Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,479
- 4,974
Aseme nini Zitto asishambuliwe na wanachadema?
Akae kimya vipi Zitto asishambuliwe na wanachadema?
Wanachadema wengi sana wamehama Chama hicho na kwenda vyama vingine.
2015 Hadi 2020 ikitia fora katika uhamaji. Kati yao wengi wameenda ccm na kuwa viongozi kabisa huko...........mashinji, lijualikali, slaa, msigwa, n.k
Zitto yeye tangu atoke chadema yupo zake act wazalendo na hajawahi kubadilika Wala kuwasemseka wengine zaidi ya habari za Chama chake tu.
Sasa ni nini kinapelekea Hali hii