Wanasheria Njaa: Mnaaibisha Fani nzima ya Sheria

Bwa! ha! ha! ha! Si afadhali hata ningekosa hiyo admission ya kusoma sheria maana huenda hata ningekuwa admitted kusomea ualimu. Mwenzio hata form five sijafika.

Mi ni mbeba maboksi tu. Sina chuki na hao wasomi.

Hahhahaah...nimecheka mpaka basi haya bwana endelea kuargue na hao wanasheria wako tehtehee
 
Tunarudi kule kule....

Kule kule wapi? Kijijini kwenu?

Hatuko hapa kwaajili ya kuonyeshana nani zaidi...

Naam.

umetoa maswali yako nami nikatoa mawazo yangu.

Sikuomba mawazo yako. Nimeuliza maswali. Mawazo yako si majibu ya maswali yangu, hata kidogo.

Katika maswali yako, Kuna instruction zinaonyesha najibu line by line?

Hapana, hakukuwa na maelekezo ya hivyo. Lakini yalikuwa ni maswali dhahiri, yaliyo moja kwa moja. Badala ya kuyatolea majibu umeleta ngonjera na sindimba zako. Sijui Mmakonde wewe...?

Who the hell are you nikujibu line by line?

I'm Ngabu baby. The baddest madhafakka on the planet:smile-big:. You better aks somebody.

Natoa michango na mawazo yangu pamoja na kujibu maswali ambayo nitakua intrested nayo kwa style nitakayotaka mimi.

I knew it. You are at your wit's end, that's why.

Ukishindwa kuelewa go to hell.

How about we go together? It'll be hella fun.
 

Unaimba taarabu?
Kuna mtu ulimtaja jina kwenye maswali yako ya kipuuzi? Mwenyewe unajipa moyo ni maswali. Ukijibiwa kitoto unalalamika wakati umeuliza kitoto.
Sasa kama huo upuuzi mara kutaja makabila ya watu, what for???
lbuka hata na point ueleweke. Acha tabia za kiswahili.
 

Umefuraaaaa....mipovu hiyo.

Hata Waswahili nao ni watu wee bibi. Wanajamba, wanakunya kama ujambavyo na ukunyavyo wewe.

Haya jibu maswali yangu kama una ubavu? Teh teh teh....
 

Keshasema siyo mwanasheria, tena alikwepa mwenyewe sasa wala hata kuelewa. Ndiyo maana point chache longolongo kibao katika text yake. Hata kuelewa hayo mambo ya "substantive due process." Achana naye, twenzetu tukatetee watu!
 
Umefuraaaaa....mipovu hiyo.

Hata Waswahili nao ni watu wee bibi. Wanajamba, wanakunya kama ujambavyo na ukunyavyo wewe.

Haya jibu maswali yangu kama una ubavu? Teh teh teh....

unaelewa tofauti kati ya uswahili na waswahili?
 
Umefuraaaaa....mipovu hiyo.

Hata Waswahili nao ni watu wee bibi. Wanajamba, wanakunya kama ujambavyo na ukunyavyo wewe.

Haya jibu maswali yangu kama una ubavu? Teh teh teh....

We dogo hayo mabox uliyobeba leo yamekutoa akili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…