nameless girl
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 4,195
- 2,678
Ndo nini hiyo?
kutokujua kwako hiyo kitu, unanihakikishia ujue....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo nini hiyo?
kumbe jumapili unapumzikaga.... mmmmmh... pengine jana ulibeba mengi hee?
Hapana sikubeba.
kutokujua kwako hiyo kitu, unanihakikishia ujue....
umefukuzwa kazi?
Ndio..
Sielewi mimi:A S-confused1:
Wakuu Mgunduziforeva na nameless girl,
Kama kweli nyie ni wanasheria ambao napaswa kuwahitaji kunitetea, inakuwaje form four mbeba maboksi Nyani Ngabu anawashinda kwa hoja ndogo namna hii? Nitawaaminije kwenye cases zinazohitaji hoja kubwa kama hii ndogo mnashindwa kujibu na mapovu yanawatoka.
Wakati nawaacheni mmalizane na Ngabu mi nina kaswali ka kizushi.... Kwanini nyie lawyers mnapenda kujiita "wasomi"??? Taaluma yenu pekee ndo ina watu walioqualify kuitwa wasomi?
Tahadhari, tofauti na Ngabu aliyeishia kidato cha nne, mi baada ya kidato cha nne nlifanikiwa kusomea ufundi umeme, namiliki cheti cha VETA.
pole sana, kumbe uko na stress, ndo maana uko ivo. Si kosa lako.
Heheheheeee Komredi mchokozi wewe.
Ebana nina kakibanda kangu hapa Mwenge kanahitaji wayaring. Vipi, waweza hiyo kazi?
Haya, sawa si kosa langu. Yajibu basi yale maswali yangu. Kama umeyasahau haya hapa chini:
Hivi mtu atashindwaje kuitafsiri sheria?
Na mwanasheria yeye ana uwezo gani zaidi ambao watu wengine wasio wanasheria hawana, ambao unamwezesha yeye kuweza kutafsiri sheria?
Na hapa unazungumzia tafsiri. Tafsiri mara nyingi huwa si objective bali huwa subjective. Kwa hiyo, je, inawezekana ukapata wanasheria tofauti na kila mmoja wao akawa na tafsiri yake?
Kama ni hivyo (kila mwanasheria akawa na tafsiri yake), iweje sasa kwa mtu asiye mwanasheria naye akawa na tafsiri yake lakini tafsiri yake hiyo ikaonekana kana kwamba si sahihi (kama kuna usahihi kwenye tafsiri) bali ile ya mwanasheria tu ndiyo sahihi ilhali tafsiri huwa ziko subjective?
Hahaha kama learned nameless girl anaweza kututengenezea ka "contract" kwa maana ya tafsiri ya wasomi wa sheria.... Why not?
Usisahau ualimu sio proffesion, usije ukataka nikufundishe kufunga socket ya three switches lol
Wakuu Mgunduziforeva na nameless girl,
Kama kweli nyie ni wanasheria ambao napaswa kuwahitaji kunitetea, inakuwaje form four mbeba maboksi Nyani Ngabu anawashinda kwa hoja ndogo namna hii? Nitawaaminije kwenye cases zinazohitaji hoja kubwa kama hii ndogo mnashindwa kujibu na mapovu yanawatoka.
Wakati nawaacheni mmalizane na Ngabu mi nina kaswali ka kizushi.... Kwanini nyie lawyers mnapenda kujiita "wasomi"??? Taaluma yenu pekee ndo ina watu walioqualify kuitwa wasomi?
Tahadhari, tofauti na Ngabu aliyeishia kidato cha nne, mi baada ya kidato cha nne nlifanikiwa kusomea ufundi umeme, namiliki cheti cha VETA.
l guess uko so intrested na majibu yetu. Usijali, am here now
i can not argue with a senior lay person in a point of law because the public will not notice the difference between them and he don't know the cab rank rule
i can not argue with a senior lay person in a point of law because the public will not notice the difference between them and he don't know the cab rank rule
Here comes another learned brother. Nashauri utumie kiswahili ili sisi ambao si wasomi tukuelewe. Mathalani hapo ulipoandika "he don't know".... kwa umburula wangu ulonifanya nikaishia VETA na kumzidi kielimu comrade Nyani Ngabu, nlishakariri eti ulipaswa uandike "he doesn't know"
Wasomi mtuhurumie ambao hatujaenda shule. Tumieni lugha ya taifa tuwaelewe.
Ngoja nikazimue zangu mi fundi mchundo.