Wanasiasa wanashinikiza suala la FEI TOTO na kuleta VITISHO

Halafu hawa wanasiasa ni wajinga sana, hii mara ya pili nawaona wana intercept mpira kwa kuingiza siasa

Sijui wanajionaje yani?
Wameshinda kuongoza kwenye siasa wanakuja kutafuta kick kwenye mpira ndio maana wao bila kujua ndio chanzo Cha mpira kudumaa
 
Yani binti Kazumari ndio mwenye network? Hii nchi imejaa wajinga wengi sana, ni dhahiri Ccm itatawala milele.
 
Ifike kipindi muache ujinga basi. Ukute wewe ni Msomi unaandika upuuzi kama huu na unahudumia watu? Bora Nesi wa Uyui anayepima Kwa vifaa vilivyoexpire kuliko wewe.
 
We mtoa mada na saleh ally hamnazo,mnalaumu vp wanasiasa kuingilia swala la fei na hamkuwahi kuwalaumu waliorubuni na kufanikiwa kuingilia mkataba wa dogo mpk mambo yamefikia hapa?

Maana hao ndo watu wa kwanza waliokosea,wameamua kutumia uwezo wao kipesa na wana yanga wanatumia wadhfa wao kiutawala kwanini tusiliache hili bato liendelee tu??kwani mwisho wa siku aidha hao wanasiasa au hao mabwanyenye mwenye kisu kikali atachinja tu huyu kuku asiyejielewa

Vilio km ivyo tuwaachie wanawake,sisi wanaume asili yetu kupambana,tuwaache wenye ubavu kwenye wapambane mwishowe yupo atakayeshinda na kushindwa
 
Duh! Salehe Jembe ndo unasema ana network na habari zake!!!. Mambo mengine yametuzidi uwezo ni bora tuache muda uamue
 
Ifike kipindi muache ujinga basi. Ukute wewe ni Msomi unaandika upuuzi kama huu na unahudumia watu? Bora Nesi wa Uyui anayepima Kwa vifaa vilivyoexpire kuliko wewe.
Hata mi nimemshangaa sana
 
Ifike kipindi muache ujinga basi. Ukute wewe ni Msomi unaandika upuuzi kama huu na unahudumia watu? Bora Nesi wa Uyui anayepima Kwa vifaa vilivyoexpire kuliko wewe.
Mimi ninavyo vifaa vilivyo expire napimia tezi dume. Unataka kupimwa tezi dume weye......? Wapatikana wapi sheikh?
 
MBONA KAMA UMEPANIKI? USIPANIKI NI MAMBO YA MPIRA HAYA. WEWE UTAKUWA VIBONDE WETU NI NINI?
 
Acheni kuvuruga vuruga ili ionekane alishindwa Kwa sababu ya wanasiasa,kama ni haki yake ataipata tu, ujinga ni wanaojiita wachambuzi kujifanya wanajua kila kitu au kutumika kuharibu utaratibu kwa ujuaji ujuaji tu.....nchi hii Wapuuzi siyo wanasiasa tu kuna kundi linajiita wachambuzi wa michezo ni janga la taifa maana vilaza wote wamekimbilia huko na wanapewa air time kubwa Kwa kuongea upuuzi
 
Walikua washaanda defensive mechanism Yao ya kusema wanasiasa wanaingilia
 
Halafu hawa wanasiasa ni wajinga sana, hii mara ya pili nawaona wana intercept mpira kwa kuingiza siasa

Sijui wanajionaje yani?
Mimi ndo nina aleji na wanasiasa jambo lolote hata likinisisimua tangu mwanzo likishaingilia na mwanasiasa tu mzuka unakata kabisa mfano afcon tulishiriki taifa starz mpaka tunafungwa na senegal nilikua na mzuka na timu yangu ila nilivyosikia tu bashite katia timu kambini mzuka ukakata kabisa hata mechi iliyofata vs kenya sikuiangalia kabisa
 
Walikua washaanda defensive mechanism Yao ya kusema wanasiasa wanaingilia
Unajua hawa wanasiasa waliharibu toka mwanzo. Sisi tulishaenda msihi mama yake Feisal kuwa ahakikishe mwanawe anarudi Yanga. Akasema ataongea naye. Tukamtoa pesa kidogo. Wao wakamuita kumtisha kale katoto kajeuri...sasa tutatumia ubabe wa wanasiasa hao kumbakiza..... Lazima abaki tu huyu dogo.
 
Mchezaji hawataki, mnang'ang'ania wa nn, kwan lazimaa achezee Yanga tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hawataki utopoloooooo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…