mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Serikali walitakiwa waje na mradi mkubwa kwa ajili ya makazi ya watuLet them eat cake.
Serikali iache ubinafsi
Si unaona huko mbele kuna sehemu zile za ma project huko qeens,mabroklyn nk
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serikali walitakiwa waje na mradi mkubwa kwa ajili ya makazi ya watuLet them eat cake.
Yeye anao watoto?Mshahara wa mhindi sh 150,000 halafu chumba elfu 35 utaweza kupangisha vyumba viwili?
Acheni porojo
View attachment 2547635
Makazi Tanzania ni aibu.Serikali walitakiwa waje na mradi mkubwa kwa ajili ya makazi ya watu
Serikali iache ubinafsi
Si unaona huko mbele kuna sehemu zile za ma project huko qeens,mabroklyn nk
Ova