Wanasiasa wa Tanzania wanaongeleaga kuhusu viwanda ila sijawahi wasikia wakiongelea na inteligensia ya kuvilinda viwanda

Mikopo Consultant

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2024
Posts
529
Reaction score
1,150
Ukiwa Arusha mjini, mitaa ya Unga Limited, sasahivi yamebakia kuwa magodown, ila wazazi wetu wanatuambia miaka ya 70 na 80 kulikuwa na utitiri wa viwanda vingi sana. Na hiyo ni Arusha; ukienda na mikoa mingine kama Dar es salaam, Mwanza, Mbeya, Tanga na Morogoro, utakutana na similar story. Kwa ufupi Tanzania ilikuwa kabisa inaelekea kuwa industrial economy

Ila sasa cha kushangaza, Tanzania huge industrialization phase haikuchukua zaidi ya miaka 20 (kuna haja ya kutafiti hili suala kwa kina na kujiuliza ni kwanini). Mwaka 1995, asilimia karibu 90 ya viwanda vilikuwa ni kama vipo mfu.

Wasomi wengi sana wa Tanzania walijaribu kuchapisha maandiko kuhusu kufeli kwa Tanzania industrialization na wengi wao wanaishia kutaja ‘generic reasons’ kama; mitaji, rushwa, nguvu kazi n.k na kusahau sababu kubwa kwa upande wangu mimi ambayo ni ‘kushindwa kwa intelligensia ya kuvilinda viwanda’.

Kwahiyo hata wanasiasa wa sasa, wanadhani kwamba shida za kushindwa viwanda ni hizo ‘generic reasons’ ila ki ukweli kabisa mimi naweza kusema, Tanzania ya viwanda ilihujumiwa na ‘sabotage’ ambayo iliweza kufanikiwa kutokana na kushindwa kwa intelijensia ya kulinda hivi viwanda.

Mfano mdogo tu, kama kiwanda chako kina mfumo wa Bulb za Tred halafu mtu aliyekabidhiwa jukumu la kununua Bulb, akanunua Bulbs zenye meno, matokeo yake unadhani ni nini? (huo ni mfano jinsi subotage inawea kukwamisha mambo) na huwa ni ngumu sana kwa mameneja kufuatilia vitu vidogo vidogo kama hivi, lakini, wataalamu wa sabotage wanakuambia hivo vitu vidogo vidogo ndo vyenye nguvu kuangusha taasisi, kwasababu ni rahisi sana kuvi overlook.

Bulb maskio.jpg
tred.png

Ama mitambo yako inatakiwa ifungwe na screw za 6inch halafu zinanunuliwa screw za 4 inch. Ama unatakiwa kujenga ghorofa kwa kutumia nondo za 15mm halafu zinanunuliwa nondo za 10mm

Maana ya hiyo mifano ni nini? Ukiwa na system kama hiyo, ambayo ipo intact kwenye taasisi zako, maana yake kutatokea mambo yafuatayo
  • Kupotea rasilimali, ukienda store utakutana na maboksi ya materials mpya ambazo zimenunuliwa lakini hazitumiki kwasababu zina specifications tofauti
  • Cost structure lazima ibadilike, kutokana na frequent maintenance. Sasa kama machine ilihitaji 6inch screws wewe ukaifunga 4inch, what do you expect?
  • Total collapse lazima itokee, kwasababu hakuna namna hiyo system itakupa efficiency ya Zaidi ya 90%, maana yake hata output haiwezi kuzalishwa efficiently. (Na hichi nadhani ndicho kiliikumba Tanzania yetu ya viwanda)
Sasa ni nani aliye tu sabotage? Ni swali lisilo na maana, kwasababu mda mwingine hata watu wako wenyewe na wazalendo kabisa wanaweza kuku sabotage pasipo wao wenyewe kujua. Ni kama vile mtu unafuatilia kupata leseni miezi 3 halmashauri wakati inatakiwa isichukue hata wiki moja.

Sasa nimeona ndugu yetu David Kafulila anakuja na PPP yake kwa kasi, embu ningemuomba aje na plan ya namna Tanzania itaweza kulinda viwanda vyake, na sio tu viwanda, hata hizi miradi za SGR na miundo mbinu mingine inapaswa kuwa na strategies za kuwa protected, ki inteligensia dhidi ya 'sabotage'

Taifa la America wapo vizuri sana kwenye haya mambo, nilivyoona andiko la CIA kuhusu sabotage ambalo limeandika mwaka 1944, ndo nikajua kwamba kumbe hawa jamaa bwana wamejipanga kila idara. Kuna manual moja waliandika CIA ambayo kwa sasa ipo declassified, ina title 'Simple Sabotage Field Manual' imeandika mwaka 1944 ila imekuwa declassified miaka ya karibuni, hii manual ilitolewa maalum kwa ajili ya kuwasaidia undercover wa CIA kuweza ku sabotage na kuviua viwanda vya nchi za ki communist. Kwahiyo humo wameelezea tricks mbalimbali za sabotage, japo ina setting ya manufacturing, ila maudhui ya kitabu yana apply sehemu pana zaidi.

Mambo kama haya na mengineyo, ya kufanana na haya, ndo yananishawishi kwamba, watu ambao hawana elimu nzito na high IQ, wasisogeze kabisa pua kwenye uongozi wa taasisi za nchi hii.
 
Unamkabidhi Mchina arun viwanda vya nguo (Textile factories e.g Urafiki Textile Mill FTC).nchini...wakati yeye anatafuta masoko ya nguo(Textile products) anazoproduce nchini kwake(China)....lazima afanye sabotage ya viwanda vyetu...ili kupunguza ushindani.
 
Hakuna tunachoweza kuendesha kwa faida. TAZARA kwa mfano, bandari tunayo, mizigo ipo kibao ila shirika linakaribia kufa!! Sembuse viwanda ambavyo uendeshaji wake ni complex zaidi
 
Mfano mdogo tu, kama kiwanda chako kina mfumo wa Bulb za Tred halafu mtu aliyekabidhiwa jukumu la kununua Bulb, akanunua Bulbs zenye meno, matokeo yake unadhani ni nini? (huo ni mfano jinsi subotage inawea kukwamisha mambo) na huwa ni ngumu sana kufuatilia sababu kama hizi kwasababu huwa ni ndogo ndogo sana.
View attachment 3188091 View attachment 3188093

Ama mitambo yako inatakiwa ifungwe na screw za 6inch halafu zinanunuliwa screw za 4 inch. Ama unatakiwa kujenga ghorofa kwa kutumia nondo za 15mm halafu zinanunuliwa nondo za 10mm

Maana ya hiyo mifano ni nini? Ukiwa na system kama hiyo, ambayo ipo intact kwenye taasisi zako, maana yake kutatokea mambo yafuatayo
  • Kupotea rasilimali, ukienda store utakutana na maboksi ya materials mpya ambazo zimenunuliwa lakini hazitumiki kwasababu zina specifications tofauti
  • Cost structure lazima ibadilike, kutokana na frequent maintenance. Sasa kama machine ilihitaji 6inch screws wewe ukaifunga 4inch, what do you expect?
  • Total collapse lazima itokee, kwasababu hakuna namna hiyo system itakupa efficiency ya Zaidi ya 90%, maana yake hata output haiwezi kuzalishwa efficiently. (Na hichi nadhani ndicho kiliikumba Tanzania yetu ya viwanda)
Sasa ni nani aliye tu sabotage? Ni swali lisilo na maana, kwasababu mda mwingine hata watu wako wenyewe na wazalendo kabisa wanaweza kuku sabotage pasipo wao wenyewe kujua. Ni kama vile mtu unafuatilia kupata leseni miezi 3 halmashauri wakati inatakiwa isichukue hata wiki moja.

Sasa nimeona ndugu yetu David Kafulila anakuja na PPP yake kwa kasi, embu ningemuomba aje na plan ya namna Tanzania itaweza kulinda viwanda vyake, na sio tu viwanda, hata hizi miradi za SGR na miundo mbinu mingine inapaswa kuwa na strategies za kuwa protected, ki inteligensia dhidi ya 'sabotage'

Taifa la America wapo vizuri sana kwenye haya mambo, nilivyoona andiko la CIA kuhusu sabotage ambalo limeandika mwaka 1944, ndo nikajua kwamba kumbe hawa jamaa bwana wamejipanga kila idara. Kuna manual moja waliandika CIA ambayo kwa sasa ipo declassified, ina title 'Simple Sabotage Field Manual' imeandika mwaka 1944 ila imekuwa declassified miaka ya karibuni, hii manual ilitolewa maalum kwa ajili ya kuwasaidia undercover wa CIA kuweza ku sabotage na kuviua viwanda vya nchi za ki communist. Kwahiyo humo wameelezea tricks mbalimbali za sabotage, japo ina setting ya manufacturing, ila maudhui ya kitabu yana apply sehemu pana zaidi.

Mambo kama haya na mengineyo, ya kufanana na haya, ndo yananishawishi kwamba, watu ambao hawana elimu nzito na high IQ, wasisogeze kabisa pua kwenye uongozi wa taasisi za nchi hii.
Uchumi wa nchi hujengwa na wananchi wenyewe.
Changamoto kubwa ni ya Afrika ni kwamba viongozi wenye wenye madaraka wana fikra zilizojitenga na wananchi, hivyo kuamua na kutekeleza mambo ambayo ni tofauti na mahitaji halisi ya wananchi.
Wananchi wanahitaji ujuzi na teknolojia kutoka ugenini na siyo wageni wapewe njia kuu za uzalishaji nchini.
 
Unamkabidhi Mchina arun viwanda vya nguo (Textile factories e.g Urafiki Textile Mill FTC).nchini...wakati yeye anatafuta masoko ya nguo(Textile products) anazoproduce nchini kwake(China)....lazima afanye sabotage ya viwanda vyetu...ili kupunguza ushindani.
Laiti kama tungejiuliza hilo swali dogo tungekwepa huo mtego. Wataalamu wanasema, huwezi kuona intention ya mtu kwasababu imejificha rohoni, ila unapoona matendo ya mtu, unaweza kuyatumia kuisoma intention.

Viongozi hawakujiuliza maswali mengi wala kujishughulisha kusoma intentions za the so called wawekezaji wa nje kwenye viwanda vya serikali
 
Hakuna tunachoweza kuendesha kwa faida. TAZARA kwa mfano, bandari tunayo, mizigo ipo kibao ila shirika linakaribia kufa!! Sembuse viwanda ambavyo uendeshaji wake ni complex zaidi
Kama tukiishikilia na kuamini hili hitimisho lako, maana yake, hakuna point wala sababu ya kujenga viwanda?
 
Uchumi wa nchi hujengwa na wananchi wenyewe.
Changamoto kubwa ni ya Afrika ni kwamba viongozi wenye wenye madaraka wana fikra zilizojitenga na wananchi, hivyo kuamua na kutekeleza mambo ambayo ni tofauti na mahitaji halisi ya wananchi.
Wananchi wanahitaji ujuzi na teknolojia kutoka ugenini na siyo wageni wapewe njia kuu za uzalishaji nchini.
Upo sahihi, ila nadhani, kama huioni nguvu ya sabotage kwenye kukwamisha viwanda, hata serikali ikiwa inawasikiliza wananchi kwa asilimia 100, bila strategy za kiintelijensia, hivo viwanda vitakuwa null and void.
 
Ukiwa Arusha mjini, mitaa ya Unga Limited, sasahivi yamebakia kuwa magodown, ila wazazi wetu wanatuambia miaka ya 70 na 80 kulikuwa na utitiri wa viwanda vingi sana. Na hiyo ni Arusha; ukienda na mikoa mingine kama Dar es salaam, Mwanza, Mbeya, Tanga na Morogoro, utakutana na similar story. Kwa ufupi Tanzania ilikuwa kabisa inaelekea kuwa industrial economy

Ila sasa cha kushangaza, Tanzania huge industrialization phase haikuchukua zaidi ya miaka 20 (kuna haja ya kutafiti hili suala kwa kina na kujiuliza ni kwanini). Mwaka 1995, asilimia karibu 90 ya viwanda vilikuwa ni kama vipo mfu.

Wasomi wengi sana wa Tanzania walijaribu kuchapisha maandiko kuhusu kufeli kwa Tanzania industrialization na wengi wao wanaishia kutaja ‘generic reasons’ kama; mitaji, rushwa, nguvu kazi n.k na kusahau sababu kubwa kwa upande wangu mimi ambayo ni ‘kushindwa kwa intelligensia ya kuvilinda viwanda’.

Kwahiyo hata wanasiasa wa sasa, wanadhani kwamba shida za kushindwa viwanda ni hizo ‘generic reasons’ ila ki ukweli kabisa mimi naweza kusema, Tanzania ya viwanda ilihujumiwa na ‘sabotage’ ambayo iliweza kufanikiwa kutokana na kushindwa kwa intelijensia ya kulinda hivi viwanda.

Mfano mdogo tu, kama kiwanda chako kina mfumo wa Bulb za Tred halafu mtu aliyekabidhiwa jukumu la kununua Bulb, akanunua Bulbs zenye meno, matokeo yake unadhani ni nini? (huo ni mfano jinsi subotage inawea kukwamisha mambo) na huwa ni ngumu sana kwa mameneja kufuatilia vitu vidogo vidogo kama hivi, lakini, wataalamu wa sabotage wanakuambia hivo vitu vidogo vidogo ndo vyenye nguvu kuangusha taasisi, kwasababu ni rahisi sana kuvi overlook.

View attachment 3188091 View attachment 3188093

Ama mitambo yako inatakiwa ifungwe na screw za 6inch halafu zinanunuliwa screw za 4 inch. Ama unatakiwa kujenga ghorofa kwa kutumia nondo za 15mm halafu zinanunuliwa nondo za 10mm

Maana ya hiyo mifano ni nini? Ukiwa na system kama hiyo, ambayo ipo intact kwenye taasisi zako, maana yake kutatokea mambo yafuatayo
  • Kupotea rasilimali, ukienda store utakutana na maboksi ya materials mpya ambazo zimenunuliwa lakini hazitumiki kwasababu zina specifications tofauti
  • Cost structure lazima ibadilike, kutokana na frequent maintenance. Sasa kama machine ilihitaji 6inch screws wewe ukaifunga 4inch, what do you expect?
  • Total collapse lazima itokee, kwasababu hakuna namna hiyo system itakupa efficiency ya Zaidi ya 90%, maana yake hata output haiwezi kuzalishwa efficiently. (Na hichi nadhani ndicho kiliikumba Tanzania yetu ya viwanda)
Sasa ni nani aliye tu sabotage? Ni swali lisilo na maana, kwasababu mda mwingine hata watu wako wenyewe na wazalendo kabisa wanaweza kuku sabotage pasipo wao wenyewe kujua. Ni kama vile mtu unafuatilia kupata leseni miezi 3 halmashauri wakati inatakiwa isichukue hata wiki moja.

Sasa nimeona ndugu yetu David Kafulila anakuja na PPP yake kwa kasi, embu ningemuomba aje na plan ya namna Tanzania itaweza kulinda viwanda vyake, na sio tu viwanda, hata hizi miradi za SGR na miundo mbinu mingine inapaswa kuwa na strategies za kuwa protected, ki inteligensia dhidi ya 'sabotage'

Taifa la America wapo vizuri sana kwenye haya mambo, nilivyoona andiko la CIA kuhusu sabotage ambalo limeandika mwaka 1944, ndo nikajua kwamba kumbe hawa jamaa bwana wamejipanga kila idara. Kuna manual moja waliandika CIA ambayo kwa sasa ipo declassified, ina title 'Simple Sabotage Field Manual' imeandika mwaka 1944 ila imekuwa declassified miaka ya karibuni, hii manual ilitolewa maalum kwa ajili ya kuwasaidia undercover wa CIA kuweza ku sabotage na kuviua viwanda vya nchi za ki communist. Kwahiyo humo wameelezea tricks mbalimbali za sabotage, japo ina setting ya manufacturing, ila maudhui ya kitabu yana apply sehemu pana zaidi.

Mambo kama haya na mengineyo, ya kufanana na haya, ndo yananishawishi kwamba, watu ambao hawana elimu nzito na high IQ, wasisogeze kabisa pua kwenye uongozi wa taasisi za nchi hii.
Ukiwa mwekezaji mzawa Tanzania jiandae kufa kwa sttoke kwa sababu maafisa wa Kodi na mamlaka watajitajirisha kupitia uwekezaji wako. Ukiwagomea wanafunga kila kitu chako mpaka uhai
 
Two arguments can be true at the same time. Your argument could be true, needs more research rather. However, hatuwezi pinga kwamba mitaji, lack of skilled labor, ushindanani wa soko na gharama za uendeshaji vilichangia viwanda kufa.

Ni gharama nafuu kuunda vitu China na kuuza Africa kuliko kuviunda kwenye masoko ya ndani. Hapo viwanda vya ndani vitakufa tu bila sabotage yeyote Ile.
 
Viwanda siyo magodown.

Wao wanaongelea viwanda kwa technologia gani sasa? Tunatengeneza nini sisi?

Tununue Technologia au tulete wenye technologia, au tununue viwanda, au tuingie kolabo na wenye viwanda wawekezaji.

Sisi hatuna technologia, hatuwezi kuwa na viwanda.

Technologia zinalindwa na patent na copy-right, ama tununue au tuwalete wao wafanye kila kitu. Sisi tutoe nguvu kazi.

Achana na maneno ya wanasiasa.
 
Mambo ya kushangaza ni TTCL, Tanesco, Bandari, Tazara, haya mashrika huduma zake zinahitajika sana, na bado hazileti faida ni hasara tu.
 
Waliuza viwanda wakanunua kadi za vyama.Upelelezi wote uko kwenye siasa na uongozi,ambacho wamefaulu ni upelelezi wa viongozi na uchawa.Mchina analipa wafanyakazi sh 6000/= kwa siku,hakuna upelelezi hapo.Ila ukikosoa viwanda vya midomo,asubuhi umeshakamatwa,kama siku zako chache basi utajikuta misitu ya Katavi.Mwalimu aliona mbali ila waliomfuata waliona chama
 
Civil services sio swala la mzaha na kwa hoja hizi principally tu kama nchi hatuchomoki.

Fikra tu jinsi walioendelea na sisi tunavyofikiri tofauti yetu ni mbingu na ardhi.

Hatuwezi hata kujenga hoja ya maandishi.

Chuo cha maana ulaya, mada kama hii watasema ni opinion aina theoretical argument kwanini viwanda vimefeli.

Uwezi tumia CIA intelligence report ya kusemea ufisadi wao kuhusu Tanzania.

Usalama kiini chake ni analysts (na hawa ni technocrats wenye elimu ya kila nyanja) Ndio strategists wao.

Ukisoma tu hii mada unaona huyu mtu hajasoma maswala ya business management, let alone kuishauri serikali.

Wazungu (na wengineo waliondelea can tell technocrats) huyu mtu hana nitty gritty ya subject husika.

Same ukisoma mada za uchumi na biashara uwezo ni mdogo; sasa how are you going to advise on policy.

Let alone kusimamia policy strategy (do they even know what’s a strategy and what it takes to oversee it) hizo akili hawana.

Wazungu na nchi zilizoendelea, hawapo walipo kwa bahati.

Akili za watanzania ni ndogo.

Ndogo
 
Ukiwa mwekezaji mzawa Tanzania jiandae kufa kwa sttoke kwa sababu maafisa wa Kodi na mamlaka watajitajirisha kupitia uwekezaji wako. Ukiwagomea wanafunga kila kitu chako mpaka uhai
Sabotage pia hiyo
 
Two arguments can be true at the same time. Your argument could be true, needs more research rather. However, hatuwezi pinga kwamba mitaji, lack of skilled labor, ushindanani wa soko na gharama za uendeshaji vilichangia viwanda kufa.

Ni gharama nafuu kuunda vitu China na kuuza Africa kuliko kuviunda kwenye masoko ya ndani. Hapo viwanda vya ndani vitakufa tu bila sabotage yeyote Ile.
Ni ngumu ku notice sabotage, kwasababu inafanyika at lower level, mfano mdogo tu, utajuaje kwamba AC huwa zipo on mpaka usiku alihali zilitakiwa kuzimwa?

Au delivery ya raw materials ilitakiwa kuja ijumaa, unaambiwa itakuja jumatatu ijayo, obviously kwa akili ya kawaida, unaweza kuona kwamba haina impact lakini ina madhara makubwa

At corporate level, vitu vidogo vidogo kama hivo huwezi kuona kama vinaweza kuua taasisi, ila vina mchango wa kipekee.

Speaking of capital, hivi viwanda kwa mara ya kwanza viliweza kuanzishwa na vilikuwa vipo capitalized vya kutosha, hoja ya kukosekana capital, maana yake ni kwamba vilikuwa loss making entities.

Sasa ukichunguza kwanini loss making, kwa namna moja lazima urudi kwenye expenses na machine failures ambayo mimi ndio nina mashaka, kwamba these might have been sabotage operations, na ndo hoja yangu ilipolalia
 
Back
Top Bottom