PostGE2025 Wanasheria watinga ICC na kufungua kesi dhidi ya Rais Samia na wakuu wa Vyombo vya Usalama Tanzania

PostGE2025 Wanasheria watinga ICC na kufungua kesi dhidi ya Rais Samia na wakuu wa Vyombo vya Usalama Tanzania

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Faraja tu ya tesha..
Ili ushaidi ukamilike, ingieni tena 9d ili mfe weng vichwa maji nyie
 
Sijui kwann wanachelewa, mbona maushahidi yapo meengi na ya kutosha?!.

Huyu pamoja na kwamba hatafungwa, kitendo tu cha kuburuzwa mahakamani kwa mauaji dhidi ya raia wa Tanganyika ni aibu & fedheha kubwa kwake binafsi na cccm kwa ujumla!.

kuwezi na subira, hawako kwa ajili yeru tu, dunia ni kubwa with full of evil, na matatizo yetu si muhimu na makubwa klk matatizo ya wengine, wana mambo ya kufanya kuna sudani, kongo dr, somalia, siria au nigeiria kote evil imetawala, i mean dunia nzima na siyo sisi tu …
 
Kristus...

Ngoja tusubiri tuone maana hizi mahakama na international authorities zingine. Huwa zinasimamia haki ila kwa maslahi flani so this time tuone kama watakomalia hii issue
Wanaweza kuhongwa Serengeti hao wakaishia kukausha tu
 
Back
Top Bottom