Kile kisomo kitafanya kazi kweli niliona kama nimeandaliwa na nyinyiemu?Kisomo Cha TANGA kwa mzee kibao Cha mashekhe na masharifu kimeanza kutenda kaziii πππ€£ watu wanweweseka
huyo bashite ni muuwaji alitengeneza kikosi kazi cha kuteka hadi kuua walioenda tofauti za kifikra na magu, alizani magu angeishi milele.......tutaonaJe hao wanasheria wa Makonda ni lini wataufungulia ubalozi wa Marekani kesi?
Kwa maneno haya unaonekana ulivyomtupu kichwaniKwanza tuna natural resources nyingi sana kuwapita hao waingereza. Hivyo it is just a matter of time tutawapita kwa mbali hao Waingereza. Masikini wa leo ndiye tajiri wa kesho na tajiri wa leo ndiye masikini wa kesho.
Dua la kuku hilo!Mkuu ni hivi. Makonda ni suala la muda tu. Atakuja kulipia ubaya wake wote aliofanya na anaoufanya sasa hivi. Mark my words! Unajua huu jamaa ni zero brain na anatumika na wajanja ili kufikia malengo yao bila bila kutambua kuwa kuna kesho. Achana na Lissu au wapinzani, huko huko CCM ndiko wabaya wapo. Wako kimya kwa sababu tu kwa sasa analindwa na Samia. Lakini ukweli ni kwamba Samia hatakuwa rais milele na siku akitoka tu basi Makonda atakuwa kwenye hali mbaya mno.
Waendetu wakamshitaki ila wajue lisu haropokagi tu.hiyo kesi ndo itazidi kutufumbua macho vizuri maana itabidi lisu athibitishie mahakama na umaUropokaji una gharama zake. Tulishudia miaka siyo mingi jinsi Musiba uropokaji wake ulivyomgharimu TZS 9 billion kwa kumukashifu Bernard Membe.
Wanasheria wa Paul Makonda wanajipanga kuushughulikia kisheria uropokaji wa Tundu Lissu dhidi ya Paul Makonda. Hizo pesa za TIGO kama atazipata huko mahakama ya London zitaishia kumlipa Paul Makonda na hazitatosha. Hivyo ndege zetu hatazikamata.
Kweli ndege mtundu hunaswa na tundu bovu. Tundu Lissu kawa ndege mtundu na sasa kanasika sawa sawa kwenye tundu. Au mnasemaje wanajamii ya Jf?
View: https://youtu.be/Or-gSb_Jzto?si=W77QBsvLbftUxaAE
Peleka 'hayo maswali' mahakamami and you'll get the answers.Vipi ikiwa Lissu kadanganywa?,je kulala hiyo hotel kunauhusiano gani na shambulizi lake?,tumieni elimu yenu ndogo kutafakari Sheria badala kudhaniadhania hovyo
Lazima Lisu ashitakiwe. Huwezi kumchafua mtu hivi hivi halafu ukaachwa bila kupelekwa mahakaniBashite atajitumbukiza mwenyewe kwenye mtego alotegewa na LISSU kwanza atashindwa asubuhi na mapema wakati huohuo THE HAGUE inamsubiri, hivi unadhani hata Lissu ni mjinga hadi kutaja hotel aliyelala steering wa wauaji? Tena kama anataka ateketeee ajichanganye
Lisu huwa anaropoka sana tuWaendetu wakamshitaki ila wajue lisu haropokagi tu.hiyo kesi ndo itazidi kutufumbua macho vizuri maana itabidi lisu athibitishie mahakama na uma