Wanasiasa wanashinikiza suala la FEI TOTO na kuleta VITISHO

Hivi Feisal angepata wapi ujanja wa kuizidi Yanga? Mtoto katika kwao akiwa bado kinda,apate wapi bargaining power ya kuiingiza Yanga mkenge?
 
Majitu ya Simba ni mapumbavu Sana.Rage alisema Simba wote ni mbumbumbu.Yanamtamani Fei baada ya kutengenezwa na Nabi na kunawili kwa pesa za Yanga.Wao si walimsajiri Marcel Kaheza ,mbona wasimtengeneze Kisha wampe mshahara mkubwa? Ni Mahoho,narudia ni Mahoho.
 
Yanga acheni mambo ya kizamani kung'ang'ania mtu asiekutaka ni upumbavu.

Mwacheni aende zake maisha yake Yako mkononi mwake.ishu za mapenzi ya timu wekeni.

Akina fei wamejifunza kutoka kwa akina ngassa na akina chuji.

"Kama mtu hakutaki muache aende zake USIMBAKE" - afande sele
 
Hata Feisal akisema hataki kucheza Yanga siyo tatizo.Tatizo ni matakwa ya kisheria na kimkataba basi Hutaki kucheza Yanga ,ndiyo ,je,mkataba wako na sheria zingine zinasemaje? Timiza taratibu uondoke basi,haya siyo mambo ya mipasho na taarabu.
 
Tokea lini wale mbumbumbu wakawa sawa vichwani, wakishavuta unga wao wanabaki kuweweseka tu suala la feisal wamekomaa nalo wamesahau na wao yule mtumishi hewa bwana Nelsoni Okwa kawagomea kuvunja mkataba wake anataka apewe 800mil. kama wanataka kuvunja mkataba wake, wamebaki kukomaa na mambo ya jirani
 
Kwa hiyo Feisal alienda kutiwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…