Wanasheria wa Lissu tupeni tafsiri ya "kukinukisha vibaya sana" ili tujue tujiandae vipi?

Tupate pia tafsiri ya Makalla aliyesema CHADEMA wamejiandaa kuleta virusi ya Ebola na Monkey Pox ili uchaguzi ufanyike.

Makalla alishaenda kituo gani cha polisi kurecord statement na uchunguzi uanze kuhusu hili suala?
 
Hata humu jukwaani Mshana Jr anakinukisha sana kwenye suala zima la nyuzi za picha.

Naye ni mhaini?
 
Kwani wewe ndiye Nassoro Katuga wakili mkuu wa serikali uliyepewa kazi na genge la wahuni kujaribu kum - frame Mwenyekiti wetu Tundu Lissu...?

Kama unadhani kukinukisha ni treason, mbona mnanyuti kuipeleka kesi High Court ili tukaamuliwe huko na wewe upewe tafsiri huko....?

By the way, sentensi "ni kweli tutaasi na tutakinukisha vibaya sana" kila upande unaweza kuwa na tafsiri yake kulingana muktadha (contextual usage...)

Tundu Lissu, alitumia sentensi hiyo ktk context ya ubovu wa mfumo wa uchaguzi Tanzania na kwamba ktk namna yoyote ile mfumo huu uliopo sasa si wa kidemokrasia ukipendelea upande mmoja (chama kiluchopo madarakani) na hivyo, ili urekebishwe lazima ukataliwe na kupingwa ili kutengeneza electoral system mpya na ya haki kwa kila mtu na kufanya chaguzi ziwezekane tena...

Zipo njia njingi za kidemokrasia na za kikatiba zinazoweza kutumika kupinga (protest against) sheria au mifumo fulani usiofaa ktk jamii ikiwemo migomo, maandamano ambako huku ndiko kukinukisha kwenyewe maana mamilioni ya watu wataandamana na kufanya hali ya hewa inuke na wenye mamlaka waione hatari iliyo mbele yao na hivyo kufanya kile wananchi wanachotaka nk....

Kwa hiyo ktk context hii, sentensi "tutakinukisha vibaya sana ktk uchaguzi wa mwaka huu 2025" tafsiri yake ni rahisi tu, kuwa, tutapinga kwa nguvu zote tukijua kuwa upande wa watawala watatumia maguvu kuzuia harakati zetu za kupingana na sheria na mfumo mbaya wa uchaguzi...

Na ndiyo maana hata ya slogan ya NO REFORMS, NO ELECTION; ikiwa na maana kuwa, bila kuwa na mfumo bora na wa haki wa uchaguzi ili kufanya chaguzi zetu kuwa za HAKI, HURU, WAZI na za KUAMINIKA basi, hakutakuwa na uchaguzi maana wananchi tutakataa na kwa hiyo tutauzia kwa njia mbalimbali za kikatiba na kidemokrasia ikiwemo kutokwenda kupiga kura, migomo na maandamano...

Bado tu hujaelewa Wakili Nassoro Katuga a.k.a kavulata...?
Duuuuh kaka hiyo haitoshi kabisa. Kama ukisikiliza mkazo wa sauti (intonation) ya Lissu wakati anasema tutakinukisha vibaya sana inaonekana kumaanisha kitu kikubwa sana.

Lissu anafahamu kuwa ubovu wa mchakato wa uchaguzi umo kwenye katiba ya 1977, na anafahamu kabisa kuwa siku ya uchaguzi takriban vyombo vyote vya ulinzi na usalama viko standby na vinashiriki kikamilifu kusimamia uchaguzi. Lakini pamoja na kuujua ukweli huo bado anasema atakinukisha vibaya sana siku ya uchaguzi. Lissu ana nguvu gani kuweza kusimamisha uchaguzi nchi nzima yenye majeshi na polisi na usalama wa taifa?

Wananchi wana haki ya kulindwa na serikali yao dhidi ya viashiria vya uvunjifu wa amani. Kwanini Lissu hakutaja maandamano makubwa kama njia ya kukinukisha? Kwanini hakuitisha maandamano siku ya uchaguzi watu wakijua kuwa kutakuwa na maandamano,

Bado tunahitaji tafsiri ya kukinukisha vibaya sana. Ili tuchukue hadhari mapema. Kama Lissu ana haki na sisi tuna haki ya kulindwa. Nadhani serikali Iko sahihi kumuweka Lissu ndani hadi uchaguzi upite kwanza wakati wanatafuta tafsiri na dhamira halisi ya kukinukisha vibaya sana siku ya uchaguzi.

Sisi tunajua namna rahisi ya kuzuia uchaguzi nchi nzima ni kwa mgombea mmojawapo wa chama kufa au nchi kupinduliwa. Vinginevyo hakuna namna nyingine.
 
Nilimsikia mh. Lissu kwenye Moja ya mikutano yake akisema , kuahidi na kuapa kuwa watakinukisha vibaya sana siku ya uchaguzi 2025. Ukweli sisi waoga tulishikwa na hofu kuhusu kauli hii adimu kuisikia.

Shida yangu ni kwamba sijui kukinukisha vibaya sana ni nini, watatumia nini kunukisha, kwa kiwango gani na nani atalengwa na madhara yake.

Ukweli Mimi sijui nijiandae na nini , nitegee nini na nifanye nini siku hiyo ya kukinukisha ikifika, maana sijui kama kukinukisha kutaambana na mabomu, kupigwa, kuchomwa magari, kuchoma nyumba , kupigwa rungu au kuuliwa,

Je, siku hiyo itanibidi nikae nyumbani, nishike silaha, nihame nchi au nisubiri tu nione kitatokea nini kwangu, familia, ndugu na majirani?

Je, serikali ikae kimya na kusubiri kuona kwanza kukinukisha vibaya sana ni nini ndiyo ichukue hatua?

Wabasheria wa Lissu naomba watoe ufafanuzi kuhusu maneno ya mteja wao ya "tutakinukisha vibaya sana siku ya uchaguzi", wasikae kimya tu bila kututoa wasiwasi sisi wadau. Maneno haya ya Lissu na wenzake hatuwezi kuyapuuza hata kidogo hata kwa bahati mbaya tu. Toeni ufafanuzi kuhusu ni akina nani watakinukisha, watafanya nini ili kinuke sana, ni akina nani wataadhirika, sisi raia tufanye nini ili tusinuke.

Ni muhimu sana.
 
Ustaadh unateseka sana wenzako unaojikomba kwao wanakula na kusaza wewe unaambulia makombo tu.
 
Watanzania wengi tukikubaliana na Chadema siku ya uchaguzi tusiende kupiga kura, hapo kitakuwa kimenuka kweli kweli!, baada ya Pole pole kujiuzulu ubalozi na kuongea aliyoyaongea ccm kimenuka kweli kweli! hata Jana Taifa stars walikinukisha uwanja wa B'mkapa.
Kwa maneno hayo hawawezi kumtia Lissu hatiani.
Unaona hata wewe hujui anamaanisha nini hasa. Kumbe kukaa mahabusu wakati tunatafuta tafsiri halisi ni sawa tu Wakati wanasheria wanatokwa mapovu juu ya mh. Lissu wasisahau kuwa hata wananchi wako kwenye wasiwasi pia.
 
Nadhani hapo ni kazi ya wanasheria na mawakili wa Jamhuri kutuambia!
Vinginevyo watakuwa hawajui walichomshitakia Lissu!
 
Nilimsikia mh. Lissu kwenye Moja ya mikutano yake akisema , kuahidi na kuapa kuwa watakinukisha vibaya sana siku ya uchaguzi 2025. Ukweli sisi waoga tulishikwa na hofu kuhusu kauli hii adimu kuisikia.

Shida yangu ni kwamba sijui kukinukisha vibaya sana ni nini, watatumia nini kunukisha, kwa kiwango gani na nani atalengwa na madhara yake.

Ukweli Mimi sijui nijiandae na nini , nitegee nini na nifanye nini siku hiyo ya kukinukisha ikifika, maana sijui kama kukinukisha kutaambana na mabomu, kupigwa, kuchomwa magari, kuchoma nyumba , kupigwa rungu au kuuliwa,

Je, siku hiyo itanibidi nikae nyumbani, nishike silaha, nihame nchi au nisubiri tu nione kitatokea nini kwangu, familia, ndugu na majirani?

Je, serikali ikae kimya na kusubiri kuona kwanza kukinukisha vibaya sana ni nini ndiyo ichukue hatua?

Wabasheria wa Lissu naomba watoe ufafanuzi kuhusu maneno ya mteja wao ya "tutakinukisha vibaya sana siku ya uchaguzi", wasikae kimya tu bila kututoa wasiwasi sisi wadau. Maneno haya ya Lissu na wenzake hatuwezi kuyapuuza hata kidogo hata kwa bahati mbaya tu. Toeni ufafanuzi kuhusu ni akina nani watakinukisha, watafanya nini ili kinuke sana, ni akina nani wataadhirika, sisi raia tufanye nini ili tusinuke.

Ni muhimu sana.
Screenshot_20250411_035715_TikTok.jpg

Vipi na hawa walikamatwa?
 
Hivi huwa mnauliza swali hili kana kwamba nyie ni watu wajinga msio hata na akili kidogo...

Zipo njia nyingi tu za kidemokrasia za kuzuia jambo fulani haramu lisifanyike. Chaguzi za 2919, 2920 na 2024 zote zilikuwa haramu na haiwezekani tena tukaruhusu uharamu mwingine mwaka 2025 na zile zijazo. LAZIMA TUBADILISHE HALI...!!

Hizi ndizo njia rahisi lakini very effective za kuzuia ubaya au uovu (chaguzi za TZ kwa sasa si chaguzi bali ni matendo ya uovu yanayowaweka watu waovu kuwa viongozi wa nchi, taufa na wananchi wema) usitokee;

1. Kutoa elimu ya haki za kikatiba, kiraia na kisiasa kwa watu/wananchi.

➡Wananchi wamejua uumuhimu wa kuchagua viongozi wao kupitia michakato huru, ya wazi na ya haki...
➡Hiki ndicho kilichokuwa kinafanywa na CHADEMA mpaka Jaji Mwanga kiharamu tu akazuia harakati hizo kwa kwa kuitumia mahakama....
➡Na kusema kweli tu ni kuwa, CHADEMA kwa kutumia njia hii wamefanikiwa kwa 100%+...
➡Asilimia kubwa (pengine zaidi ya 90%) wamejua na wanajua kuwa tangu mwaka 2019 hawaoni tena umuhimu wa kwenda kupiga kura kuchagua viongozi kwa sbb kura zao hazina thamani tena na haziamui nani awe kiongozi wao...!

2. Watu kufanya mgomo wa kutokwenda kupiga kura ikiwa ni shinikizo la kutaka electoral system changes;

➡By the way hii haijaanza na haitaanza mwaka huu. Ilishaanza kitambo. Na ktk uchaguzi wa 2024 mgomo ulijidhirisha wazi mno...

3. Maandamano kupinga zoezi zima...

##Kama ulikuwa hujui, basi hiyo☝🏻☝🏻 ndiyo maana halisi ya umma/wananchi kuasi na kukinukisha kulikomaanishwa na kauli ya Tundu Lissu...!

##Bado huelewi tu kavulata????

Kwani nani kapinduliwa?
Mgombea gani kafariki..?
Mtu mkubwa gani amefariki..?
Mbona una pre empty mambo..?

NOTE: Sisi hatusubiri afe kiongozi au mtu mkubwa fulani unayemjua wewe ili kuzuia uharamu kufanyika...

Hautafanyika uchaguzi wowote na nyie wote mkiwa hai mnaona...

Kumbuka hii: NO REFORMS, NO ELECTION 2025...!!!
Kaka toa mfano wa taifa ambalo
Nadhani hapo ni kazi ya wanasheria na mawakili wa Jamhuri kutuambia!
Vinginevyo watakuwa hawajui walichomshitakia Lissu!
Kwahiyo ulitaka wamsubirie akinukishe vibaya sana kwanza ndiyo wachukue hatua. Upjinga Gani huu?
 
Nilimsikia mh. Lissu kwenye Moja ya mikutano yake akisema , kuahidi na kuapa kuwa watakinukisha vibaya sana siku ya uchaguzi 2025. Ukweli sisi waoga tulishikwa na hofu kuhusu kauli hii adimu kuisikia.

Shida yangu ni kwamba sijui kukinukisha vibaya sana ni nini, watatumia nini kunukisha, kwa kiwango gani na nani atalengwa na madhara yake.

Ukweli Mimi sijui nijiandae na nini , nitegee nini na nifanye nini siku hiyo ya kukinukisha ikifika, maana sijui kama kukinukisha kutaambana na mabomu, kupigwa, kuchomwa magari, kuchoma nyumba , kupigwa rungu au kuuliwa,

Je, siku hiyo itanibidi nikae nyumbani, nishike silaha, nihame nchi au nisubiri tu nione kitatokea nini kwangu, familia, ndugu na majirani?

Je, serikali ikae kimya na kusubiri kuona kwanza kukinukisha vibaya sana ni nini ndiyo ichukue hatua?

Wabasheria wa Lissu naomba watoe ufafanuzi kuhusu maneno ya mteja wao ya "tutakinukisha vibaya sana siku ya uchaguzi", wasikae kimya tu bila kututoa wasiwasi sisi wadau. Maneno haya ya Lissu na wenzake hatuwezi kuyapuuza hata kidogo hata kwa bahati mbaya tu. Toeni ufafanuzi kuhusu ni akina nani watakinukisha, watafanya nini ili kinuke sana, ni akina nani wataadhirika, sisi raia tufanye nini ili tusinuke.

Ni muhimu sana.
Unakula maharage na Mayai yakuchemsha halafu unajamba vibaya sana hapo siunakua unekinukisha kishuzi au kijambo inaweza pia kua maana mana harufu yake hapatakalika

No reform No Election
 
Waliomkamata wamewaza kama mm. Nyie mnawaza kindezi. Mnajua ni watu wangapi watakufa kama Lissu akitaka kuzuia uchaguzi nchi nzima?
 
Kwani wewe ndiye Nassoro Katuga wakili mkuu wa serikali uliyepewa kazi na genge la wahuni kujaribu kum - frame Mwenyekiti wetu Tundu Lissu...?

Kama unadhani kukinukisha ni treason, mbona mnanyuti kuipeleka kesi High Court ili tukaamuliwe huko na wewe upewe tafsiri huko....?

By the way, sentensi "ni kweli tutaasi na tutakinukisha vibaya sana" kila upande unaweza kuwa na tafsiri yake kulingana muktadha (contextual usage...)

Tundu Lissu, alitumia sentensi hiyo ktk context ya ubovu wa mfumo wa uchaguzi Tanzania na kwamba ktk namna yoyote ile mfumo huu uliopo sasa si wa kidemokrasia ukipendelea upande mmoja (chama kiluchopo madarakani) na hivyo, ili urekebishwe lazima ukataliwe na kupingwa ili kutengeneza electoral system mpya na ya haki kwa kila mtu na kufanya chaguzi ziwezekane tena...

Zipo njia njingi za kidemokrasia na za kikatiba zinazoweza kutumika kupinga (protest against) sheria au mifumo fulani usiofaa ktk jamii ikiwemo migomo, maandamano ambako huku ndiko kukinukisha kwenyewe maana mamilioni ya watu wataandamana na kufanya hali ya hewa inuke na wenye mamlaka waione hatari iliyo mbele yao na hivyo kufanya kile wananchi wanachotaka nk....

Kwa hiyo ktk context hii, sentensi "tutakinukisha vibaya sana ktk uchaguzi wa mwaka huu 2025" tafsiri yake ni rahisi tu, kuwa, tutapinga kwa nguvu zote tukijua kuwa upande wa watawala watatumia maguvu kuzuia harakati zetu za kupingana na sheria na mfumo mbaya wa uchaguzi...

Na ndiyo maana hata ya slogan ya NO REFORMS, NO ELECTION; ikiwa na maana kuwa, bila kuwa na mfumo bora na wa haki wa uchaguzi ili kufanya chaguzi zetu kuwa za HAKI, HURU, WAZI na za KUAMINIKA basi, hakutakuwa na uchaguzi maana wananchi tutakataa na kwa hiyo tutauzia kwa njia mbalimbali za kikatiba na kidemokrasia ikiwemo kutokwenda kupiga kura, migomo na maandamano...

Bado tu hujaelewa Wakili Nassoro Katuga a.k.a kavulata...?
Iko hivi, Lissu ni raia sawa na raia wengine, anazo haki zake ambazo zinahitaji kulindwa. Lakini unapolinda haki ya mtu mmoja hakikisha kuwa hukanyaji haki za raia wenzake mmojammoja au walio wengi. Uchaguzi wa kila baada ya miaka 5 uko kwenye Katiba yetu. Wewe mwanasheria wa Lissu na hata Lissu mwenyewe lazima muanzie hapo. Hivyo mtu yeyote anapotoa tamko la kusudio la kuvunja Katiba uchaguzi usifanyike nchi nzima ni kusudio la kuvunja Katiba. Sio kwa kutamka tu bali anaenda mbali kwa kufanya mikutano ya kuelezea adhima yake hiyo ya kusimamisha uchaguzi usifanyike nchi nzima.

Wanasheria wa Lissu najua mnajua kuwa hakuna takwimu za ni watu wangapi wanamuunga mkono Lissu kwenye kusudio lake hilo la kusimamisha uchaguzi nchi nzima na wangapi hawamuungi mkono. Wale ambao wanaunga mkono haki yao ya Kitatiba na kushiriki uchaguzi inalindwaje dhidi ya dhamira ya Lissu na genge lake wanaotaka kuzuia uchaguzi?

Wanasheria wa Lissu tuambieni kama mnajua namna ambavyo Lissu atakavyomudu kuzuia uchaguzi usifanyike nchi nzima pamoja na kuwepo na watu wengi na walinzi wengi wanaounga mkono uchaguzi ufanyike kwa mujibu wa Katiba. Anazo nguvu kiasi gani za kumuwezesha kusimamisha uchaguzi nchi nzima?

Wanasheria wa Lissu mnafahamu kuwa uchanguzi huu pamoja na taratibu zote za uchaguzi vinafuata Katiba yetu ambayo wote tunalazimika kuitii?

Wanasheria wa Lissu imeshapiga hesabu za makadirio ya watu watakaoathirika wakati uchaguzi unazuiwa usifanyike nchi nzima?

Wanasheria wa Lissu tuambieni ni matukio gani ambayo yanaweza kusababisha uchaguzi usifanyike nchi nzima?
 
Ni matukio Gani kama yatatokea uchaguzi hautafanyika nchi nzima? Unahitaji D mbili kujua nini ni wanapanga?

Tunayo haki pia ya kujua ili tufanye maandalizi ya siku hiyo ya kukinukisha. Kama ni kutafuta passport, kukaa ndani kuikimbia nchi au tufanye nini sisi ili tuwe salama.

Wakati wanasheria wanapambania haki ya Lissu wasisahau haki za raia pia dhidi ya kauli za Lissu na wenzake. Hata sisi raia tuna haki ya kulindwa
Duhh mahakama zingekuwa zinatafsiri Sheria Kwa mazanio kama wewe basi jamii ya kimasai wengi wangekura miaka jela Kwa makosa ya jinai mana hapo kushika rungu na panga tafsiri yake unaenda kudhuru mtu
 
Ndio maana mila na desturi ni muhimu sana kwenye kutenda kosa. Kama mila na desturi zenu zinaruhusu kuoana na dada yako hilo kimila ni ruksa tu. No reform no election ni cohesive language ambayo msingi wake mkuu ni kulazimisha kuvunja Katiba inayoagiza kuwe na uchaguzi kila baada ya miaka 2 na utaratibu wa kuchaguana umo kwenye katiba.
 
Iko hivi, Lissu ni raia sawa na raia wengine, anazo haki zake ambazo zinahitaji kulindwa. Lakini unapolinda haki ya mtu mmoja hakikisha kuwa hukanyaji haki za raia wenzake mmojammoja au walio wengi.
CHADEMA na Tundu Lissu na sisi hatukanyagi haki ya mtu yeyote. Wanaokanyaga haki za watu wote wa Tanzania ni hao wanaotrngeneza mifumo ya uchaguzi isiyo haki, ya kuwawezesha kuiba kura na kujipachika uongozini pasipo ridhaa ya watu...

Kusema kwamba tufanye mabadiliko ya sheria za mfumo wetu wa uchaguzi kwanza, tuondoe sheria kandamizi zisizo haki, zinazopora haki za watu kuchagua viongozi, sheria zinazowapa viongozi kuondoa thamani ya kura ndipo tufanye uchaguzi ulio wa haki, huru na wa wazi yaweza vipi kuwa ni kukanyaga haki za wengine..?

Hebu nifafanulie. Yupi kati ya anayeng'ng'ania sheria mbovu za uchaguzi zinazonyima haki watu kuchagua viongozi wao kwa uhuru na uwazi na yule anayesema, hebu kabla ya kufanya uchaguzi, tufanye kwanza marekebisho ya sheria?
Uchaguzi wa kila baada ya miaka 5 uko kwenye Katiba yetu.
Yes. Ni kweli chaguzi ni kila baada ya miaka mitano...

Na hakuna anayesema tusifanye chaguzi zetu kila baada ya miaka mitano hiyo....

Swali unalopaswa na wewe ulijibu ni hili👇🏻..

Kwamba, katika mazingira ya chama kilicho madarakani CCM kujipendelea kwa kutumia vibaya sheria mbovu zilizopo (kwa sbb zinawapa upenyo huo) kujinufaisha wao kiasi cha kuchafua vibaya chaguzi za mwaka 2019, 2020 na 2024 na kuhahatarisha usalama wa nchi unadhani kuna haja gani kufanya uchaguzi mwingine chini ya mazingira haya haya hata kama katiba au utaratibu unasema uchaguzi ni kila baada ya miaka mitano...?

Na huo utaratibu umewekwa na nani kama sio sisi wenyewe wananchi...?

Je, hatuwezi si kuufanyia marekebisho kwa kuubadlisha sisi wenyewe pia ili kufanya mambo yawe mazuri zaidi...?

Au wewe hujui kuwa katiba hiihii mbovu ya 1977 imeweka utaratibu ya kusukuma mbele tarehe ya uchaguzi kwa kipindi cha mwaka mmoja au zaidi iwapo kuna dharura ya kushughulikia? Au wewe huoni hili kuwa ni suala la dharura...?
Hivyo mtu yeyote anapotoa tamko la kusudio la kuvunja Katiba uchaguzi usifanyike nchi nzima ni kusudio la kuvunja Katiba. Sio kwa kutamka tu bali anaenda mbali kwa kufanya mikutano ya kuelezea adhima yake hiyo ya kusimamisha uchaguzi usifanyike nchi nzima.
Wewe ni mjinga tu, huelewewi..

Hakuna mahali katiba imevunjwa. Wanaovunja katiba ni wale wanaoteka watu, kuwatesa na kuwaua, kuwafungulia mashitaka ya uongo...

Kudai mabadiliko ya kisheria na kikatiba ili kuruhusu mfumo huru, wa haki na usawa na wa kuaminika wa uchaguzi kamwe si KUVUNJA SHERIA NA KATIBA BALI NI KUITETEA KATIBA INAYOSISITIZA HAKI NA USAWA...

Kama unabisha, thibitisha dai lako hili kisheria na kikatiba...
Wanasheria wa Lissu najua mnajua kuwa hakuna takwimu za ni watu wangapi wanamuunga mkono Lissu kwenye kusudio lake hilo la kusimamisha uchaguzi nchi nzima na wangapi hawamuungi mkono.
Dai hili wala sio la Tundu Lissu na CHADEMA anayoingoza pekee. Hili ni dai la wananchi wote kasoro wale wachache sana wanaonufaika na uchafu huu ambao ndio wako bize kufukuzia nafasi hizo za udiwani, ubunge na u - Rais kwa hila, rushwa na hongo za kila namna...

Endeleeni na mbwembwe zenu za kijuha huku ukweli ukiwakodolea macho kweupe. ILA FAHAMUNI KUWA KAMWE HAMTAFANIKIWA, MTAANGUKA KWA KISHINDO NA MAJUTO MAKUU...!!
Wale ambao wanaunga mkono haki yao ya Kitatiba na kushiriki uchaguzi inalindwaje dhidi ya dhamira ya Lissu na genge lake wanaotaka kuzuia uchaguzi?
Dhamira ya CHADEMA, wananchi na Tundu Lissu inalindwa na ibara ya 8 ya katiba ya JMT ya 1977 isemayo;

8.-(1) Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Nchi inayofuata
misingi ya demokrasia na haki ya kijamii, na kwa hiyo -

(a) wananchi ndio msingi wa mamlaka yote, na Serikali
itapata madaraka na mamlaka yake yote kutoka kwa
wananchi kwa mujibu wa Katiba hii;
(b) lengo kuu la serikali litakuwa ni ustawi wa wananchi;
(c) Serikali itawajibika kwa wananchi;

(d) wananchi watashiriki katika shughuli za Serikali yao...​
Na wewe hebu, tuambie wezi wa kura, kutesa na kuua watu, kumbambikia watu kesi za uhaini, watu kujitangaza wenyewe kuwa washindi wa uchaguzi na ni viongozi, kuengua washindani wao ktk chaguzi bila sbb za za kikatiba wanatumia kifungu au ibara gani ya katiba..?
Wanasheria wa Lissu tuambieni kama mnajua namna ambavyo Lissu atakavyomudu kuzuia uchaguzi usifanyike nchi nzima pamoja na kuwepo na watu wengi na walinzi wengi wanaounga mkono uchaguzi ufanyike kwa mujibu wa Katiba. Anazo nguvu kiasi gani za kumuwezesha kusimamisha uchaguzi nchi nzima?
Kama mnajua kuwa hawezi, inakuwaje mnatengeneza kesi ya uongo na kumfanya akae gerezani? Sio kwamba mnajua kuwa atazuia na hivyo mnsmuogopa? Mlijaribu kumuua 2017 mkashindwa. Sasa mnataka ku - manipulate sheria ili mjaribu kumuua kwa kutumia sheria na mahakama. Unadhani mtaweza? Nakuambia kwa herufi kubwa kabisa, kuwa mtu huyu ni mtu wa HAKI. Haki huwa haiuwawi kwa Mungu mwenyewe ndiye HAKI. Mnajidhalilisha na kujichoresha tu..!

By the way, agenda hii sio ya Lissu. Alichokibeba ni agenda ya taifa. Ni agenda ya wananchi. Ni agenda ya HAKI dhidi ya dhuluma. Tundu Lissu ni mjumbe tu...
Wanasheria wa Lissu mnafahamu kuwa uchanguzi huu pamoja na taratibu zote za uchaguzi vinafuata Katiba yetu ambayo wote tunalazimika kuitii?
Hatulazimiki kutii uovu na ubovu...

Kumbuka kwa sasa ni, NO REFORMS NO ELECTION. Soma maelezo juu☝🏻☝🏻
Wanasheria wa Lissu imeshapiga hesabu za makadirio ya watu watakaoathirika wakati uchaguzi unazuiwa usifanyike nchi nzima?
Exactly, hesabu ilishapigwa tangu 2019...

2019, ilikuwa si uchaguzi bali ulikuwa uchafuzi na hivyo kuathiri mamilioni ya watu

Vivyo hivyo 2020 na 2024...

Kwa 2025 tunasema, NO REFORMS NO ELECTION. Unaelewa...?
Wanasheria wa Lissu tuambieni ni matukio gani ambayo yanaweza kusababisha uchaguzi usifanyike nchi nzima?
Sheria mbovu zinapelekea kutengeneza mfumo mbovu wa uchaguzi ambao unaruhusu watu kuiba kura, watu kuuwawa, utekaji na uchafu mwingine..

Ndio maana tunasema, NO REFORMS NO ELECTION...!
 
CHADEMA na Tundu Lissu na sisi hatukanyagi haki ya mtu yeyote. Wanaokanyaga haki za watu wote wa Tanzania ni hao wanaotrngeneza mifumo ya uchaguzi isiyo haki, ya kuwawezesha kuiba kura na kujipachika uongozini pasipo ridhaa ya watu...

Kusema kwamba tufanye mabadiliko ya sheria za mfumo wetu wa uchaguzi kwanza, tuondoe sheria kandamizi zisizo haki, zinazopora haki za watu kuchagua viongozi, sheria zinazowapa viongozi kuondoa thamani ya kura ndipo tufanye uchaguzi ulio wa haki, huru na wa wazi yaweza vipi kuwa ni kukanyaga haki za wengine..?

Hebu nifafanulie. Yupi kati ya anayeng'ng'ania sheria mbovu za uchaguzi zinazonyima haki watu kuchagua viongozi wao kwa uhuru na uwazi na yule anayesema, hebu kabla ya kufanya uchaguzi, tufanye kwanza marekebisho ya sheria?

Yes. Ni kweli chaguzi ni kila baada ya miaka mitano...

Na hakuna anayesema tusifanye chaguzi zetu kila baada ya miaka mitano hiyo....

Swali unalopaswa na wewe ulijibu ni hili👇🏻..

Kwamba, katika mazingira ya chama kilicho madarakani CCM kujipendelea kwa kutumia vibaya sheria mbovu zilizopo (kwa sbb zinawapa upenyo huo) kujinufaisha wao kiasi cha kuchafua vibaya chaguzi za mwaka 2019, 2020 na 2024 na kuhahatarisha usalama wa nchi unadhani kuna haja gani kufanya uchaguzi mwingine chini ya mazingira haya haya hata kama katiba au utaratibu unasema uchaguzi ni kila baada ya miaka mitano...?

Na huo utaratibu umewekwa na nani kama sio sisi wenyewe wananchi...?

Je, hatuwezi si kuufanyia marekebisho kwa kuubadlisha sisi wenyewe pia ili kufanya mambo yawe mazuri zaidi...?

Au wewe hujui kuwa katiba hiihii mbovu ya 1977 imeweka utaratibu ya kusukuma mbele tarehe ya uchaguzi kwa kipindi cha mwaka mmoja au zaidi iwapo kuna dharura ya kushughulikia? Au wewe huoni hili kuwa ni suala la dharura...?

Wewe ni mjinga tu, huelewewi..

Hakuna mahali katiba imevunjwa. Wanaovunja katiba ni wale wanaoteka watu, kuwatesa na kuwaua, kuwafungulia mashitaka ya uongo...

Kudai mabadiliko ya kisheria na kikatiba ili kuruhusu mfumo huru, wa haki na usawa na wa kuaminika wa uchaguzi kamwe si KUVUNJA SHERIA NA KATIBA BALI NI KUITETEA KATIBA INAYOSISITIZA HAKI NA USAWA...

Kama unabisha, thibitisha dai lako hili kisheria na kikatiba...

Dai hili wala sio la Tundu Lissu na CHADEMA anayoingoza pekee. Hili ni dai la wananchi wote kasoro wale wachache sana wanaonufaika na uchafu huu ambao ndio wako bize kufukuzia nafasi hizo za udiwani, ubunge na u - Rais kwa hila, rushwa na hongo za kila namna...

Endeleeni na mbwembwe zenu za kijuha huku ukweli ukiwakodolea macho kweupe. ILA FAHAMUNI KUWA KAMWE HAMTAFANIKIWA, MTAANGUKA KWA KISHINDO NA MAJUTO MAKUU...!!

Dhamira ya CHADEMA, wananchi na Tundu Lissu inalindwa na ibara ya 8 ya katiba ya JMT ya 1977 isemayo;

8.-(1) Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Nchi inayofuata
misingi ya demokrasia na haki ya kijamii, na kwa hiyo -

(a) wananchi ndio msingi wa mamlaka yote, na Serikali
itapata madaraka na mamlaka yake yote kutoka kwa
wananchi kwa mujibu wa Katiba hii;
(b) lengo kuu la serikali litakuwa ni ustawi wa wananchi;
(c) Serikali itawajibika kwa wananchi;

(d) wananchi watashiriki katika shughuli za Serikali yao...​
Na wewe hebu, tuambie wezi wa kura, kutesa na kuua watu, kumbambikia watu kesi za uhaini, watu kujitangaza wenyewe kuwa washindi wa uchaguzi na ni viongozi, kuengua washindani wao ktk chaguzi bila sbb za za kikatiba wanatumia kifungu au ibara gani ya katiba..?

Kama mnajua kuwa hawezi, inakuwaje mnatengeneza kesi ya uongo na kumfanya akae gerezani? Sio kwamba mnajua kuwa atazuia na hivyo mnsmuogopa? Mlijaribu kumuua 2017 mkashindwa. Sasa mnataka ku - manipulate sheria ili mjaribu kumuua kwa kutumia sheria na mahakama. Unadhani mtaweza? Nakuambia kwa herufi kubwa kabisa, kuwa mtu huyu ni mtu wa HAKI. Haki huwa haiuwawi kwa Mungu mwenyewe ndiye HAKI. Mnajidhalilisha na kujichoresha tu..!

By the way, agenda hii sio ya Lissu. Alichokibeba ni agenda ya taifa. Ni agenda ya wananchi. Ni agenda ya HAKI dhidi ya dhuluma. Tundu Lissu ni mjumbe tu...

Hatulazimiki kutii uovu na ubovu...

Kumbuka kwa sasa ni, NO REFORMS NO ELECTION. Soma maelezo juu☝🏻☝🏻

Exactly, hesabu ilishapigwa tangu 2019...

2019, ilikuwa si uchaguzi bali ulikuwa uchafuzi na hivyo kuathiri mamilioni ya watu

Vivyo hivyo 2020 na 2024...

Kwa 2025 tunasema, NO REFORMS NO ELECTION. Unaelewa...?

Sheria mbovu zinapelekea kutengeneza mfumo mbovu wa uchaguzi ambao unaruhusu watu kuiba kura, watu kuuwawa, utekaji na uchafu mwingine..

Ndio maana tunasema, NO REFORMS NO ELECTION...!
Uko sahihi kwamba CCM ina nafasi kubwa ya kushinda uchaguzi kwa namna katiba ilivyo. Lakini Katiba hii siyo ya mwaka huu, ni ya mwaka 1977. Katiba inaelezea namna tume ya uchaguzi inavyopatikana na wasimamizi, na kuhesabu na kutangaza matokeo ya uchaguzi. Kila mtu anajua hata Samia aliingia kwa Katiba hiyohiyo na ameapa kuilinda yeye na wenzake wote. Kumbuka pia katiba ni mali ya watanzania wote, wana siasa na wasiokuwa wanasiasa, huwezi kufuata mdundo wa Lissu pekee kubadilisha Katiba. Lissu na genge lake hawawezi kutoa ultimatum kwa watanzania 65m kubadilisha katiba la sivyo uchaguzi hakuna; na nyie wanasheria wake mnaona kuwa Lissu uyko sahihi.

Kubadilisha katiba ya nchi ni mchakato unaohitaji malidhiano ya raia wote sio kakikundi ka watu kanakotaka kurahisishiwa kwenda Ikulu. Rais. Kama kuandika katiba ingekuwa rahisi hivyo basi JPM (bulldozer) angeshaiandika mapeema hata kabla ya kuhamisha serikali kwenda Dodoma.
 
Uko sahihi kwamba CCM ina nafasi kubwa ya kushinda uchaguzi kwa namna katiba ilivyo. Lakini Katiba hii siyo ya mwaka huu, ni ya mwaka 1977.
Kwa hiyo..?
Katiba inaelezea namna tume ya uchaguzi inavyopatikana na wasimamizi, na kuhesabu na kutangaza matokeo ya uchaguzi. Kila mtu anajua hata Samia aliingia kwa Katiba hiyohiyo na ameapa kuilinda yeye na wenzake wote.
Sasa tunaona kuwa ina mapungufu, na tunataka tuirekebishe ili ikidhi matakwa ya nyakati na majira haya. Kuna makosa gani kuweka madai haya...?
Kumbuka pia katiba ni mali ya watanzania wote, wana siasa na wasiokuwa wanasiasa,
Ni sahihi. Ni mali yetu wote...
huwezi kufuata mdundo wa Lissu pekee kubadilisha Katiba.
Kama hii ni ndiyo hoja yako kwa kum - sight Lissu, basi na mimi nakuambia hivi, na sisi HATUWEZI KUFUATA MDUNDO WA WANASIASA WA CCM NA SAMIA PEKEE wanaotaka mambo yawe hovyo hivihivi kwa kutufanya sisi wananchi ni wajinga na wapumbavu wa kutuburuza tu....

Katiba ni mali yetu sote, ni makubaliano yote. Kunapokuwa na mabishano, basi there are must a way to kumaliza hayo mabishano. The best way ya kumaliza mabishana ni kukaa chini na kukubaliana namna ya kwenda mbele. Kwanini CCM hawataki njia hii..??

Swali langu kwako ni hili: Tunapokuwa na mabishano ya jambo la kikatuba kati ya pande mbili za wananchi, unadhani njia ya kutatua ni kwa yule mwenye madaraka kuwanyamazisha wa upande wa pili kwa kuwateka, kutesa, kuwapoteza, kuwaua na kuwatengenezea kesi mbaya ili awafunge jela...?
Lissu na genge lake hawawezi kutoa ultimatum kwa watanzania 65m kubadilisha katiba la sivyo uchaguzi hakuna; na nyie wanasheria wake mnaona kuwa Lissu uyko sahihi.
Tatizo lako ni dogo sana. Uko ktk giza la ujinga tu. Unachohitaji ni kuelimishwa tu na nuru ya uelewa na ufahamu itakuzukia na utaanza kujitambua....

Twende shuleni sasa..👇🏻

1. First of all you've to understand this, kwamba, that is a rightful and a constitutional demand. If you see that as an ultimatum, then it's within the constitutional obligations of a responsible citizen when he/she sees some of his/her constitutional rights are denied or abused...

2. Kwa taarifa yako kati ya hao Watanzania 65M+, more than three quarters of all want electoral system reforms. If you don't believe this, tunaweza kufanya kura ya a simple kura ya maoni. Unauliza swali rahisi tu hili👉🏻👉🏻"JE UNAHITAJI MABADILIKO YA MFUMO WA UCHAGUZI KABLA YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA HUU 2025?" Utashangaa majibu yake. Watanzania wote watakupa jibu la "NDIYO" kasoro chawa wa Mama Samia wanaokula makombo toka mezani mwa bwana zao...!;
Kubadilisha katiba ya nchi ni mchakato unaohitaji malidhiano ya raia wote sio kakikundi ka watu kanakotaka kurahisishiwa kwenda Ikulu.
Kumbe unajua...?

Sasa shida iko wapi kutii matakwa ya hawa raia...?
Kama kuandika katiba ingekuwa rahisi hivyo basi JPM (bulldozer) angeshaiandika mapeema hata kabla ya kuhamisha serikali kwenda Dodoma.
Ndiyo maana nakuita wewe ni "mjinga" kwa kuwa kumbe ni mbishi wa bure tu huku ukiwa hujui mambo mengi sana lakini umeshupaa kubisha kama vile unajua...

Ona sasa hujui hata historia ya katiba hii ya mwaka 1977 ilivyoandikwa...

Yaani hata hujui kuwa katiba hii ya mwaka 1977 iliandikwa na watu wasiozidi 20 miaka hiyo...

Utetezi wako huu ni wa kijinga na ni wa mtu asiyejua lolote...!

Kuandika katiba, ni lazima ufanywe na usimamiwe na kiongozi asiye mbinafsi na mwenye utashi wa kisiasa (political will) na mwenye maono makubwa..

CCM nyie mna ubinafsi, hamna maono juu ya Tanzania hii na hamna utashi wa kisiasa...

Bila kulazimishwa kwa nguvu, hamtafanya hata kama ukweli unawakodolea macho kodo...

Ndiyo maana ya NO REFORMS NO ELECTION...
 
Back
Top Bottom