gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Hapakua na serikali siku ya uchaguzi?..mnamshitaki nani ICC ikiwa Samia hakuwa rais siku ya uchaguzi?Walikuwa wanapindua serikali Gani na ilikuwa siku ya uchaguzi? Siulizi kwa ubaya nauliza Ili hoja ijibiwe bila ukakasi
Issue ya Kenya ni tofaufi kabisa na Tanzania. Ya Kenya ilikuwa more of inter-tribal conflict ila Tanzania ni state against people.Huyu mtu na watu wake wa karibu wanastahili kufikishwa ICC na wahukumiwe,
Swali: Kesi ya William Rutto na Uhuru Kenyatta iliishia wapi?
Hakuwa CIC kawauza wakuu wa vyombo vya ulinziKesi ya Kenya ni tofauti kidogo, Kenya ilikuwa civilians against civilians ilikuwa rahisi kwa Uhuru kujitetea hakuhusika moja kwa moja lkn kwa Tanzania Rais ni ngumu kujitetea kwa vile mauaji yamefanywa na vyombo vya dola, serikali (polisi, TISS, etc) against civilians ambapo yeye ni commander in chief alikuwa na uwezo wa kuvizuia.
Mnaenda kueleza hayo yote uko wala msijal mtaeleza ao wapinduaji walikuwa na silaha gani au serikal inapinduliwa na maweWalikuwa wanapindua serikali Gani na ilikuwa siku ya uchaguzi? Siulizi kwa ubaya nauliza Ili hoja ijibiwe bila ukakasi
Inaweza kuwa low influence, but still its an influence!Kudai Abdul ana influence juu ya tiss ni ushuhuda wa ukilaza wa wahusika,mnaichukuliaje TISS!?
Ni kikobaTISS siyo kikoba punguani wewe
Kule siyo kisutuNiliskia wahuni wanapambana kupangua hiyo kitu ni kweli wana mtandao?
😂😂Kule siyo kisutu
GenZ wa abroad wana akiliYule anaweza kuwa dogo lakini pia anaweza kuwa mtu mzima. Data alionazo si za GenZ.
Kwa akili zake akaona hiyo kauli ni nzuri kuisema jukwaani?Kama mlimsikia Mwigulu Jana,
Anajaribu kusema kwamba Polisi hawahusiki ...
Alisema
' mnajua Kuna watu walikuwa na silaha na hawajui hata kiswahili...na mnachochea Tena maandamano mengine'
Yaani anataka kumaanisha Kuna Wageni walikuwa wanarushia risasi wananchi na sio Polisi...
Hili swala Kuna mtu kanidokeza linaenda vibaya kuiteteresha Serikali hasa suala la Economic Sunction ....na mbaya zaidi nimejulishwa kwamba tayari pia limepelekwa UN ...na wao wameanza mchakato wa ndani kwa ndani...
Na tunavyopenda mikopo ya IMF mara WHO....mbona naona Katiba Mpya itakuja kwa uchungu sana...bila Serikali kutaka
Ni Mwendo wa Kunyamata mmoja mmoja kama hawa akina bashungwa watadakwa kama kukuKama kweli hii ni sehemu ya document halisi basi inawezekana serikali au watuhumiwa waliotajwa watakuwa served.
Waliingiaje ? Mipaka inalindwa na nani?Washaanza kusema wale KMKM sio watanzania na walikuwa wanaua polisi na raia
Ndio gharama ya kutumika. Wewe unaona uko na ma mafia halafu unapokea order zao unategemea nini?Dah, homeboy Bashungwa yupo kwenye very complicated situation. Kwasababu tuhuma nyingi ni kwa Polisi iliyochini yake sioni atapona vipi. Wakati mwingine bora kukaa mbali na siasa utafute ugali kwa njia za kawaida.
Hawa watu wakiwa kwenye madaraka wanakuwa na kauli za ovyo za kujimalizaDah, homeboy Bashungwa yupo kwenye very complicated situation. Kwasababu tuhuma nyingi ni kwa Polisi iliyochini yake sioni atapona vipi. Wakati mwingine bora kukaa mbali na siasa utafute ugali kwa njia za kawaida.