Wanasiasa wanaweza vipi kuendesha wanajeshi? Swali makini

Wanajeshi hawahusiki na mambo ya ndani ya nchi, ni polisi ndio maana mkuu wa polisi ndiye aliyetoa ili kauli ambayo imechanganya wengi.
 
Aiseeh😀
 
Mzee hilo suala litakuwa linamuumiza sana si unajua wazee nao wakitaka kitu halafu ukawachomolea lazima wamaindi
Ni kweli. Ila kazi ambayo ninaifanya now nina passion nayo na inanilipa vizuri, na hata yeye namsupport kupitia hii kazi nayoifanya , so ameelewa somo now.
 
Kikawaida kwenye mfumo wa demokrasia, wananchi wapo juu,kupitia waliowachagua, majeshi na taasisi zote za ulinzi, na usalama zinabidi ziwajibike kwa wananchi,
Lazima kuwe na citizen body ku regulate hizi taasisi,
Tatizo kwetu hapa, tuliowachagua, hawafati matakwa yetu, ni wezi watupu, na kwa vile wanaogopa kupinduliwa, wanajiweka karibu na vyombo vya usalama, wajeshi wa vyeo vya juu, wanapewa maslahi Yao Bora, na wenyewe wamekuwa majizi,
Kuhusu askari, wameachiwa wawakamue wananchi wanavyotaka, ili na wao wasione wivu wakubwa wanavyokula nchi, wawakamue wananchi, Ila wahakikishe hawa wananchi Hawaii sana au wanalia kimya kimya,
Ukifika dar, polisi wamezifanya daladala kama shamba LA Bibi, lazima kila daladala itoe 2000 kwa kila trip.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…