Tetesi: Wanasheria wa Paul Makonda wanajipanga kumburuza mahakamani Tundu Lissu kwa defamation case ya kumuita na kumtangaza muuaji.

Similarly to, character assassination
 
Bashite a killer... He will never be there...
Hilo utaenda kulithibitisha mahakamani. Sidhani kama una ushahidi wa kuthibitisha hilo beyond reasonable doubt.

Kama mnamtakia mema mzuieni, hilo ni kosa la kiufundi. Maana wenzake wana ushahidi wa kuthibitisha.

Ova
Huo ushahidi wa kuthibitisha beyond reasonable doubt tutauona huko mahakamani. Hata Musiba alisema hivo hivyo akaishia kupigwa TZS 9 billion. Huyu atapigwa TZS 300 billion ambazo chama chake sidhani kama kitakuwa na uwezo wa kumchangia. Stay tuned. Utawala wa sheria ni raha na burudani ya kutosha.
Tutaona huko mahakamani kama kweli sheria zinamjua. Lakini kwa akili ya kawaida, mtu kama unajua fulani ni muuaji na una ushahidi wa kutosha si unampeleka kwa vyombo vya sheria na si kwenye majukwaa ya siasa.

For your information nchi yetu haitawaliwi na sheria za uingereza wala za jumuia ya madola. We are a sovereign state sawa na Uingereza au Marekani. Umasikini wetu wa kipato hautuondolei sovereignty yetu. Kwanza tuna natural resources nyingi sana kuwapita hao waingereza. Hivyo it is just a matter of time tutawapita kwa mbali hao Waingereza. Masikini wa leo ndiye tajiri wa kesho na tajiri wa leo ndiye masikini wa kesho. Hii ndiyo formula ya dunia
Naunga mkono, Haiwezekani Lissu amchafue Katibu Mwenezi Mstaafu wa CCM
Kwa mara ya kwanza, leo umenifurahisha sana.
 
Let us cross our fingers
 
Unaleta ya Musiba hapa? Mtu alitoa habari isiyokidhi hata taaluma ya habari. Usiwe unamtaja taja huyo jamaa kwa mifano ya kwenye mazungumzo ya maana.

Mbona mi nimesema tu kuna ushahidi wa kutosha? Hayo mambo ya sheria. za Uingereza na Marekani umepata wapi?

Ova
 
Mbona mi nimesema tu kuna ushahidi wa kutosha? Hayo mambo ya sheria. za Uingereza na Marekani umepata wapi?
Kwani si ni wewe umeandika hivi:
"Wamkumbushe kesi haifunguliwi bongo ipo kwa mfalme huko England yaani akikutwa na hatia hujue itatolewa hati ya kukamatwa kwake akatumikie kifungo chake nchi zote za jumuia za madola hatokanyaga yaani inshort ukijiusisha nae maana yake na wewe ni kama yeye..unalo.
Tuombee tu awe safi haya mambo msichukulie poa.
 
Hayo maneno umenilisha wewe, mimi sihusiki nayo. Nimezungumzia kuwepo kwa ushahidi tu.

Ova
 
Umesema nchi yetu haitawaliwi na sheria za Uingereza. Vipi kuhusu mkataba wa DP WORLD unasemaje?
 
Nimeandika ili nisitekwe
 
Kojoa ulale mende wewe.
Unakula ugoro wa moto, mbege ya moto, pombe kali vitoko, mademu wazee, chakula ukoko, madeni, utakuja kupididiwa, komwe lako!
 
Safi sana. Hiyo kesi ifanyike mfululizo kwenye mahakama ya wazi kwa maslahi ya Taifa!
Ni muda muafaka kuwafahamu wasiojulikana wanaoogopwa hadi na police 🚨 🚨
 
Uropokaji una gharama zak
Duh.
Ina maana wewe hapa umekwisha sikiliza kesi na kutoa hukumu tayari.
Halafu unajipachika jina kipuuzi kweli kweli, 'Dr Akili' huku ukiwa 'Dr Kilaza'!

Huyo Makonda atatoa wapi ujasiri wa kwenda kujitangaza uovu wake na wote alio shirikiana nao?
Awe mwangalifu wasije wakamuwahi yeye kabla hawajawahusisha waliojificha nyuma yake.
 
Utajiri wa mali asili inaosemwa kuwa nao Tanzania hauwezi kamwe kuwa na manufaa yoyote kwa nchi wakati wananchi wake wana "umaskini" wa akili kama unaoonyeshwa na mfano huu hapa.

Tanzania itabaki kuwa nchi maskini milele wakati watu wa aina hii ndio wanapewa nafasi za uongozi. Na hawa ndio waliojaa ndani ya CCM wakati huu.
 
Sasa huko London kwenye case ikilazimika kutaja waliokuwa behind itakuwaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…