Wanasiasa wanashinikiza suala la FEI TOTO na kuleta VITISHO

Fei haruhusiwi kuwa na chini ya bil 1 kwa akaunti
 
Mbona tokea mwanzo tunaambiwa kwenye mkataba wa feisal na yanga una kipengele cha feisal kununua sehemu iliyobak ya mkataba?au niaje?

Uliambiwa na nani?
Kafuata hiyo taratibu za kununua mkataba wake? Au ni kununua tu kama mahindi sokoni?
 
Unakipaji cha ujinga
 
Achana na hao VILAZA,..mashabiki maandazi.
 
Duh! Salehe Jembe ndo unasema ana network na habari zake!!!. Mambo mengine yametuzidi uwezo ni bora tuache muda uamue
Unataka uaminiwe wewe kwa fake id?![emoji848][emoji848]
 
Ulikuwa ukiamini ujinga mkuu. Mpira ni mchezo wenye kanuni zake katika kutawala kwake, haiwezekani wachezaji waamue kuvunja mikataba bila sababu za msingi.
 
Gud, unakiri mimi nina kipengele kimoja cha huo mkataba, ajabu unaandika nina hisia, sasa wewe unaejiona una vipengele vingine ambavyo huvijui sijui utakuwa na nini kama sio zaidi ya hisia.

Ajabu siku zote huuoni huu ujinga wako!.

Usiandike kwa unyenyekevu wakati umejaa hisia tu, SIKU ZOTE NAKWAMBIA HAUNA HOJA, wadanganye hao mashabiki maandazi wenzio, huna chochote chakunifundisha.
 
Yani binti Kazumari ndio mwenye network? Hii nchi imejaa wajinga wengi sana, ni dhahiri Ccm itatawala milele.
Yani anavyoongea unaweza dhani ana mzigo wa vithibitisho na ushahidi, unaweza dhani alikuwapo kwenye kusikiliza mashauri na akaona kila nyaraka za kila upande, kumbe ameyatoa maneno kwa Kazumari.


Ebu just imagine akili ya mtu anayemtumia yule zuzu kama reference yake.
 
Waandishi wa Habari kama kweli wanaongea ukweli waweke wazi hao wanasiasa wanaoingilia maamuzi.Ukiangalia Hawa wachambuzi jinsi wanavyoandika Haina tofauti na stori za vijiweni tu
 
Na Fei atasugua benchi hadi makalio yaote sugu dadadeeki zake, anajikuta nani sijui.!

Jifunzeni kusoma mikataba nyie ngumbalu, mchezaji unajiona mkubwa huna mwanasheria?
Kukaa benchi huku unalipwa ni sawa. Ila kucheza na kuipeleka timu mbele huku unalipwa kiasi kisicholingana na mchango wako si sawa....

kwa hili la kumweka bench mshindi si yanga maana bado analipa mshahara. Na huenda Fei alishapokea fedha zake za mshahara mpaka anaondoka hapo kama malipo ya kuvunja mkataba hata kama ikishindikana.
 
Na Fei atasugua benchi hadi makalio yaote sugu dadadeeki zake, anajikuta nani sijui.!

Jifunzeni kusoma mikataba nyie ngumbalu, mchezaji unajiona mkubwa huna mwanasheria?
Sasa si bora mumuachee aendee, ko mnataka kuua kipaji chake? Kwan ni lazima achezee yanga milelee?? Khaaaaah
 
Boraaa umemuambia ukweli. Alete naye vipengele vingine vya mkatabaa tuone hapa.
 
Vifungu vya sheria vimemkaba Faisal sasa Makolo wanalia-lia kwa hisia bila fact.
 
Ww ni kajinga sana, yaani ww ni kapumbavu ka kutupa
 
Ninachoshukuru unaonyesha kunielewa ila kinachoendelea hapa ni kujaribu kuonesha ubishi wa kitoto kitu ambacho siwezi kukulaumu kwa sababu ya immature. Kaa chini jitafakari usikubali mtu mwingine abebe fikra na maono yako. Ukisoma au kusikia jambo litafakari kwanza hisia za chuki juu ya Yanga zinakufanya uwe mpofu usiweze kutafakari mambo kwa umakini.

Yan nakupa mfano wewe umeamka asubuhi unakutana na wito wa mahakama ukasign paper za talaka from no where haujakaa na mkeo kuzungumza chochote utaenda kusign? Huna haja kunijibu kwa sababu ushaelewa. Sasa ndio nikuulize je hivi ndivyo mlitaka hili swala liende? si kila mchezaji atajiamulia kuingia na kutoka kwenye timu kadri anavyotaka yeye kama chooni tu. Think, Think, Think wewe
 
Sasa si bora mumuachee aendee, ko mnataka kuua kipaji chake? Kwan ni lazima achezee yanga milelee?? Khaaaaah
Mdogo wangu Yanga ni taasisi sio choo kile watu waingie na kutoka kwa kadri wanavyojisikia wao. Anataka kuondoka afuate utaratibu hakuna anayemzuia. Hata ikitokea leo hii amerudi sidhani kama anaweza kuaminika tena kurudi kikosini kutokana na hili lilotokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…