Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,479
- 4,974
Na wale wengine waliohama kama yeye je?!!!!Zitto ni kama Iskarioti
Inawezekana aisee.Itakuwa ndo kama yule mpenzi unaempenda halafu akakuacha!.
Zitto hakuhama bali alifukuzwaNa wale wengine waliohama kama yeye je?!!!!
Hoja ni kwamba kwanini mnamchukia sana yeye wakati ni wengi wamehama huko?!!! Ilianza act kabla seif hajagombana na lipumba we nyumbu.Maalim Seif alimpa hype sana kule Zanzibar
Kwa hali hiyo chama chake kimekua na wanachama wengi kule Zanzibar na Bara kwa uchache,hivyo CCM kumtumia kama mbadala wa CHADEMA kufifisha jitihada za kuiondoa madarakani.
Ukilinganisha na aliyetokea makusudi ni yupi alistahili mashambuliai zaidi?!!Zitto hakuhama bali alifukuzwa
Nani si dalali huko?!! Rejea post #10Zitto ni dalali
Siyo kwamba ndo Iskariot mwenyewe?Zitto ni kama Iskarioti
Corrections: Zitto hakuhama CHADEMA, bali alifukuzwa na chama kwa kosa la kutaka kumpindua Mwenyekiti FAMAseme nini Zitto asishambuliwe na wanachadema?
Akae kimya vipi Zitto asishambuliwe na wanachadema?
Wanachadema wengi sana wamehama Chama hicho na kwenda vyama vingine.
2015 Hadi 2020 ikitia fora katika uhamaji. Kati yao wengi wameenda ccm na kuwa viongozi kabisa huko...........mashinji, lijualikali, slaa, msigwa, n.k
Zitto yeye tangu atoke chadema yupo zake act wazalendo na hajawahi kubadilika Wala kuwasemseka wengine zaidi ya habari za Chama chake tu.
Sasa ni nini kinapelekea Hali hii
Ccm ilipanga kumtumia Zito kama kete ya kuibomoa cdm, kwa bahati mbaya Magufuli alikuwa hampendi Zito, na ccm wote ikabidi wafuate matakwa ya mwenyekiti wao. Zito akajijengea uadui mkubwa na Magufuli, na wanaccm wote kwa ujumla. Hata Magufuli alivyofariki ikawa mahusiano si mazuri sana kati ya ccm na Zito, na sababu hasa ni Zito kujiunga na Maalim Seif ambaye ni mshindani halisi wa ccm huko Znz.Maalim Seif alimpa hype sana kule Zanzibar
Kwa hali hiyo chama chake kimekua na wanachama wengi kule Zanzibar na Bara kwa uchache,hivyo CCM kumtumia kama mbadala wa CHADEMA kufifisha jitihada za kuiondoa madarakani.
Sawa, alikuwa yeye peke yake aliyefukuzwa? Mbona mnamuandama yeye pekee?Corrections: Zitto hakuhama CHADEMA, bali alifukuzwa na chama kwa kosa la kutaka kumpindua Mwenyekiti FAM
Dah, aisee!Ccm ilipanga kumtumia Zito kama kete ya kuibomoa cdm, kwa bahati mbaya Magufuli alikuwa hampendi Zito, na ccm wote ikabidi wafuate matakwa ya mwenyekiti wao. Zito akajijengea uadui mkubwa na Magufuli, na wanaccm wote kwa ujumla. Hata Magufuli alivyofariki ikawa mahusiano si mazuri sana kati ya ccm na Zito, na sababu hasa ni Zito kujiunga na Maalim Seif ambaye ni mshindani halisi wa ccm huko Znz.
Fuatilia nyuzi zote ambazo amezungumzwa Zitto, hapa jf na sehemu zingine halafu uje uniambie.Lini na nani anamfuata kishari Zitto?