Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 72,020
- 129,293
Sioni hata kama umejibu nilichosema. Kwanza mimi si mmoja walio na hasira na Zito. Ila hao wengine waliondoka na hawakuanzisha vyama vingine.Dah, aisee!
Mbona Zitto ametoka cdm tangu 2013 mkuu?!!! Hao kina slaa & co. waliotoka 2015 kwanini msiwahisi hao ndio waliopangwa kuibomoa cdm?!!! Mmeendelea kukomaa na zitto Huku wengine mkiwaacha na kuwakaribisha tena. Mnasema alitaka kumtoa mbowe, nyie Leo mmefanyaje?!!! Ndo kusema yupo mbele ya wakati kuliko nyie?!!! Limebaki nini' kwake Hadi mnamchukia namna hii?!!!