Wanasiasa wa Upinzani kuweni makini mnapofanya mahojiano na Media za Nje

Kama ameongea hivyo kwenye issue ya COVID19 huyo ni tatizo. Haiwezekani madaraka yakufanye ufanye chochote ili ufanikiwe bila kujali uzalendo.
uzalendo gani huo unaouzungumzia wa kuua na kuteka watu
 
Hivyo ndio viashiria kuwa bado TL hajamature kiuongozi na hana uwezo wa kuongoza Nchi. Hana mkakati ya kulinda na kuboresha uchumi. Kwa kwe Kila kitu ni Sheria.
Kiukweli wamuandalie speech bila hvo ataharibu na ccm wakipiga propaganda vizuri kura nyingi watakosa. Too much is harmful
 
Nafikiri wanasiasa wana haki ya kueleza mawazo yao. Na kupingana na serikali. Na kupingana na wewe.

Na vita za kibiashara zipo. Wanaweza kujibizana na waandishi wa nje wakisema ukweli wao, na hapo hapo kujihadhari wasiwape majirani mtaji wa vita vya kiuchumi.

Hao wageni wanaokuja wana habari nyingi kuhusu Tanzania. Mahojiano ya Tundu Lissu sifikiri ndiyo yanaweza kuwazuia wasije kama wanataka kuja.

Kwa mfano, soma hii makala ya The New York Times wameandika juzi kuhusu Tanzania na Covid.

Sasa Tundu Lissu atasema kipi ambacho hakijasemwa tayari?

Awe huru tu. Na wewe hapo unapata kumpima kama anastahili urais au hafai. Ujue jinsi ya kupiga kura.

Tanzania’s President Says Country Is Virus Free. Others Warn of Disaster
 
Kwa hiyo Marekani wanapotangaza maambukizi ya Covid-19 na kuonesha wanaongoza duniani ni kukosa uzalendo.

Watanzania mbona mnapenda nchi iongozwe kienyeji enyeji hivyo. Tunaenda shule ili tupractice professionalism sio uswahili.
Kipindi hichi Cha uchaguzi sio Cha candidate kujiropokea hyo corona Tanzania iko wapi jamani, maana lisu kasema watu wanakufa
 
Walipanga pamoja na chama chao, bado hadi leo hatufahamu kwa nini mguu wa kulia ndio uliharibika wakati yeye alikuwa upande wa abiria na hakuna maelezo yoyote kutoka kwa dreva wake. Angalizo mbunge Molel alisema walipanga wote walipokuwa Chadema.
Ulivyokoment inaonekana ulikalia kitu kigumu chenye ncha butu laini kilichonyooka huku umepakatwa na kupapaswa.

Kimba ww!
 
Ulivyokoment inaonekana umekalia kitu kigumu chenye ncha butu laini kilichonyooka huku umepakatwa na kupapaswa.

Kimba ww!
Hiyo ni tabia uliyozoea hata TL aliwekwa kimada kule Belgiam lakini Tanzania ambao tunajielewa tupo mbali sana hatuwezi kubishana kwa kadri ya ujinga wako.
 
Kipindi hichi Cha uchaguzi sio Cha candidate kujiropokea hyo corona Tanzania iko wapi jamani, maana lisu kasema watu wanakufa
Muhimu ni kuzingatia tahadhari zitolewazo na wataalamu wa afya kuhusiana na COVID-19. Usiseme tu kuwa haipo!
 
Lisu hajatulia na anahasira sana.
Nadhani kwasasa hafai kugombea uraisi.
Hadi atulie kwanza.
Ni bora angegombea Ubunge.
La awe na watu makini wa kumshauri.
 
Hapa kwetu wapinzani wanadhani kazi yao pekee ni kupinga Kila kitu. Hata pale panapohitaji umoja wa kitaifa wao wanapinga tu na Wala hawataki kujifunza kwa mabeberu wanaowatumikia.
 
Samahani, ni channel gani, boss?
 
Yaani huwa naboreka sana, Tanzania ni nchi pekee ambayo watu wake hawana Utaifa,Lissu hakuwa na mamlaka ya kuongelea COVID_19,kaongelea hear say,mtu amerudi juzi amezika ndugu wangapi tangu aje???
 
Corona kuwepo na uwepo wa vifo ni vitu viwili tofauti sana. Tatizo watanzania kujishughulisha kiakili wengi wenu ni zero kabisa!
 
Magu ni mropokaji lakini TL amezidi na kama mpo nyuma yake ombeni sana CCM wasimpe nafasi ya kuongea sana kwasababu nakuahidi kila muda ule mdomo ukiwa unafunguka kuna shabiki anapotea.
 
Inaonekana wao ndio waliompiga risasi za kutosha pale Dom kwny makazi ya viongozi.

Si kweli.

Angepigwa risasi na wataalam wenyewe asingepona.

Na hata angepigwa risasi kama yule mbeba madini wa Arusha wakamchafua yeye na Rabge Rover yake asingepona kabisa.

Isitoshe bado dereva wake anahitajika atoe maelezo inakuwaje risasi zipigwe kuelekea uapnde wa dereva (kushoto) lakini zimpate Tundu Lissu kwenye mguu wake wa kulia.

Hadi leo hii hakuna anaefahamu kwa uhakika Tundu Lissu alishambuliwa na wahuni wepi.
 
Lissu ndio Rais ajaye wa Tanzania , hutaki jipige kitanzi

Sawasawa Tundu Lissu, raisi ajae wa Chadema digital na social media.

Halafu mkajitahidi msiweke anachokizungumza kwenye "acceptance speech" yake lakini mkatoa tena baadae.

Lakini Tundu Lissu anajitahidi sana ila bado ana safari ndefu sana.
 
Basi TBC na nyie wekeni matangazo yenu yanayowafurahisha. Huku tz hamuwezi kuweka hotuba za Lissu kaenda zake kwa majirani tena mnalalamika.

Laanaturah
 
Endeleeni kuleta sarakasi lakini siku zenu zinahesabika kudadeki !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…