Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
- Thread starter
-
- #41
Neema ya Mungu inaamuru wanajeshi kutii na kufuata hata maagizo ya hovyo kutoka kwa wanasiasa ?Ni Kwa Neema ya Mungu tuuu,, Lakini Neema Huwa inapungua Au kuongezeka kutokana na haki au kutotenda haki.Haki huinua Taifa
ndiyo,ndo sheria ya Tanzania jeshini hiyo,ukiamrishwa hauruhusiwi kuhojiAmri hata zilizo nje ya katiba ?
Kwa zaidi ya asilimia zisizo pungufu ya 80% kwa majeshi yote dunianiSema jeshi la Tanzania usizunguke sana
Hata order za kipuuzi? kweli hawatumii akili zaoWanajeshi hawatumii akili Yao wanafata ORDER tu , na ndio Sheria yao
Mimi ndie mwanasiasa nakuamrisha ua baba yako, mama yako, mke wako na mwanao upo tayari kutekeleza amri hiyo ?ndiyo,ndo sheria ya Tanzania jeshini hiyo,ukiamrishwa hauruhusiwi kuhoji
AiseehYani kuna wakati unajiuliza unakuta ni inshu ya masirahi ya Taifa lakini unakuta wengine wametulia tu kama hakuna kinachotokea hasa Majeshi yote na wenyewe wanasema ndio tu kwa wanasiasa wa muda tu miaka 5 halafu kwa ujinga wa watu kadhaa nchi inaingia hasara kubwa.
Lakini Africa Tanzania inazaliwa upya tupo tutashuhudia mabadiriko mtakayo simulia vizazi vyenu.
Sure! nilipata nafasi ya kwenda depo, nikakataa, mzee wangu alinimind sana na hakunielewa kabisa Ila nilimchana live , nilimwambia mzee tabia ya kutii tii order za kipumbavu sitaweza, kwahiyo jeshi litanishinda tu mzee.Aiseeh! Unafikirisha sana
Wanajeshi wanachokosa ni Karama ya kukubalika au kuinspire raia hamna raia anapenda kuwa chini ya sheria ya jeshi zaidi ya wanajeshi wenyeweSwali makini:
Inawezekana vipi wanasiasa au mwanasiasa kuwaendesha wanajeshi kadiri anavyo taka bila wao kureact against him or her kwa namna yoyote ile?
Mzee hilo suala litakuwa linamuumiza sana si unajua wazee nao wakitaka kitu halafu ukawachomolea lazima wamaindiSure! nilipata nafasi ya kwenda depo, nikakataa, mzee wangu alinimind sana na hakunielewa kabisa Ila nilimchana live , nilimwambia mzee tabia ya kutii tii order za kipumbavu sitaweza, kwahiyo jeshi litanishinda tu mzee.
Yaani mzee alitaka kutimiza ndoto yake ya kuwa soldier kupitia mimi, ikawa too late.
Sheria za kijeshi ni za kiwaki sometimes ila kuna mambo wapo vyediWanajeshi wanachokosa ni Karama ya kukubalika au kuinspire raia hamna raia anapenda kuwa chini ya sheria ya jeshi zaidi ya wanajeshi wenyewe
Dogo umekurupushwa usingizini ? Kuna mahali pameandikwa kuwa jeshi lifanye mapinduzi ?Mnataka jeshi lifanye kazi ambayo si yake.?
Kazi ya kuiweka na kuiondoa serikali ni ya wananchi.
Wananchi kwa maana ya wafanyakazi, wakulima, wasio na kazi, wanafunzi n.k
Yaani wanajeshi wafanye mapinduzi wakati nyie mmelala na wake zenu, mnazaliana tuu na kushabikia simba na Yanga.
Au mnadhani wanajeshi hawaogopi kufa.
Mpaka siku mtayoacha ubinafsi ndio mtaweza kuiwajibisha serikali.
Sasa kwa akili yako wanajeshi waki "react aganist" kinachotokea ni nini?Dogo umekurupushwa usingizini ? Kuna mahali pameandikwa kuwa jeshi lifanye mapinduzi ?
Kanawe kwanza macho utoe wenge ndio urudi tuendelee.
Wewe ni dogo kwa sababu unaandika vitu njee ya swali, ungekuwa umekomaa usingekuwa na hizi pigo ulizo nazo.Sasa kwa akili yako wanajeshi waki "react aganist" kinachotokea ni nini?
Halafu usiite watu "dogo" humu.
Wanajeshi wengi ni wanasiasa walio soma vizuri tena kuwazidi hao wanasiasa wenuSwali makini:
Inawezekana vipi wanasiasa au mwanasiasa kuwaendesha wanajeshi kadiri anavyo taka bila wao kureact against him or her kwa namna yoyote ile?
Jibu swali hapo juu kama umekomaa.Wewe ni dogo kwa sababu unaandika vitu njee ya swali, ungekuwa umekomaa usingekuwa na hizi pigo ulizo nazo.
Mfano mzuri ni Idi Amin dada.Jeshi ni kazi ya hovyo sana. Hata chizi akishika dola mnapaswa kumtii tu hakuna namna.
Katiba gani duniani inaamuru mwanajeshi kutekeleza mauaji kwa amri ya mwanasiasa ?Nchi inaongozwa na sheria na katiba siyo suala la wanasiasa au wanajeshi.