nameless girl
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 4,195
- 2,678
Ili kujua.
Can you prove that?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ili kujua.
Sikubase kwenye mifano ya oral contract kama unavyodhani.
Tukiongelea wananchi, asilimia kubwa sana ya watanzania hawapendi kusoma. Achilia mbali vitabu vya hadithi, hivyo vya sheria wanaviogopa kama ukoma. Unadhani mwananchi huyo atakaa akijisumbua kujua sheria ilhali kuna wanasheria waliosomea hayo?
Can you prove that?
Maswala ya kuingia kwangu mahakamani ama kutokuingia yanahusiana vipi na hii mada?Hakuna tofauti kubwa kati ya mtu aliyesomea sheria na yule ambaye hakusomea sheria. In fact, the law says that everyone is presumed to know the law and that ignorance of the law is not a defense.
Wote wako sawa sema tuu kuna baadhi ya wanasheria ambao wanapenda ku-complicate mambo ili waonekane tofauti na wengine.
The only difference seems to be that lawyers know where to find the law, japokuwa maendeleleo ya teknologia yamewezesha hata wale ambao hawajasoma sheria kujua sehemu ya kuipata sheria.
Social worker ambaye hajui children law, family law, community care law, ata-struggle kufanya kazi yake ya kulinda watoto ipasavyo.
Kwa nchi za wenzetu, legal firms wanapenda kuajiri zaidi graduates ambao their first degree was not in law: All degrees welcome: why non-law graduates are in demand for solicitors' jobs : TARGETjobs
Unaweza kukuta issue ndogo tuu ya ku-solve kwa kutumia common sense lakini baadhi ya wanasheria wanai-complicate ili ionekane ni ngumu whilst in fact is not. Badala ya kutumia common sense, logical mind, etc, baadhi yao wana-complicate mambo.
Ndiyo maana Prof Shivji alikuwa analalamika kuwa alikuwa akiwapa wanafunzi wa sheria maswali simple, badala ya kujibu hayo maswali walikuwa wanajitengenezea maswali yao halafu wanashindwa kuyajibu.
Kwa mfano, nimemsoma nameless girl hapo juu akijaribu ku-complicate maana ya "contract" kuwa ni zaidi ya makubaliano.
Yea, there must be an offer and acceptance, consideration, intention to create legal relations, etc, lakini kama yeye ni mwanasheria ni lini mara ya mwisho alienda mahakamani kumtetea au kum-defend mteja ambaye kesi yake ilihusiana na issues za offer and acceptance au consideration?
Kwani huyu ni mwanasheria sasa.
Sijui katokea wapi kwanza....
another thing ni kwamba bongo hatuna utaratibu kwa kuresearch kwenye mambo hata ya binafsi tu, iwe library based research ama yyte ile............ingekuwa tunapedna basi watu wengi sana wangekuwa wanajua tu kwa kawaida utaratibu wa mtu kuish kwa nidhamu ukoje na kwamba achukue hatua gani kudai haki yake basi.
Sikubase kwenye mifano ya oral contract kama unavyodhani.Tukiongelea wananchi, asilimia kubwa sana ya watanzania hawapendi kusoma. Achilia mbali vitabu vya hadithi, hivyo vya sheria wanaviogopa kama ukoma. Unadhani mwananchi huyo atakaa akijisumbua kujua sheria ilhali kuna wanasheria waliosomea hayo?
Kwani huyu ni mwanasheria sasa.
Sijui katokea wapi kwanza....
Kwani huyu ni mwanasheria sasa.
Sijui katokea wapi kwanza....
Hahahaaaa humjui EMT wewe eeeh?
That's like our go to guy for all things legal, if you didn't know.
Unachekesha sana wewe.
But at least you haven't said anything as preposterous as saying teaching is not a profession.
Ooh God!! Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa kiza. Hili jukwaa la sheria huwa unalipitia??
Btw nini kimekufanya umuone si mwanasheria? Hajaandika kisomi au hajajiita msomi?
Huyo ni mwalimu wa sheria
Anamiliki hili jukwaa ama?
Sasa nimjue ili iweje?
Siko intrested kumjua nimemcomment kama alivyonicomment yeye.
Ahaaa! Sasa unaanza kuja kwenye hoja yangu ya msingi.
Na kwa nini hivyo vitabu vya sheria watu wanaviogopa? Kuna nini ndani yake kinachotisha?
Unadhani watu wakiweka bidii katika kujisomea hivyo vitabu vya sheriaa watashindwa kuelewa kwa vile tu wao hawana shahada ya sheria?
Sasa kitabu aogope mwingine swali uniulize mie, kwanini usiwaulize wenyewe?
Si ndo mpaka wakavipitie ivo vitabu.
You are a real piece of work!
Kwahiyo?
Halafu kuna mtu humu bila hata chembe ya haya akaja kudai eti ualimu siyo profession na kwamba hapa duniani profession ni tatu tu: sheria, udaktari, na uchungaji.