Tetesi: Wanasheria wa Paul Makonda wanajipanga kumburuza mahakamani Tundu Lissu kwa defamation case ya kumuita na kumtangaza muuaji.

itapendeza sana akienda huko Mahakamani ILA ni vizuri ANGEJIUZULU ili kuruhusu Mh Rais kuteua RC mwingine asiye na TUHUMA...akisafishika huko Mahakamani,Mh Rais atajua wapi amteue
 
Hao wanasheria wasisahahu na kuwaunganisha na yale majeshi ya kusambaza propaganda za Uongo, walio hapa JF.

....Kama hii tetesi ina mashiko.
 
Makonda, Makonda, Makonda nimekuita mara kadha..........kimbia haraka sana na wanasheria wako kamfungulie Lissu kesi maana umechelewa✈✈✈🛫🛫🛫paa chap.
 
Uropokaji una gharama zake. Tulishudia miaka siyo mingi jinsi Musiba uropokaji wake ulivyomgharimu TZS 9 billion kwa kumukashifu Bernard Membe.

Wanasheria wa Paul Makonda wanajipanga kuushughulikia kisheria uropokaji wa Tundu Lissu dhidi ya Paul Makonda. Hizo pesa za TIGO kama atazipata huko mahakama ya London zitaishia kumlipa Paul Makonda na hazitatosha. Hivyo ndege zetu hatazikamata.

Kweli ndege mtundu hunaswa na tundu bovu. Tundu Lissu kawa ndege mtundu na sasa kanasika sawa sawa kwenye tundu. Au mnasemaje wanajamii ya Jf?

View: https://youtu.be/Or-gSb_Jzto?si=W77QBsvLbftUxaAE

Hapo ndio ata jichafua kuliko maelezo. Yaani kuku kategwa na mahindi kaingia bandani mwenyewe. Siri zote zita kuwa wazi kirahisi zaidi.
Makonda ni nani asie jua matendo yake akiwa Rc Dar?
Kwanza asubiri ripoti ya tivo lazima jina lake lipo.
 
Hilo utaenda kulithibitisha mahakamani. Sidhani kama una ushahidi wa kuthibitisha hilo beyond reasonable doubt.

Huo ushahidi wa kuthibitisha beyond reasonable doubt tutauona huko mahakamani. Hata Musiba alisema hivo hivyo akaishia kupigwa TZS 9 billion. Huyu atapigwa TZS 300 billion ambazo chama chake sidhani kama kitakuwa na uwezo wa kumchangia. Stay tuned. Utawala wa sheria ni raha na burudani ya kutosha.

Tutaona huko mahakamani kama kweli sheria zinamjua. Lakini kwa akili ya kawaida, mtu kama unajua fulani ni muuaji na una ushahidi wa kutosha si unampeleka kwa vyombo vya sheria na si kwenye majukwaa ya siasa.

For your information nchi yetu haitawaliwi na sheria za uingereza wala za jumuia ya madola. We are a sovereign state sawa na Uingereza au Marekani. Umasikini wetu wa kipato hautuondolei sovereignty yetu. Kwanza tuna natural resources nyingi sana kuwapita hao waingereza. Hivyo it is just a matter of time tutawapita kwa mbali hao Waingereza. Masikini wa leo ndiye tajiri wa kesho na tajiri wa leo ndiye masikini wa kesho. Hii ndiyo formula ya dunia

Kwa mara ya kwanza, leo umenifurahisha sana.
Toka usingizin usje ukajikojolea na ndoto zako,, Nan ampite marekani na uingereza? Kwa majizi ya mali za umma ya hapa tz,Lin tutawapita ,,bashite anaenda the Hague naona mnahaha
 
Uropokaji una gharama zake. Tulishudia miaka siyo mingi jinsi Musiba uropokaji wake ulivyomgharimu TZS 9 billion kwa kumukashifu Bernard Membe.

Wanasheria wa Paul Makonda wanajipanga kuushughulikia kisheria uropokaji wa Tundu Lissu dhidi ya Paul Makonda. Hizo pesa za TIGO kama atazipata huko mahakama ya London zitaishia kumlipa Paul Makonda na hazitatosha. Hivyo ndege zetu hatazikamata.

Kweli ndege mtundu hunaswa na tundu bovu. Tundu Lissu kawa ndege mtundu na sasa kanasika sawa sawa kwenye tundu. Au mnasemaje wanajamii ya Jf?

View: https://youtu.be/Or-gSb_Jzto?si=W77QBsvLbftUxaAE

Acheni kumuingiza chaka Bashite.

Hii siyo mara ya kwanza Lissu kumtaja Bashite kama mhusika. Kama alikuwa na hizo guts angeshakwenda mahakamani siku nyingi. Tena that time haukuwa na ushahidi mkubwa kama sasa.

Yaani Bashite hata kutoa press conference kukanusha hataweza kufanya.
 
Vipi ikiwa Lissu kadanganywa?,je kulala hiyo hotel kunauhusiano gani na shambulizi lake?,tumieni elimu yenu ndogo kutafakari Sheria badala kudhaniadhania hovyo
Ww ndo uandike Kwa taadhari ,hii ngoma nzito dogo nna dogo nna hakika hawez kukubali kufungua hii kesi hata iweje ,,, waza out of box
 
Uropokaji una gharama zake. Tulishudia miaka siyo mingi jinsi Musiba uropokaji wake ulivyomgharimu TZS 9 billion kwa kumukashifu Bernard Membe.

Wanasheria wa Paul Makonda wanajipanga kuushughulikia kisheria uropokaji wa Tundu Lissu dhidi ya Paul Makonda. Hizo pesa za TIGO kama atazipata huko mahakama ya London zitaishia kumlipa Paul Makonda na hazitatosha. Hivyo ndege zetu hatazikamata.

Kweli ndege mtundu hunaswa na tundu bovu. Tundu Lissu kawa ndege mtundu na sasa kanasika sawa sawa kwenye tundu. Au mnasemaje wanajamii ya Jf?

View: https://youtu.be/Or-gSb_Jzto?si=W77QBsvLbftUxaAE

Kwa akili zako fupi unaona kuna mtu anasingiziwa hapo?Acha ukarunguyeye.
 
Uropokaji una gharama zake. Tulishudia miaka siyo mingi jinsi Musiba uropokaji wake ulivyomgharimu TZS 9 billion kwa kumukashifu Bernard Membe.

Wanasheria wa Paul Makonda wanajipanga kuushughulikia kisheria uropokaji wa Tundu Lissu dhidi ya Paul Makonda. Hizo pesa za TIGO kama atazipata huko mahakama ya London zitaishia kumlipa Paul Makonda na hazitatosha. Hivyo ndege zetu hatazikamata.

Kweli ndege mtundu hunaswa na tundu bovu. Tundu Lissu kawa ndege mtundu na sasa kanasika sawa sawa kwenye tundu. Au mnasemaje wanajamii ya Jf?

View: https://youtu.be/Or-gSb_Jzto?si=W77QBsvLbftUxaAE

Jamaa n mropokaji lakn mkuu hyo kes makonda atakimbia na wao wanasheria wake aiseee watasumbuana ukute wanasheria n hawa wamaromboso
 
Hivi vichwani mwenu huwa kumejaa mavi badala ya ubongo?,yaani mwaka wa nne huu mnadai ushahidi upo,hamuendi mahakamani ili haki itendeke,kazi yenu ni kuanzisha nyuzi kila uchao za kumkashifu na kumtukana matusi kedekede,hamuoni kwamba hiyo siasa maji taka?

Sasa yeye anakwenda mahakamani ili mthibitshe madai yenu na lenyewe hamtaki?

Watanzania ni bora ya nguruwe utakula nyama,mnalaana kubwa sana
we ni nyumbu
 
Vipi ikiwa Lissu kadanganywa?,je kulala hiyo hotel kunauhusiano gani na shambulizi lake?,tumieni elimu yenu ndogo kutafakari Sheria badala kudhaniadhania hovyo
tumia ya kwako we nyumbu.
lisu hakuanza kumtaja leo makonda.
mbona hata alipoulizwa na wandishi kuhusu kutuhumiwa alijibu ujinga ETI KAMUULIZE MAMA YAKO.
WE NA YEYE IKO SIKU MTAJIBU IWE DUNIANI IWE MBINGUNI
 
Uropokaji una gharama zake. Tulishudia miaka siyo mingi jinsi Musiba uropokaji wake ulivyomgharimu TZS 9 billion kwa kumukashifu Bernard Membe.

Wanasheria wa Paul Makonda wanajipanga kuushughulikia kisheria uropokaji wa Tundu Lissu dhidi ya Paul Makonda. Hizo pesa za TIGO kama atazipata huko mahakama ya London zitaishia kumlipa Paul Makonda na hazitatosha. Hivyo ndege zetu hatazikamata.

Kweli ndege mtundu hunaswa na tundu bovu. Tundu Lissu kawa ndege mtundu na sasa kanasika sawa sawa kwenye tundu. Au mnasemaje wanajamii ya Jf?

View: https://youtu.be/Or-gSb_Jzto?si=W77QBsvLbftUxaAE

nakupa ofa mbili kwenye jambo moja,bashite aka kilaza akimfungulia kesi lissu juu ya hilo nakupa laki1,na hiyo kesi ikitoka bashite kilaza kashinda kesi dhidi ya lissu ktk hiyo kesi nakuongeza laki2 kwenye hiyo laki1 zinakuwa laki 3+1=laki 4
 
Back
Top Bottom