PostGE2025 Wanasheria watinga ICC na kufungua kesi dhidi ya Rais Samia na wakuu wa Vyombo vya Usalama Tanzania

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kama naanza kumuonea huruma vile! Honestly kibinadamu namuhurumia bila kujali makosa yake.
Sema yule mama ametaka mwenyewe, alikuwa anaweza kuachia kiti awaambie Wana mtandao na wahuni wote waweke watu wao hasa watoto wao kwenye kiti.
Sijui ibilisi gani alimuingia au uoga gani ulimkuta?
 
Usimuonee huruma jini..hao viumbe ni kuangamizwa ni wabaya sana tena sana
 
Mkuu bado upo? Wapi alipo huyo kijana uliemtaja hapo katika andiko lako
 
Nimeona tu documents online. Kwani hii issue ni serious kwamba kesi imekwishaanza
 
Yale mauwaji huenda yalipangwa na wahuni ili yatokee haya ya kushitakiwa kiongozi mkuu.
Kisha kiti chake arithi mwingine waliyemuandaa (designated survivor).
Kiongozi alidhani wapo wote kumbe kategewa mtego wamtose.
 
Nilitoa mapendekezo Hawa watu TUWAJUE ikiwezekana MELO ATOE NYWILA ZA WATU WA AINA HII SURA ZAO ZIWEKWE WAZI TUWAJUE ikiwezekana juhudi zifanyike.

Hawa kina gallow bird, lucha, yule anae weka picha ya askari magereza aliye tumbuliwa butimba..

NB.Huwezi kuelewa kikamilifu furaha,huzuni ,uzoefu, au hali ya mtu fulani mpaka wewe pia upitie hali kama yake.
 
🤣🤣🤣🤣 still najiuliza hivi waliwaza nini mpaka kufanya unyama wote ule !? Ina maana walikuwa hawajui kwamba Kuna mikataba ya umoja wa kimataifa na inapaswa kulindwa au !?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…