Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
- Thread starter
- #41
Ndo maana hatuendelei kimichezoHalafu hawa wanasiasa ni wajinga sana, hii mara ya pili nawaona wana intercept mpira kwa kuingiza siasa
Sijui wanajionaje yani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo maana hatuendelei kimichezoHalafu hawa wanasiasa ni wajinga sana, hii mara ya pili nawaona wana intercept mpira kwa kuingiza siasa
Sijui wanajionaje yani?
Yanga mwenzangu una ubwege mkubwa sana. Yaani unafurahia hili? Yaani mke hakutaki anaondoka na anaenda kutiwa na mwanaume mwingine. Mahakama inamrudisha kwako kuwa hakuondoka na talaka unafurahia? 🤣🤣🤣🤣🤣 WE SI BWEGE SANA? UTAKUWA NA AKILI KWELI? USITUAIBISHE SISI WENYE AKILI.Makolo kifo cha mende chaliii.😀😀😀
Watoe jibu hapa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mnamtaka au hamumtaki????
Ule mkataba una kurasa nyingi na kipendele kinachosambazwa mitandaoni ni hicho kimoja tu sio sawa kutoa hukumu kwa kuangalia mstari mmoja wakati mkataba una kurasa zaidi ya 5Kama umejibana mwenyewe kwenye vipengele vya mkataba ulioingia na mchezaji wako, usitegemee kutokea kwenye "utaratibu" au utatokea kwenye huo "utaratibu" kama upo kwenye vipengele vya mkataba husika, lakini kama haupo, jilaumu mwenyewe, wala hapa usitegemee ukubwa wa jina la timu yako.
Uyo hapo sasa feisal ŵenu kashinda kesi mtafutieni timu ya kucheza🤣🤣🤣 , Uhuni sio mzuri ukitaka kuleta uhuni wenzako unakuta ni wahuni zaidi yakoNimewaambia muache hasira, tatizo lenu mnaongozwa na mahaba niue kwa timu yenu.
Walichokuwa wanakifanya ni spinning kwa kuwatumia wachaa mbuzi wao uchwara kina binti Kazumari.Wajinga sana hawa jamaa,na nikama wamepangwa tu kuharibu utaratibu
Wampee tyuuh, sisi tutamtakia mkono wa kwaheri.Yanga, mpeni chama Hela anunue mkataba wake kama wanadhani njia aliyotumia Feisal ni sahihi.
Mabwege ni wale mapunda wanaobebeshwa unga kupeleka Dubai.Yanga mwenzangu una ubwege mkubwa sana. Yaani unafurahia hili? Yaani mke hakutaki anaondoka na anaenda kutiwa na mwanaume mwingine. Mahakama inamrudisha kwako kuwa hakuondoka na talaka unafurahia? 🤣🤣🤣🤣🤣 WE SI BWEGE SANA? UTAKUWA NA AKILI KWELI? USITUAIBISHE SISI WENYE AKILI.
Na taarifa imetoka tayari,ni mali ya Yanga.....hawa Wapuuzi walikuwa wameshajua kilichotokea wakaamua kutumia ujanja eti wanasiasa wanashawishiWalichokuwa wanakifanya ni spinning kwa kuwatumia wacha mbuzi wao uchwara kina binti Kazumari.
Dawa yao inachemka this time timu nzima mtasikia imekamatwa airport kwa kusafirishwa unga, tunaijuwa vizuri michezo yao tangu kipindi Juma Salum ni Mwenyekiti Chama lao kulikuwa Chanika.
Marco Masanja amefungwa China na possibly ameshanyongwa kwa kesi ya unga, kocha wa makipa na Cambiaso wapo jela kwa kesi ya unga, na timu nzima umekwenda Dubai kwa michezo yao hii hii, Sasa Dawa yao inachemka.
Hatuwezi kuwaruhusu watu wenye pesa chafu watuharibie mpira wetu, na inaonekana airport ya Dubai kuna watu wapo pale kupitisha mambo yao.
Ulicho SEMA ni 100% malipo ya kihindi...Ujinga ni kuamini Yanga imemlea fei toto, kama unamini hivyo nenda kalelewe na ww tuone sasa.
FEI TOTO amedumu yanga sbb ya kiwango chake cha kuwasaidia tena kwa malipo ya kihindi
Yanga mwenzangu una ubwege mkubwa sana. Yaani unafurahia hili? Yaani mke hakutaki anaondoka na anaenda kutiwa na mwanaume mwingine. Mahakama inamrudisha kwako kuwa hakuondoka na talaka unafurahia? 🤣🤣🤣🤣🤣 WE SI BWEGE SANA? UTAKUWA NA AKILI KWELI? USITUAIBISHE SISI WENYE AKILI.Mabwege ni wale mapunda wanaobebeshwa unga kupeleka Dubai.
Kuna siku mtasikia timu nzima IPO jela ughaibuni ndio mtaamka usingizini.
Yanga mwenzangu. ...povu linakutoka....hujui ucheke au ulie....Mabwege ni wale mapunda wanaobebeshwa unga kupeleka Dubai.
Kuna siku mtasikia timu nzima IPO jela ughaibuni ndio mtaamka usingizini.
Vipi kuhusu baadhi ya wachambuzi na wanahabari?! Wanatetea kweli maslahi ya mchezaji au ya up and mwingine ?! Wait unawaitaje?!Wanasiasa malaya malaya
Punguza hisia mdogo wangu. Tumia akili kwanza bado unasafari ndefu ukipenda kuendekeza hisia zikuongoze utapoteana nakuhakikishia.Wewe unaetaka uoneshwe mkataba kama wewe unao tuwekee hapa tuuone, vinginevyo unahangaika tu; nakuona unapingana na taarifa za waandishi wa habari wenye network ya taarifa kwa ajili ya mahaba niue tu kwa timu yako.
Na unaposema suala la Feisal lipo kimkakati nawe tuwekee ushahidi hapa, usituokotee maneno ya kujiliwaza ili kuuridhisha moyo wako ukataka nasi tuyaamini.
Ajabu wewe ndie unajiona una akili! Kuwa na adabu dogo, haya mambo ya mikataba ni zaidi ya mahaba niue kwa klabu yako.
[emoji23][emoji23][emoji23] Mama Samia ana kazi kubwa ya kufanya na hili kundi wanajiita Kolo Fan. Mbumbumbu nyingi mnooYani binti Kazumari ndio mwenye network? Hii nchi imejaa wajinga wengi sana, ni dhahiri Ccm itatawala milele.
Leo mnamuona fei ni mavi, ama kweli gongowazi aka mdundiko / walamba nnya fc wenye akili ni wawili tu, mhe JK, na sunday manara.
Mbona tokea mwanzo tunaambiwa kwenye mkataba wa feisal na yanga una kipengele cha feisal kununua sehemu iliyobak ya mkataba?au niaje?We mtoa mada na saleh ally hamnazo,mnalaumu vp wanasiasa kuingilia swala la fei na hamkuwahi kuwalaumu waliorubuni na kufanikiwa kuingilia mkataba wa dogo mpk mambo yamefikia hapa?
Maana hao ndo watu wa kwanza waliokosea,wameamua kutumia uwezo wao kipesa na wana yanga wanatumia wadhfa wao kiutawala kwanini tusiliache hili bato liendelee tu??kwani mwisho wa siku aidha hao wanasiasa au hao mabwanyenye mwenye kisu kikali atachinja tu huyu kuku asiyejielewa
Vilio km ivyo tuwaachie wanawake,sisi wanaume asili yetu kupambana,tuwaache wenye ubavu kwenye wapambane mwishowe yupo atakayeshinda na kushindwa