Kizibo
JF-Expert Member
- Jul 3, 2018
- 4,617
- 10,524
Hii mbungi akiponyoka akatoe sadaka kwa mizimu ya mababu zaoTz Ipo kwenye target za USA !?
Hii mbungi akiponyoka akatoe sadaka kwa mizimu ya mababu zaoTz Ipo kwenye target za USA !?
Usimuonee huruma jini..hao viumbe ni kuangamizwa ni wabaya sana tena sanaKama naanza kumuonea huruma vile! Honestly kibinadamu namuhurumia bila kujali makosa yake.
Sema yule mama ametaka mwenyewe, alikuwa anaweza kuachia kiti awaambie Wana mtandao na wahuni wote waweke watu wao hasa watoto wao kwenye kiti.
Sijui ibilisi gani alimuingia au uoga gani ulimkuta?
Mkuu bado upo? Wapi alipo huyo kijana uliemtaja hapo katika andiko lakoMayi! Maneno ya Polepole yanaenda kutumia walahi. Maskini zigo lote ataachiwa Samuya na line ya juu. Mwanzoni watajitia kuwa pamoja naye lakini mbele maji ya shingoni watamtelekeza mwenyewe na genge lake. Chikwete hapo lazima amtose mtu kilindini. Mayi wee. Dunia walahi haina huluma. Mzaha mzaha Samuya ndani ya nyavu. Wajua hata wengine waliotiwa jela walikuwa kama yeye. Hawakuamini watanyea ndoo. Nye Nye Nye kwa umri ule kunyea ndoo woyiii! Na bado
Nimeona tu documents online. Kwani hii issue ni serious kwamba kesi imekwishaanzaKama naanza kumuonea huruma vile! Honestly kibinadamu namuhurumia bila kujali makosa yake.
Sema yule mama ametaka mwenyewe, alikuwa anaweza kuachia kiti awaambie Wana mtandao na wahuni wote waweke watu wao hasa watoto wao kwenye kiti.
Sijui ibilisi gani alimuingia au uoga gani ulimkuta?
Do you think wata realize huo uchunguzi huru uweze kuwepo !?Hii mbungi akiponyoka akatoe sadaka kwa mizimu ya mababu zao
Hii itaanza muda mfupi tu.Nimeona tu documents online. Kwani hii issue ni serious kwamba kesi imekwishaanza
🤣🤣🤣🤣🤣Huku aliko sijui yupo kwenye hali gani. Kwasasa anaona yule anaeshindia mihogo na maji ana amani ya moyo kuliko yeye.