Wanasiasa wanajisahau sana. Hawajui uswazi ni kawaida watoto kulala chumba kimoja na wazazi sababu ya ugumu wa maisha

Let them eat cake.
Serikali walitakiwa waje na mradi mkubwa kwa ajili ya makazi ya watu
Serikali iache ubinafsi
Si unaona huko mbele kuna sehemu zile za ma project huko qeens,mabroklyn nk

Ova
 
Makazi Tanzania ni aibu.

Ukiwa unashuka na ndege hapo Vingunguti na kuona vile vibanda vyenye mabati yenye kutu inahuzunisha sana.

Na hapo ndipo mjini, hujafika kwenye nyumba za matope huko.
 
Back
Top Bottom