Jamaa wanafanya kazi zao very professional, huwezi ukamkamata mtuhumiwa kama bado ushahidi haujakamilika (hili ni somo kubwa kwa PT). Let's wait and see.Sijui kwann wanachelewa, mbona maushahidi yapo meengi na ya kutosha?!.
Huyu pamoja na kwamba hatafungwa, kitendo tu cha kuburuzwa mahakamani kwa mauaji dhidi ya raia wa Tanganyika ni aibu & fedheha kubwa kwake binafsi na cccm kwa ujumla!.
Hii ina impact kubwa sana, ni zaidi ya kesi ya Charles Taylor. Ruto na Kenyatta waliponea chupuchupu, huyu hatoboi. Time will tell.....TutaonaSidhani kama kutakuwa na impact kiivyo kwa sasa sanasana kama kweli kesi ikianza watatumia kodi zetu kutafuta mawakili wakubwa duniani wawasimamie.
Wako vizuri sanaJamaa wanafanya kazi zao very professional, huwezi ukamkamata mtuhumiwa kama bado ushahidi haujakamilika (hili ni somo kubwa kwa PT). Let's wait and see.
Sidhani kama kutakuwa na impact kiivyo kwa sasa sanasana kama kweli kesi ikianza watatumia kodi zetu kutafuta mawakili wakubwa duniani wawasimamie.
Kwa nini asifungwe?Sijui kwann wanachelewa, mbona maushahidi yapo meengi na ya kutosha?!.
Huyu pamoja na kwamba hatafungwa, kitendo tu cha kuburuzwa mahakamani kwa mauaji dhidi ya raia wa Tanganyika ni aibu & fedheha kubwa kwake binafsi na cccm kwa ujumla!.
Tunaomba wamdake Samia mapema wakati taratibu zingine zinaendelea.
Tanpol nao wangekuwa wanafanya hivi watu wengi wasingesota lumande bila sababu ya msingiJamaa wanafanya kazi zao very professional, huwezi ukamkamata mtuhumiwa kama bado ushahidi haujakamilika (hili ni somo kubwa kwa PT). Let's wait and see.
Unadhani wazungu ni wajinga kama uvccm? Hakuna kilaza wa Serikali ya Samia atachomoa kwenye hii issue ya ICC. NeverNiliskia wahuni wanapambana kupangua hiyo kitu ni kweli wana mtandao?
Amen!Taarifa za chinichini zinapenya kwamba mahakama ya kimataifa ya uhalifu (ICC) inaandaa hati ya mashtaka dhidi ya serikali ya Tanzania kufuatia mauaji ya wananchi wasiokuwa na hatia yaliyotekelezwa kati ya tarehe 29 Oktoba na tarehe 5 Novemba, 2025 ambapo inakadiriwa kwamba zaidi ya raia 10,000, wengi wao wakiwa vijana (Gen Z), waliuawa kwa risasi za moto hadharani.
Hatua hii inakuja baada ya vyombo mbali mbali vinavyotetea haki za raia vya ndani na nje ya nchi kutoa wito kwa ICC kuifungulia mashtaka serikali ya Tanzania dhidi ya uhalifu wa kibinadamu. Aidha, imekuwa rahisi kwa ICC kuifungulia serikali ya Rais Samia kesi kufuatia kuzagaa kwa video na picha za zilizothibitshwa kisayansi ambazo zitatumika kama ushahidi mahakamani. Kwa ICC, hakuna ushahidi mdogo. Hata ushahidi wa kikosi cha watu waliofanya mauaji kilichotoka Zanzibar kikiwa kimevalia nguo za kiraia kilichoonekana kikiwapiga risasi raia mitaani, ni ushahidi usioweza kuacha shaka yoyote.
Na pia wanajeshi kutoka Uganda (UPDF) wanaosemekana kuja kuwasaidia polisi kuwaua watanzania ni ushahidi tosha kuwa serikali ilikuwa imedhamiria kutoa roho za raia.
MAONI YANGU
Mimi nafikiri ni sahihi kabisa kwa ICC kuifungulia mashataka serikali ya Tanzania kwa ushahidi walioukusanya hadi sasa. Kama serikali haina hatia katika hili, basi watashinda kesi misa ya kwanza na ICC watalipa gharama zote za kesi. Lakini ikiwa serikali itaonekana kuwa ilihusika kuwaagiza na kuwawezesha polisi na UPDF kuua maelfu ya raia, sheria ichukue mkondo wake. Sheria ni msumeno na haina huruma kwa wauaji. Mungu ibariki Tanganyika, Mungu wabariki watanganyika. Amen.
Sure thingSijui kwann wanachelewa, mbona maushahidi yapo meengi na ya kutosha?!.
Huyu pamoja na kwamba hatafungwa, kitendo tu cha kuburuzwa mahakamani kwa mauaji dhidi ya raia wa Tanganyika ni aibu & fedheha kubwa kwake binafsi na cccm kwa ujumla!.
🤣🤣🤣🤣Hawataweza. Ni lazima tuwaone wamevaa vinasa sauti ndani ya mahakama ya icc wakiwa kama watuhimiwa.
Hakuna kujuana wala rushwa.
Samia alisema hakuna nywinywinywi sasa ICC nayo haitaki nywinywinywi.
Tz Ipo kwenye target za USA !?Mashahidi wa Kenya walikula vyuma mmoja mmoja hadi ikawa mbaya , kunakijana wangu mmoja hadi niliwahi kumpa hifadhi na kwao wakatangaza kuwa amefariki kwa ajali ndiyo salama yake .
Kule siyo kuzuri na jamaa huwa wanamchakato mzito sana kuhongeka hasa kwenye Taifa lililokwenye target ya Marekani.
Nikama ICC inachewa aiseeTaarifa za chinichini zinapenya kwamba mahakama ya kimataifa ya uhalifu (ICC) inaandaa hati ya mashtaka dhidi ya serikali ya Tanzania kufuatia mauaji ya wananchi wasiokuwa na hatia yaliyotekelezwa kati ya tarehe 29 Oktoba na tarehe 5 Novemba, 2025 ambapo inakadiriwa kwamba zaidi ya raia 10,000, wengi wao wakiwa vijana (Gen Z), waliuawa kwa risasi za moto hadharani.
Hatua hii inakuja baada ya vyombo mbali mbali vinavyotetea haki za raia vya ndani na nje ya nchi kutoa wito kwa ICC kuifungulia mashtaka serikali ya Tanzania dhidi ya uhalifu wa kibinadamu. Aidha, imekuwa rahisi kwa ICC kuifungulia serikali ya Rais Samia kesi kufuatia kuzagaa kwa video na picha za zilizothibitshwa kisayansi ambazo zitatumika kama ushahidi mahakamani. Kwa ICC, hakuna ushahidi mdogo. Hata ushahidi wa kikosi cha watu waliofanya mauaji kilichotoka Zanzibar kikiwa kimevalia nguo za kiraia kilichoonekana kikiwapiga risasi raia mitaani, ni ushahidi usioweza kuacha shaka yoyote.
Na pia wanajeshi kutoka Uganda (UPDF) wanaosemekana kuja kuwasaidia polisi kuwaua watanzania ni ushahidi tosha kuwa serikali ilikuwa imedhamiria kutoa roho za raia.
MAONI YANGU
Mimi nafikiri ni sahihi kabisa kwa ICC kuifungulia mashataka serikali ya Tanzania kwa ushahidi walioukusanya hadi sasa. Kama serikali haina hatia katika hili, basi watashinda kesi misa ya kwanza na ICC watalipa gharama zote za kesi. Lakini ikiwa serikali itaonekana kuwa ilihusika kuwaagiza na kuwawezesha polisi na UPDF kuua maelfu ya raia, sheria ichukue mkondo wake. Sheria ni msumeno na haina huruma kwa wauaji. Mungu ibariki Tanganyika, Mungu wabariki watanganyika. Amen.
Ataruka akienda kupanda kizimbaniAnavyopenda kuruka angani sasa itakuwaje?
Ile makala ni ngumu sana ni basi tu wanajitia upofu ila Wana lala hoi huko walipo Kila wakifikiria yajayo Wana zidi kuchanganyikiwa.Ukiona mpaka ICC imeanza kufungua jalada ili kesi ianze ujue wamesharidhika na ushahidi waliopokea.
Ile documentary ya CNN ndiyo msiba zaidi Kwa samuya kwasababu dunia yote imeona hasa Ile ishu ya mass grave kule beach