Wanasiasa wanaweza vipi kuendesha wanajeshi? Swali makini

Ni Kwa Neema ya Mungu tuuu,, Lakini Neema Huwa inapungua Au kuongezeka kutokana na haki au kutotenda haki.Haki huinua Taifa
Neema ya Mungu inaamuru wanajeshi kutii na kufuata hata maagizo ya hovyo kutoka kwa wanasiasa ?
 
Yani kuna wakati unajiuliza unakuta ni inshu ya masirahi ya Taifa lakini unakuta wengine wametulia tu kama hakuna kinachotokea hasa Majeshi yote na wenyewe wanasema ndio tu kwa wanasiasa wa muda tu miaka 5 halafu kwa ujinga wa watu kadhaa nchi inaingia hasara kubwa.
Lakini Africa Tanzania inazaliwa upya tupo tutashuhudia mabadiriko mtakayo simulia vizazi vyenu.
 
Aiseeh
 
Aiseeh! Unafikirisha sana
Sure! nilipata nafasi ya kwenda depo, nikakataa, mzee wangu alinimind sana na hakunielewa kabisa Ila nilimchana live , nilimwambia mzee tabia ya kutii tii order za kipumbavu sitaweza, kwahiyo jeshi litanishinda tu mzee.

Yaani mzee alitaka kutimiza ndoto yake ya kuwa soldier kupitia mimi, ikawa too late.
 
Swali makini:

Inawezekana vipi wanasiasa au mwanasiasa kuwaendesha wanajeshi kadiri anavyo taka bila wao kureact against him or her kwa namna yoyote ile?
Wanajeshi wanachokosa ni Karama ya kukubalika au kuinspire raia hamna raia anapenda kuwa chini ya sheria ya jeshi zaidi ya wanajeshi wenyewe
 
Sure! nilipata nafasi ya kwenda depo, nikakataa, mzee wangu alinimind sana na hakunielewa kabisa Ila nilimchana live , nilimwambia mzee tabia ya kutii tii order za kipumbavu sitaweza, kwahiyo jeshi litanishinda tu mzee.

Yaani mzee alitaka kutimiza ndoto yake ya kuwa soldier kupitia mimi, ikawa too late.
Mzee hilo suala litakuwa linamuumiza sana si unajua wazee nao wakitaka kitu halafu ukawachomolea lazima wamaindi
 
Mnataka jeshi lifanye kazi ambayo si yake.?

Kazi ya kuiweka na kuiondoa serikali ni ya wananchi.

Wananchi kwa maana ya wafanyakazi, wakulima, wasio na kazi, wanafunzi n.k

Yaani wanajeshi wafanye mapinduzi wakati nyie mmelala na wake zenu, mnazaliana tuu na kushabikia simba na Yanga.

Au mnadhani wanajeshi hawaogopi kufa.

Mpaka siku mtayoacha ubinafsi ndio mtaweza kuiwajibisha serikali.
 
Wanajeshi wanachokosa ni Karama ya kukubalika au kuinspire raia hamna raia anapenda kuwa chini ya sheria ya jeshi zaidi ya wanajeshi wenyewe
Sheria za kijeshi ni za kiwaki sometimes ila kuna mambo wapo vyedi
 
Mnataka jeshi lifanye kazi ambayo si yake.?

Kazi ya kuiweka na kuiondoa serikali ni ya wananchi.

Wananchi kwa maana ya wafanyakazi, wakulima, wasio na kazi, wanafunzi n.k

Yaani wanajeshi wafanye mapinduzi wakati nyie mmelala na wake zenu, mnazaliana tuu na kushabikia simba na Yanga.

Au mnadhani wanajeshi hawaogopi kufa.

Mpaka siku mtayoacha ubinafsi ndio mtaweza kuiwajibisha serikali.
Dogo umekurupushwa usingizini ? Kuna mahali pameandikwa kuwa jeshi lifanye mapinduzi ?

Kanawe kwanza macho utoe wenge ndio urudi tuendelee.
 
Sasa kwa akili yako wanajeshi waki "react aganist" kinachotokea ni nini?

Halafu usiite watu "dogo" humu.
Wewe ni dogo kwa sababu unaandika vitu njee ya swali, ungekuwa umekomaa usingekuwa na hizi pigo ulizo nazo.
 
Back
Top Bottom