Wanasheria wa bure wa haki za binadamu kama kazi haiwalipi acheni kuliko kufanya kazi kwa visirani kwa wateja wenu

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
11,793
Reaction score
22,552
Vituo vya msaada wa kisheria vilianzishwa ili kumsaidia asiye na uwezo wa kuajili gharama za wakili wa kujitegemea!

Wizara na serikali kwa ujumla!
Tazameni upya vituo vya misaada ya kisheria!
Wanasheria waliopo kwenye vituo hivyo Wanafanya kazi kwa visirani kama wamelazimishwa!

Wako too aggressive sana kwa wateja! Msaada wao wa kisheria umejaa masimango ya kisaikolojia!
 
Swali kwani hawalipwi???
 
Wengi wakiona kesi haiwapi milage huwa wanapotezea.
 
Nikisema tafuta pesa nitasimangwa ila hii yote sababu kubwa ni kutokua na kipande.

Kipande hakuna, umoja hakuna, sheria hazifuatwi. Mlala hoi ana tabu sana hii nchi.
 
Na wanalipwa kama hawataki wangeacha
 
Back
Top Bottom