Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
bashite hana uwezo wala wanasheria wake, wa kumshinda Tundu Lisu.Uropokaji una gharama zake. Tulishudia miaka siyo mingi jinsi Musiba uropokaji wake ulivyomgharimu TZS 9 billion kwa kumukashifu Bernard Membe.
Wanasheria wa Paul Makonda wanajipanga kuushughulikia kisheria uropokaji wa Tundu Lissu dhidi ya Paul Makonda. Hizo pesa za TIGO kama atazipata huko mahakama ya London zitaishia kumlipa Paul Makonda na hazitatosha. Hivyo ndege zetu hatazikamata.
Kweli ndege mtundu hunaswa na tundu bovu. Tundu Lissu kawa ndege mtundu na sasa kanasika sawa sawa kwenye tundu. Au mnasemaje wanajamii ya Jf?
Kwenye hii kesi tutawafahamu wanaojulikana ambao walikuwa hawatakiwi kujulikana wakaendelea kuishi kama wasiojulikana, (wana dundazi wenginezi wamechomokazi), wametanguliazi kulezi ambakoz kila mtuzi akichomokazi hapa dunia ata kwendazibashite hana uwezo wala wanasheria wake, wa kumshinda Tundu Lisu.
twende mahakamani ukisikia sasa mtu ka jaa kwenye mfumo ndo hapo ni mwendo wa kujipigia tu mpaka achakaeUropokaji una gharama zake. Tulishudia miaka siyo mingi jinsi Musiba uropokaji wake ulivyomgharimu TZS 9 billion kwa kumukashifu Bernard Membe.
Wanasheria wa Paul Makonda wanajipanga kuushughulikia kisheria uropokaji wa Tundu Lissu dhidi ya Paul Makonda. Hizo pesa za TIGO kama atazipata huko mahakama ya London zitaishia kumlipa Paul Makonda na hazitatosha. Hivyo ndege zetu hatazikamata.
Kweli ndege mtundu hunaswa na tundu bovu. Tundu Lissu kawa ndege mtundu na sasa kanasika sawa sawa kwenye tundu. Au mnasemaje wanajamii ya Jf?
Mmmmmh kama ni ndugu Yako au ni ww uskubali utaumbuka !!!Uropokaji una gharama zake. Tulishudia miaka siyo mingi jinsi Musiba uropokaji wake ulivyomgharimu TZS 9 billion kwa kumukashifu Bernard Membe.
Wanasheria wa Paul Makonda wanajipanga kuushughulikia kisheria uropokaji wa Tundu Lissu dhidi ya Paul Makonda. Hizo pesa za TIGO kama atazipata huko mahakama ya London zitaishia kumlipa Paul Makonda na hazitatosha. Hivyo ndege zetu hatazikamata.
Kweli ndege mtundu hunaswa na tundu bovu. Tundu Lissu kawa ndege mtundu na sasa kanasika sawa sawa kwenye tundu. Au mnasemaje wanajamii ya Jf?
Uropokaji una gharama zake. Tulishudia miaka siyo mingi jinsi Musiba uropokaji wake ulivyomgharimu TZS 9 billion kwa kumukashifu Bernard Membe.
Wanasheria wa Paul Makonda wanajipanga kuushughulikia kisheria uropokaji wa Tundu Lissu dhidi ya Paul Makonda. Hizo pesa za TIGO kama atazipata huko mahakama ya London zitaishia kumlipa Paul Makonda na hazitatosha. Hivyo ndege zetu hatazikamata.
Kweli ndege mtundu hunaswa na tundu bovu. Tundu Lissu kawa ndege mtundu na sasa kanasika sawa sawa kwenye tundu. Au mnasemaje wanajamii ya Jf?
Yaani uropokaji uwe na gharama Uuaji usiwe na gharama?Uropokaji una gharama zake. Tulishudia miaka siyo mingi jinsi Musiba uropokaji wake ulivyomgharimu TZS 9 billion kwa kumukashifu Bernard Membe.
Wanasheria wa Paul Makonda wanajipanga kuushughulikia kisheria uropokaji wa Tundu Lissu dhidi ya Paul Makonda. Hizo pesa za TIGO kama atazipata huko mahakama ya London zitaishia kumlipa Paul Makonda na hazitatosha. Hivyo ndege zetu hatazikamata.
Kweli ndege mtundu hunaswa na tundu bovu. Tundu Lissu kawa ndege mtundu na sasa kanasika sawa sawa kwenye tundu. Au mnasemaje wanajamii ya Jf?
View: https://youtu.be/Or-gSb_Jzto?si=W77QBsvLbftUxaAE
Hawezi,the guilty are afraid jombaaUropokaji una gharama zake. Tulishudia miaka siyo mingi jinsi Musiba uropokaji wake ulivyomgharimu TZS 9 billion kwa kumukashifu Bernard Membe.
Wanasheria wa Paul Makonda wanajipanga kuushughulikia kisheria uropokaji wa Tundu Lissu dhidi ya Paul Makonda. Hizo pesa za TIGO kama atazipata huko mahakama ya London zitaishia kumlipa Paul Makonda na hazitatosha. Hivyo ndege zetu hatazikamata.
Kweli ndege mtundu hunaswa na tundu bovu. Tundu Lissu kawa ndege mtundu na sasa kanasika sawa sawa kwenye tundu. Au mnasemaje wanajamii ya Jf?
View: https://youtu.be/Or-gSb_Jzto?si=W77QBsvLbftUxaAE
Nna hakika Makonda sio mjinga ivyo na hatakaa aende Lissu anajua sana anachokifanya , na hawez ropoka huyo sio Musiba anaye arishaga maneno kutoka mdomoni kwakeUropokaji una gharama zake. Tulishudia miaka siyo mingi jinsi Musiba uropokaji wake ulivyomgharimu TZS 9 billion kwa kumukashifu Bernard Membe.
Wanasheria wa Paul Makonda wanajipanga kuushughulikia kisheria uropokaji wa Tundu Lissu dhidi ya Paul Makonda. Hizo pesa za TIGO kama atazipata huko mahakama ya London zitaishia kumlipa Paul Makonda na hazitatosha. Hivyo ndege zetu hatazikamata.
Kweli ndege mtundu hunaswa na tundu bovu. Tundu Lissu kawa ndege mtundu na sasa kanasika sawa sawa kwenye tundu. Au mnasemaje wanajamii ya Jf?
View: https://youtu.be/Or-gSb_Jzto?si=W77QBsvLbftUxaAE
Unanikumbusha mbwa mwenye mkia ukimwambie akae chini anavyo fyata mkiaSafi sana. Hiyo kesi ifanyike mfululizo kwenye mahakama ya wazi kwa maslahi ya Taifa!
Ni muda muafaka kuwafahamu wasiojulikana wanaoogopwa hadi na police π¨ π¨
Tuwapite kwa uchawa labda,kwa staili hii ya kumwona rais ni mmungu mtu!?,thubutuu!.Hilo utaenda kulithibitisha mahakamani. Sidhani kama una ushahidi wa kuthibitisha hilo beyond reasonable doubt.
Huo ushahidi wa kuthibitisha beyond reasonable doubt tutauona huko mahakamani. Hata Musiba alisema hivo hivyo akaishia kupigwa TZS 9 billion. Huyu atapigwa TZS 300 billion ambazo chama chake sidhani kama kitakuwa na uwezo wa kumchangia. Stay tuned. Utawala wa sheria ni raha na burudani ya kutosha.
Tutaona huko mahakamani kama kweli sheria zinamjua. Lakini kwa akili ya kawaida, mtu kama unajua fulani ni muuaji na una ushahidi wa kutosha si unampeleka kwa vyombo vya sheria na si kwenye majukwaa ya siasa.
For your information nchi yetu haitawaliwi na sheria za uingereza wala za jumuia ya madola. We are a sovereign state sawa na Uingereza au Marekani. Umasikini wetu wa kipato hautuondolei sovereignty yetu. Kwanza tuna natural resources nyingi sana kuwapita hao waingereza. Hivyo it is just a matter of time tutawapita kwa mbali hao Waingereza. Masikini wa leo ndiye tajiri wa kesho na tajiri wa leo ndiye masikini wa kesho. Hii ndiyo formula ya dunia
Kwa mara ya kwanza, leo umenifurahisha sana.
Mkuu ni hivi. Makonda ni suala la muda tu. Atakuja kulipia ubaya wake wote aliofanya na anaoufanya sasa hivi. Mark my words! Unajua huu jamaa ni zero brain na anatumika na wajanja ili kufikia malengo yao bila bila kutambua kuwa kuna kesho. Achana na Lissu au wapinzani, huko huko CCM ndiko wabaya wapo. Wako kimya kwa sababu tu kwa sasa analindwa na Samia. Lakini ukweli ni kwamba Samia hatakuwa rais milele na siku akitoka tu basi Makonda atakuwa kwenye hali mbaya mno.Je hao wanasheria wa Makonda ni lini wataufungulia ubalozi wa Marekani kesi?
Mbona mmeanza kuaogopa kwa kusikia tetesi tu kuwa anamfungulia kesi Lissu? By the way, si ndio mngefurahi ili na Sie wengine tujue mbivu na mbichi?Paul Makonda sijui ana matatizo gani mtu huyu!!?
Endapo kama angekuwa na akili nzuri kichwani mwake, basi angechagua kukaa kimya, wala asingependa kuanzisha malumbano na Watu hata na wale wanaomchokoza makusudi.
Je, ameshawahi kujiuliza ni kwa nini basi wale Watu ambao Dkt. Wilbrod Slaa aliwataja kwenye ile skendo ya orodha ya mafisadi ambayo ilijulikana Sana kwa jina la 'The List of Shame' mpaka leo wale watu waliotajwa hawajawahi kujitokeza hadharani kujibu mapigo au kwenda Mahakamani ili kumshitaki Dkt. Slaa? Anajua sababu za hao Watu kuendelea kukaa kimya????
Mimi namshauri aache kufanya hivyo, huko Mahakamani anaenda kujidhalilisha zaidi, wenzake watajipanga na kisha wataenda huko Mahakamani ili kumvua nguo zote kabisa na kumuacha 'uchi wa mnyama.'
Aidha, anapaswa akumbuke Doctrine of Equity ambayo ina-state kwamba "He who goes for equity must go with clean hands."
Upo uwezekano majasusi wa ndani wakamzuwia wakijuwa Lisu ana secret information kutoka mashirika yakijasusi ikumbukwe Lissu alipelekwa belijium ambapo ni heaven of agency πUropokaji una gharama zake. Tulishudia miaka siyo mingi jinsi Musiba uropokaji wake ulivyomgharimu TZS 9 billion kwa kumukashifu Bernard Membe.
Wanasheria wa Paul Makonda wanajipanga kuushughulikia kisheria uropokaji wa Tundu Lissu dhidi ya Paul Makonda. Hizo pesa za TIGO kama atazipata huko mahakama ya London zitaishia kumlipa Paul Makonda na hazitatosha. Hivyo ndege zetu hatazikamata.
Kweli ndege mtundu hunaswa na tundu bovu. Tundu Lissu kawa ndege mtundu na sasa kanasika sawa sawa kwenye tundu. Au mnasemaje wanajamii ya Jf?
View: https://youtu.be/Or-gSb_Jzto?si=W77QBsvLbftUxaAE
-Kesi za madai hazithibitishwi beyond all reasonable doubt, ni kwa Balance of probabilityHilo utaenda kulithibitisha mahakamani. Sidhani kama una ushahidi wa kuthibitisha hilo beyond reasonable doubt.