Wanasiasa wa Kenya na Kilimo wana inspirw sana ukiweka Siasa pembeni.Hawa wetu hadi wastafu ndio tuanze kuwaona shamba

Wanasiasa wa Kenya na Kilimo wana inspirw sana ukiweka Siasa pembeni.Hawa wetu hadi wastafu ndio tuanze kuwaona shamba

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
7,872
Reaction score
9,263
Kitu kimoja huwa najifunza kutoka kwa Viongozi wa Kenya ni kwamba asilimia 99 wana fuga na wanalima.
Screenshot_20241229_084920_com.facebook.katana.jpg

Raila shamba lake linaitwa Opoda ni moja ya shamba kubwa sna la mifugo hapo Kenya.
Screenshot_20241226_173513_com.facebook.katana.jpg

Kuna wakati Ruto alikuwa ana unda Balaza lake la kwanza la mwaziri sasa wakawa wanafanyiwa Vetting Bungeni kwa kitaja mali zao.
Screenshot_20241224_071610_com.facebook.katana.jpg

Omanga akiwa shambani kwake huwezi amini.
Asilimia 100 walitaja kulimiki mifugo na amshamba, wana mifuho hasa Ng'ombe na asilimia kunwa wana mifugo tu wengine ndio wanalima na kulima.
Screenshot_20241229_090452_com.android.gallery3d.jpg

Huyu ni Duale waziri wa Ulinzi wa Zamani na waziri wa Mazingira wa Sasa huyu ana fuga sana na ana ngamia sio chini ya 15,000.
Screenshot_20241229_090448_com.android.gallery3d.jpg

Mara nyingi hasa wakati wa Mapumziko mwisjo wa mwaka au wekeend ndio unakuta wanaenda mashamban kwao kuangalia mifugo yao. Hawaendi kwa kificho.
Screenshot_20241229_090411_com.android.gallery3d.jpg

Mwenyewe.Hio ni Ng'ombe wake.
Screenshot_20241229_090332_com.android.gallery3d.jpg

Shamba lake huko Narok.

Screenshot_20241229_090311_com.android.gallery3d.jpg

Kalonzo akiwa na mifugo yake huko Ukambani kwao.
 
Back
Top Bottom