Wanasiasa wanashinikiza suala la FEI TOTO na kuleta VITISHO

Halafu hawa wanasiasa ni wajinga sana, hii mara ya pili nawaona wana intercept mpira kwa kuingiza siasa

Sijui wanajionaje yani?
Ndo maana hatuendelei kimichezo
 
Yanga, mpeni chama Hela anunue mkataba wake kama wanadhani njia aliyotumia Feisal ni sahihi.
 
Makolo kifo cha mende chaliii.😀😀😀
Yanga mwenzangu una ubwege mkubwa sana. Yaani unafurahia hili? Yaani mke hakutaki anaondoka na anaenda kutiwa na mwanaume mwingine. Mahakama inamrudisha kwako kuwa hakuondoka na talaka unafurahia? 🤣🤣🤣🤣🤣 WE SI BWEGE SANA? UTAKUWA NA AKILI KWELI? USITUAIBISHE SISI WENYE AKILI.
 
Ule mkataba una kurasa nyingi na kipendele kinachosambazwa mitandaoni ni hicho kimoja tu sio sawa kutoa hukumu kwa kuangalia mstari mmoja wakati mkataba una kurasa zaidi ya 5
 
Nimewaambia muache hasira, tatizo lenu mnaongozwa na mahaba niue kwa timu yenu.
Uyo hapo sasa feisal ŵenu kashinda kesi mtafutieni timu ya kucheza🤣🤣🤣 , Uhuni sio mzuri ukitaka kuleta uhuni wenzako unakuta ni wahuni zaidi yako
 
Wajinga sana hawa jamaa,na nikama wamepangwa tu kuharibu utaratibu
Walichokuwa wanakifanya ni spinning kwa kuwatumia wachaa mbuzi wao uchwara kina binti Kazumari.

Dawa yao inachemka this time timu nzima mtasikia imekamatwa airport kwa kusafirisha unga, tunaijuwa vizuri michezo yao tangu kipindi Juma Salum ni Mwenyekiti ghala lao lilikuwa Chanika.

Marco Masanja amefungwa China na possibly ameshanyongwa kwa kesi ya unga, kocha wa makipa na Cambiaso wapo jela kwa kesi ya unga, na timu nzima imekwenda Dubai kwa michezo yao hii hii, Sasa Dawa yao inachemka.

Hatuwezi kuwaruhusu watu wenye pesa chafu watuharibie mpira wetu, na inaonekana airport ya Dubai kuna watu wapo pale kupitisha mambo yao.
 
Mabwege ni wale mapunda wanaobebeshwa unga kupeleka Dubai.

Kuna siku mtasikia timu nzima IPO jela ughaibuni ndio mtaamka usingizini.
 
Na taarifa imetoka tayari,ni mali ya Yanga.....hawa Wapuuzi walikuwa wameshajua kilichotokea wakaamua kutumia ujanja eti wanasiasa wanashawishi
 
Ujinga ni kuamini Yanga imemlea fei toto, kama unamini hivyo nenda kalelewe na ww tuone sasa.

FEI TOTO amedumu yanga sbb ya kiwango chake cha kuwasaidia tena kwa malipo ya kihindi
Ulicho SEMA ni 100% malipo ya kihindi...
Ili anunue harier cash Kwa 4m per month...
Miaka itayoyoma Go fei Go..
 
Kwa sasa hivi tatizo ni wanasiasa? Mnabadilisha magoli.
 
Mabwege ni wale mapunda wanaobebeshwa unga kupeleka Dubai.

Kuna siku mtasikia timu nzima IPO jela ughaibuni ndio mtaamka usingizini.
Yanga mwenzangu una ubwege mkubwa sana. Yaani unafurahia hili? Yaani mke hakutaki anaondoka na anaenda kutiwa na mwanaume mwingine. Mahakama inamrudisha kwako kuwa hakuondoka na talaka unafurahia? 🤣🤣🤣🤣🤣 WE SI BWEGE SANA? UTAKUWA NA AKILI KWELI? USITUAIBISHE SISI WENYE AKILI.
 
Wanasiasa malaya malaya
Vipi kuhusu baadhi ya wachambuzi na wanahabari?! Wanatetea kweli maslahi ya mchezaji au ya up and mwingine ?! Wait unawaitaje?!
 
Punguza hisia mdogo wangu. Tumia akili kwanza bado unasafari ndefu ukipenda kuendekeza hisia zikuongoze utapoteana nakuhakikishia.

Wewe unaelalama kila siku Feisal yuko sawa umeshikilia tu kipengele kimoja cha mkataba mkiambiwa mlete mkataba wote mnakimbia. Hili swala lipo kimkakati hasa kwa mtu kama wewe unaeongozwa na hisia ukisikia jambo unakuja huku kupotosha ukiwa hujui upotoshaji huo unawanufaisha kina nani.

Haya kamati imetoa majibu bado tu unaendelea kubisha?
 
Mbona tokea mwanzo tunaambiwa kwenye mkataba wa feisal na yanga una kipengele cha feisal kununua sehemu iliyobak ya mkataba?au niaje?
 
Na Fei atasugua benchi hadi makalio yaote sugu dadadeeki zake, anajikuta nani sijui.!

Jifunzeni kusoma mikataba nyie ngumbalu, mchezaji unajiona mkubwa huna mwanasheria?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…