unaonewa tuu.
 

Sidhani kama wote wanaviogopa vitabu vya sheria kama ukoma. Nadhani tatizo ni lugha.

Vitabu vingi vya sheria vimeandikwa kwa Kiingereza wakati ni wananchi wachache sana wanaongea hiyo lugha.

Nimeshaona wazee huko vijijini wanaamua kesi kwa kutumia customary law ambapo walikuwa wanatoa mpaka precedents under customary law ku-justify maamuzi yao.

Kwa system ya sasa ambapo kesi zinaendeshwa kwa Kiswahili, halafu hukumu inaandikwa kwa Kiingereza hapo mtu ataenda kutafuta mwanasheria kwa sababu tuu hajui lugha iliyotumika kwenye hiyo hukumu. Sometimes, mwanasheria anaishia kuwa translator.

Of course, wapo watu wengi tuu ambao hawasomi whether is law or chemistry books, lakini lugha inayotumika zaidi kwenye fani ya sheria inawafanya baadhi ya watu kutojua haki zao kwa urahisi hasa wale wanaotaka kuzijua hizo haki.
 
Kwani huyu ni mwanasheria sasa.
Sijui katokea wapi kwanza....

Ooh God!! Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa kiza. Hili jukwaa la sheria huwa unalipitia??

Btw nini kimekufanya umuone si mwanasheria? Hajaandika kisomi au hajajiita msomi?
 
Hahahaaaa humjui EMT wewe eeeh?

That's like our go to guy for all things legal, if you didn't know.

Unachekesha sana wewe.

But at least you haven't said anything as preposterous as saying teaching is not a profession.

Sasa nimjue ili iweje?
Siko intrested kumjua nimemcomment kama alivyonicomment yeye.
 
Last edited by a moderator:
Ooh God!! Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa kiza. Hili jukwaa la sheria huwa unalipitia??

Btw nini kimekufanya umuone si mwanasheria? Hajaandika kisomi au hajajiita msomi?

Anamiliki hili jukwaa ama?
 

Sasa kitabu aogope mwingine swali uniulize mie, kwanini usiwaulize wenyewe?
Si ndo mpaka wakavipitie ivo vitabu.
 
Halafu kuna mtu humu bila hata chembe ya haya akaja kudai eti ualimu siyo profession na kwamba hapa duniani profession ni tatu tu: sheria, udaktari, na uchungaji.

Kama mchungaji anaweza kuwa a "noble person", then kwa nini shehe nae asiwe a "noble person"?

Halafu kwa argument hii ina maana kuwa yule mkuu wa ma-atheists hapa JF atakuwa ha-qualify kabisa kama a "noble person" maana atakuwa hana "high qualities of moral character"!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…