Jibu ni simple, Zitto ni heavy weight, Uwezo wake ni mkubwa, hivyo kuna ile hate-love relationship ambayo wanachadema wengi wanamkubali kwa sababu wanajua uwezo wake ila sasa wanamgwaya kutokana na propaganda walizolishwa. Kwa hiyo kinachobaki ni character assasination dhidi yake.