Tetesi: Wanasheria wa Paul Makonda wanajipanga kumburuza mahakamani Tundu Lissu kwa defamation case ya kumuita na kumtangaza muuaji.

Tetesi: Wanasheria wa Paul Makonda wanajipanga kumburuza mahakamani Tundu Lissu kwa defamation case ya kumuita na kumtangaza muuaji.

Je hao wanasheria wa Makonda ni lini wataufungulia ubalozi wa Marekani kesi?
huyo bashite ni muuwaji alitengeneza kikosi kazi cha kuteka hadi kuua walioenda tofauti za kifikra na magu, alizani magu angeishi milele.......tutaona
 
Kwanza tuna natural resources nyingi sana kuwapita hao waingereza. Hivyo it is just a matter of time tutawapita kwa mbali hao Waingereza. Masikini wa leo ndiye tajiri wa kesho na tajiri wa leo ndiye masikini wa kesho.
Kwa maneno haya unaonekana ulivyomtupu kichwani

Nikwambie tu hakuna ujualo
 
Vizuri sana hii itasafisha jina lako kwa vile ushahidi anao Amsterdam au Rotterdam basi autoe mahakamano sio kwenye anga za mitandao
 
Mkuu ni hivi. Makonda ni suala la muda tu. Atakuja kulipia ubaya wake wote aliofanya na anaoufanya sasa hivi. Mark my words! Unajua huu jamaa ni zero brain na anatumika na wajanja ili kufikia malengo yao bila bila kutambua kuwa kuna kesho. Achana na Lissu au wapinzani, huko huko CCM ndiko wabaya wapo. Wako kimya kwa sababu tu kwa sasa analindwa na Samia. Lakini ukweli ni kwamba Samia hatakuwa rais milele na siku akitoka tu basi Makonda atakuwa kwenye hali mbaya mno.
Dua la kuku hilo!
 
Uropokaji una gharama zake. Tulishudia miaka siyo mingi jinsi Musiba uropokaji wake ulivyomgharimu TZS 9 billion kwa kumukashifu Bernard Membe.

Wanasheria wa Paul Makonda wanajipanga kuushughulikia kisheria uropokaji wa Tundu Lissu dhidi ya Paul Makonda. Hizo pesa za TIGO kama atazipata huko mahakama ya London zitaishia kumlipa Paul Makonda na hazitatosha. Hivyo ndege zetu hatazikamata.

Kweli ndege mtundu hunaswa na tundu bovu. Tundu Lissu kawa ndege mtundu na sasa kanasika sawa sawa kwenye tundu. Au mnasemaje wanajamii ya Jf?


View: https://youtu.be/Or-gSb_Jzto?si=W77QBsvLbftUxaAE

Waendetu wakamshitaki ila wajue lisu haropokagi tu.hiyo kesi ndo itazidi kutufumbua macho vizuri maana itabidi lisu athibitishie mahakama na uma
 
Vipi ikiwa Lissu kadanganywa?,je kulala hiyo hotel kunauhusiano gani na shambulizi lake?,tumieni elimu yenu ndogo kutafakari Sheria badala kudhaniadhania hovyo
Peleka 'hayo maswali' mahakamami and you'll get the answers.
 
Bashite atajitumbukiza mwenyewe kwenye mtego alotegewa na LISSU kwanza atashindwa asubuhi na mapema wakati huohuo THE HAGUE inamsubiri, hivi unadhani hata Lissu ni mjinga hadi kutaja hotel aliyelala steering wa wauaji? Tena kama anataka ateketeee ajichanganye
Lazima Lisu ashitakiwe. Huwezi kumchafua mtu hivi hivi halafu ukaachwa bila kupelekwa mahakani
 
Wanasheria wanataka kula hela zake wanamshauri aende Mahakamani ila akikumbuka mziki wa Kibatala,Kambole na Lissu wanarudi nyuma..
 
Back
Top Bottom