kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Wanajeshi hawahusiki na mambo ya ndani ya nchi, ni polisi ndio maana mkuu wa polisi ndiye aliyetoa ili kauli ambayo imechanganya wengi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AiseehKuna watu JW wamevaa vyeo vizito ila hawajui huzito wao!
Aiseeh😀Aisee huwa nashangazwa sana eti unakuta Mtu Mbavu kweli na Manyota yake Begani eti anampigia Saluti Mbunge aliyepatag Dvs 0 Form four na kufanikiwa kushinda uchaguzi kwa Wizi uliotukuka,
Nilivyoonag tu Hivyo nikajisemeag hii kazi mi stoiweza tutakuj kupalangana na wakuu huko wengne sis unafki Hatuwezi.
Duuuuh!Nchi zenye majeshi yenye uadilifu hua hawaendeshwi na wanasiasa ila nchi zenye Matawi ya chama tawala yaliyokabidhiwa silaha bas huendeshwa na siasa
Aliye kuambia nani ?Wanajeshi hawahusiki na mambo ya ndani ya nchi, ni polisi ndio maana mkuu wa polisi ndiye aliyetoa ili kauli ambayo imechanganya wengi.
na kweli ni mazingaumbweNi uchawi pekee ndio hutumika kupumbaza watu.
IGP au CDF anaweza kumpigia salute DC ambaye hajusomea huo u DC na ni mtoto mdogo tu
Ni kweli. Ila kazi ambayo ninaifanya now nina passion nayo na inanilipa vizuri, na hata yeye namsupport kupitia hii kazi nayoifanya , so ameelewa somo now.Mzee hilo suala litakuwa linamuumiza sana si unajua wazee nao wakitaka kitu halafu ukawachomolea lazima wamaindi
PamojaNi kweli. Ila kazi ambayo ninaifanya now nina passion nayo na inanilipa vizuri, na hata yeye namsupport kupitia hii kazi nayoifanya , so ameelewa somo now.
Usilaumu ,katiba ndio imeelekeza hivyo ,KUWA mteule yeyote wa RAIS Ambae ameapishwa na RAIS Mjeshi lazIma ampigie saluti, japo hawapendina kweli ni mazingaumbwe