Mtemi Mbojo
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 891
- 1,569
Hapo ndio ata jichafua kuliko maelezo. Yaani kuku kategwa na mahindi kaingia bandani mwenyewe. Siri zote zita kuwa wazi kirahisi zaidi.Uropokaji una gharama zake. Tulishudia miaka siyo mingi jinsi Musiba uropokaji wake ulivyomgharimu TZS 9 billion kwa kumukashifu Bernard Membe.
Wanasheria wa Paul Makonda wanajipanga kuushughulikia kisheria uropokaji wa Tundu Lissu dhidi ya Paul Makonda. Hizo pesa za TIGO kama atazipata huko mahakama ya London zitaishia kumlipa Paul Makonda na hazitatosha. Hivyo ndege zetu hatazikamata.
Kweli ndege mtundu hunaswa na tundu bovu. Tundu Lissu kawa ndege mtundu na sasa kanasika sawa sawa kwenye tundu. Au mnasemaje wanajamii ya Jf?
View: https://youtu.be/Or-gSb_Jzto?si=W77QBsvLbftUxaAE
Toka usingizin usje ukajikojolea na ndoto zako,, Nan ampite marekani na uingereza? Kwa majizi ya mali za umma ya hapa tz,Lin tutawapita ,,bashite anaenda the Hague naona mnahahaHilo utaenda kulithibitisha mahakamani. Sidhani kama una ushahidi wa kuthibitisha hilo beyond reasonable doubt.
Huo ushahidi wa kuthibitisha beyond reasonable doubt tutauona huko mahakamani. Hata Musiba alisema hivo hivyo akaishia kupigwa TZS 9 billion. Huyu atapigwa TZS 300 billion ambazo chama chake sidhani kama kitakuwa na uwezo wa kumchangia. Stay tuned. Utawala wa sheria ni raha na burudani ya kutosha.
Tutaona huko mahakamani kama kweli sheria zinamjua. Lakini kwa akili ya kawaida, mtu kama unajua fulani ni muuaji na una ushahidi wa kutosha si unampeleka kwa vyombo vya sheria na si kwenye majukwaa ya siasa.
For your information nchi yetu haitawaliwi na sheria za uingereza wala za jumuia ya madola. We are a sovereign state sawa na Uingereza au Marekani. Umasikini wetu wa kipato hautuondolei sovereignty yetu. Kwanza tuna natural resources nyingi sana kuwapita hao waingereza. Hivyo it is just a matter of time tutawapita kwa mbali hao Waingereza. Masikini wa leo ndiye tajiri wa kesho na tajiri wa leo ndiye masikini wa kesho. Hii ndiyo formula ya dunia
Kwa mara ya kwanza, leo umenifurahisha sana.
Jidanganye uingie kweny huo mtego ,,huo ni mtego,,kama na ww ni mwanasheria lazma uwe na jicho la 3 kuona huu ni mtego ujidanganye ,narudia huu ni mtegoUshahidi wake ni wa hearsay, yaani wa kusikia. Mwanasheria mzima anategemea ushahidi wa kusikia na wa tigo. Kweli, shame on him. Msikilize anavyosema, kamwe hatatoboa:
View: https://youtu.be/Or-gSb_Jzto?si=reYVZwF4PWho_0p2
Uropokaji una gharama zake. Tulishudia miaka siyo mingi jinsi Musiba uropokaji wake ulivyomgharimu TZS 9 billion kwa kumukashifu Bernard Membe.
Wanasheria wa Paul Makonda wanajipanga kuushughulikia kisheria uropokaji wa Tundu Lissu dhidi ya Paul Makonda. Hizo pesa za TIGO kama atazipata huko mahakama ya London zitaishia kumlipa Paul Makonda na hazitatosha. Hivyo ndege zetu hatazikamata.
Kweli ndege mtundu hunaswa na tundu bovu. Tundu Lissu kawa ndege mtundu na sasa kanasika sawa sawa kwenye tundu. Au mnasemaje wanajamii ya Jf?
View: https://youtu.be/Or-gSb_Jzto?si=W77QBsvLbftUxaAE
Ww ndo uandike Kwa taadhari ,hii ngoma nzito dogo nna dogo nna hakika hawez kukubali kufungua hii kesi hata iweje ,,, waza out of boxVipi ikiwa Lissu kadanganywa?,je kulala hiyo hotel kunauhusiano gani na shambulizi lake?,tumieni elimu yenu ndogo kutafakari Sheria badala kudhaniadhania hovyo
Maskin vijana lumumba waliolaaniwa na wenye mikono inayo chiruzka damu za watu wameanza kupanic,,tulia wala Haina haja umtukane,, π€£π€£Maoni yako yanaashiria unatumia tundu lako la haja kubwa kunena
Kwa akili zako fupi unaona kuna mtu anasingiziwa hapo?Acha ukarunguyeye.Uropokaji una gharama zake. Tulishudia miaka siyo mingi jinsi Musiba uropokaji wake ulivyomgharimu TZS 9 billion kwa kumukashifu Bernard Membe.
Wanasheria wa Paul Makonda wanajipanga kuushughulikia kisheria uropokaji wa Tundu Lissu dhidi ya Paul Makonda. Hizo pesa za TIGO kama atazipata huko mahakama ya London zitaishia kumlipa Paul Makonda na hazitatosha. Hivyo ndege zetu hatazikamata.
Kweli ndege mtundu hunaswa na tundu bovu. Tundu Lissu kawa ndege mtundu na sasa kanasika sawa sawa kwenye tundu. Au mnasemaje wanajamii ya Jf?
View: https://youtu.be/Or-gSb_Jzto?si=W77QBsvLbftUxaAE
Jamaa n mropokaji lakn mkuu hyo kes makonda atakimbia na wao wanasheria wake aiseee watasumbuana ukute wanasheria n hawa wamarombosoUropokaji una gharama zake. Tulishudia miaka siyo mingi jinsi Musiba uropokaji wake ulivyomgharimu TZS 9 billion kwa kumukashifu Bernard Membe.
Wanasheria wa Paul Makonda wanajipanga kuushughulikia kisheria uropokaji wa Tundu Lissu dhidi ya Paul Makonda. Hizo pesa za TIGO kama atazipata huko mahakama ya London zitaishia kumlipa Paul Makonda na hazitatosha. Hivyo ndege zetu hatazikamata.
Kweli ndege mtundu hunaswa na tundu bovu. Tundu Lissu kawa ndege mtundu na sasa kanasika sawa sawa kwenye tundu. Au mnasemaje wanajamii ya Jf?
View: https://youtu.be/Or-gSb_Jzto?si=W77QBsvLbftUxaAE
we ni nyumbuHivi vichwani mwenu huwa kumejaa mavi badala ya ubongo?,yaani mwaka wa nne huu mnadai ushahidi upo,hamuendi mahakamani ili haki itendeke,kazi yenu ni kuanzisha nyuzi kila uchao za kumkashifu na kumtukana matusi kedekede,hamuoni kwamba hiyo siasa maji taka?
Sasa yeye anakwenda mahakamani ili mthibitshe madai yenu na lenyewe hamtaki?
Watanzania ni bora ya nguruwe utakula nyama,mnalaana kubwa sana
tumia ya kwako we nyumbu.Vipi ikiwa Lissu kadanganywa?,je kulala hiyo hotel kunauhusiano gani na shambulizi lake?,tumieni elimu yenu ndogo kutafakari Sheria badala kudhaniadhania hovyo
nakupa ofa mbili kwenye jambo moja,bashite aka kilaza akimfungulia kesi lissu juu ya hilo nakupa laki1,na hiyo kesi ikitoka bashite kilaza kashinda kesi dhidi ya lissu ktk hiyo kesi nakuongeza laki2 kwenye hiyo laki1 zinakuwa laki 3+1=laki 4Uropokaji una gharama zake. Tulishudia miaka siyo mingi jinsi Musiba uropokaji wake ulivyomgharimu TZS 9 billion kwa kumukashifu Bernard Membe.
Wanasheria wa Paul Makonda wanajipanga kuushughulikia kisheria uropokaji wa Tundu Lissu dhidi ya Paul Makonda. Hizo pesa za TIGO kama atazipata huko mahakama ya London zitaishia kumlipa Paul Makonda na hazitatosha. Hivyo ndege zetu hatazikamata.
Kweli ndege mtundu hunaswa na tundu bovu. Tundu Lissu kawa ndege mtundu na sasa kanasika sawa sawa kwenye tundu. Au mnasemaje wanajamii ya Jf?
View: https://youtu.be/Or-gSb_Jzto?si=W77QBsvLbftUxaAE
MUNGU akaamua Tundu Lisu aishi... Jiwe likwende. Bado BashiteInasemekana hadi ratiba ya mazishi walishaiandaa jamaa kwenda kuzikwa Singida eti ? ππ
Risasi zote zile kama kuua tembo jamani πββοΈπ€¦ββοΈπππ