Tetesi: Wanasheria wa Paul Makonda wanajipanga kumburuza mahakamani Tundu Lissu kwa defamation case ya kumuita na kumtangaza muuaji.

Wanasheria tutafurahi mmmno akifungua iyokesi na tunamsubiri kwahamu kubwa tutamtetea Tundu Lissu buuureee!
Mjinga huwezi kuelewa.... Lissu is very smart than all of you stupid puppets of "kilazi"...
Hapa analazimishwa mtu ajae kwenye 18 ajivuruge afungue kesi ili Sasa ushahidi upatikane kupitia UCHUNGUZI kabambe wakimahakama tena wachunguzi watatoka nje ya nchi maana Hawa wakwetu hatutawakubali.
Mtajua hamjui shubaaaatrees.
 
Mwisho wa Shetani Bashite unafikia ukingoni!
 
Hiyo ndiyo njia sahihi ya kujisafisha dhidi ya tuhuma kuliko akina Mwashambwa kusema tu kuwa anasingiziwa.
 
Hapa ndo watajua hawajui ,lissu hawezi tamka jambo ambalo hana documents, ukivuliwa Taulo chutama
 
Na ikigundulika ni kweli itakuwaje?
 
Unamjua Lisu vizuri? Unamjua Kibatala vizuri..?? Haya, twende kwenye watu wasiojulikana kuanza kujulikana sasa..!!
 
Labda
 
Hujaeleweka

Uhusiano wa TIGO na Makonda umeupata wapi?
 
Hakuna kesi hapo.. Wanachokoa vilivyolala na hiyo ndio furaha ya TAL
 
Lisu hajawai kuropoka mkuu, munachotakiwa ni kumsihi Mr Bashite asiende uko anakotaka kwenda mana atarudi mbio na Chupi mkononi.
 
Wataweza mziki wake lakini..? Maana. Nimecheka kwa sauti
 
Nilitegemea PaulMakonda achukue hatua kama hiyo. Huyo domokaya lissu mwenye sifa bandia kama mwanasheria nguli anajiamini bure tu na asifikiri ataogopwa na watu anaowachafua kumburuzwa mahakamani. Bravo Paul Makonda msimuogope huyo chizi.
 
hakuna kitu kama icho makonda akienda mahakamni anashinda mchana kweupe, kwa hapa ninavyokwambia baada ya ile press tundnu lisu alishaondoka
 
Nilitegemea mfurahi yeye kwenda mahakamani kwa kumsapoti ili aingie mkenge mfanikishe adhima yenu ya kummaliza,cha kushangza nyie wachangiaji wengi wenu mnamzuia kwa kumtahadhalisha, tukubaliane kuna jambo mnalijua mnaogopa litawatokea puani.

Upigwe risasi ushahidi unao tena mzito,unaishia kubwabwaja kwenye media kila uchao,huo ni ujuha, anachokifanya Tundu Lissu ni kutumika na maadui wa MAKONDA na analipwa,nyie endeleeni kucheza ngoma msiyoifahamu
 

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…