Wanasiasa wanaweza vipi kuendesha wanajeshi? Swali makini

Wanasiasa wanaweza vipi kuendesha wanajeshi? Swali makini

Kuna mtu anaitwa amiri jeshi mkuu
Huyo ni bosi wao
Jeshi ni nidhamu na utii bila hivyo hakuna jeshi
Kugomea amri za wakubwa sijajua adhabu zake zikoje lakini ni kosa kubwa sana
 
Kuna mtu anaitwa amiri jeshi mkuu
Huyo ni bosi wao
Jeshi ni nidhamu na utii bila hivyo hakuna jeshi
Kugomea amri za wakubwa sijajua adhabu zake zikoje lakini ni kosa kubwa sana
Ukiambiwa uue mama yako, baba yako, mke wako na watoto wako na huyo amri jeshi mkuu ambae ni mwanasiasa utatekeleza ?
 
Umekwisha sema kureact against sasa kuna swali gani tena hapo ? Dogo umevuta bangi unaelewa kweli unacho andika ?
Unanipotezea muda wangu.

Nakufundisha sasa, siku wanajeshi waki-react against serikali au Viongozi wa Serikali.
Hayo ndio mapinduzi yenyewe sasa.
 
Swali makini:

Inawezekana vipi wanasiasa au mwanasiasa kuwaendesha wanajeshi kadiri anavyo taka bila wao kureact against him or her kwa namna yoyote ile?
Kwa sababu wanasiasa ndo wanaamua mwanajeshi analipwa shingapi, atalipwa lini, lini ataenda vitani, ataenda akiwa na vitendea kazi gani, promotion apewe au asipewe na zaidi ya hapo.

Maisha yote ni siasa.
 
Kidogo inafikirisha, lakini hii inaweza kuwa sababu ki vipi mpaka mwanajeshi anapokea orders za kipuuzi kutoka kwa mwanasiasa ?
 
Swali makini:

Inawezekana vipi wanasiasa au mwanasiasa kuwaendesha wanajeshi kadiri anavyo taka bila wao kureact against him or her kwa namna yoyote ile?
Kuna watu JW wamevaa vyeo vizito ila hawajui huzito wao!
 
Aisee huwa nashangazwa sana eti unakuta Mtu Mbavu kweli na Manyota yake Begani eti anampigia Saluti Mbunge aliyepatag Dvs 0 Form four na kufanikiwa kushinda uchaguzi kwa Wizi uliotukuka,

Nilivyoonag tu Hivyo nikajisemeag hii kazi mi stoiweza tutakuj kupalangana na wakuu huko wengne sis unafki Hatuwezi.
 
Nchi zenye majeshi yenye uadilifu hua hawaendeshwi na wanasiasa ila nchi zenye Matawi ya chama tawala yaliyokabidhiwa silaha bas huendeshwa na siasa
 
Back
Top Bottom