Wanasiasa kumi wenye akili nyingi kuwahi kutokea Tanzania

Kwahiyo wewe unazidiwa utashi na makonda? Ukimaliza hiyo tuanze kuweka vyeti kimoja baada ya kingine, nilienda shule kusoma sio kucheza nipo proud sana na elimu niliyopata....hata kwa akili ndogo huwezi fananisha nyerere na makonda afu unawaweka kundi moja. Rejea historia walikuwepo watu waliodhubutu na nia ya kweli sio makonda anayechukua mwanamke kichaa na kutengeneza maneno then wewe kwako anakuwa top 10.
 
Sijamuona sir john kahama hapo au haumjui
 
Inawezekana haujui maana ya kuwa na akili! Mimi nakushauri ukasome upya kwani unanipa wasiwasi na ukakasi mkubwa na elimu uliyonayo na namna ulivyoipata! But anyway! Huu ulikuwa mtazamo wangu kwa hiyo usilichukulie kwa uzito sana!
 
Hakuna mtanzania mwenye akili....wangekuwepo tusingekuwa maskini wa kutupwa
 
Hapo kwenye list kuna fala kapata zero. Means kashindwa kupata 21% kwenye masomo 4 kati ya 10 japo apate div 4.
 
Inawezekana haujui maana ya kuwa na akili! Mimi nakushauri ukasome upya kwani unanipa wasiwasi na ukakasi mkubwa na elimu uliyonayo na namna ulivyoipata! But anyway! Huu ulikuwa mtazamo wangu kwa hiyo usilichukulie kwa uzito sana!
Nina jua maana ya akili, mtazamo wako upo wrong sana kuna watu wengi sana walithubutu katika historia ya Tz mpaka leo hii tupo hapa, sio huyu Paul Makonda kila kitu anachokiendesha nikwakutafuta kiki tu hakuna kingine hakuna udhubutu hapo hata kidogo......tafuta historia ya Tz usome kuna watu walioifanya Tz iwe hivi mpaka leo.
 
We pata picha mtu anayetuhumiwa kuwa alipata zero ndani ya miaka isiyozidi 5 amefikia level ya juu ya uongozi unadhani akili ni makaratasi yaliyowekewa number kisha yakawekwa kabatini ambapo hata wanaoishi ndani ya nyumba yako hawaelewi maana yake?
 
Hiyo namba 7 amefanya uthubutu Gani?
 
Akili za darasani au mitaani? Kama ni darasani TO wapo wengi.
Hizo ni akili za ukasuku...zile zenye kuleta mambo mpaka unasimamisha dunia inayokuzunguka hazihitaji karatasi zinajidhihirisha tu
 
no 1 Na 10 watoe mueke babu wa laliondo Na wale wa escrow waliosema Ni ela ya Mboga waliochukua apo utakamilisha list ya wapiga madili makubwa Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…