Wanasiasa wanaweza vipi kuendesha wanajeshi? Swali makini

Mfumo tu,
mark milley, US top general aliyeteuliwa na trump alipoulizwa kama trump atagoma kuachia madaraka watafanya nini kama jeshi? Alijibu wao watafuata katiba na kumuondoa kama katiba itakavyo.

Shida inakuja kwenye shithole countries ambapo rais ndo mungu. Alaumiwe nyerere kwa katiba mbovu aliyotutungia.
 
Aiseeh!
 
Wanasiasa wanawaendesha wanajeshi kwenye nchi ambayo wanajeshi wake bado hawajajitambua kama hapa tz.kwa nchi ambazo wanajeshi wao wanajua haki, hakuna upuuzi wa wanasiasa kuwapelekesha.mfano mzuri ni niger. Wanajeshi wa Niger walikataa kupelekeshwa na yule mwanasiasa kibaraka wa wawekezaji uchwara wa bandari na uranium (Mohammed bazoum).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…